Je, ushawahi kupitia mkasa wa kupata ajali na gari ya mtu.?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,059
10,514
Moja katika vitu ambavyo naomba visinikute na hata mtu nayemchukia sana visimkute basi ni hii moments ya kupata ajali na gari ya watu huku uwezo wa kulipa ukiwa wa tia maji.

Juzi nikiwa kwenye bus tulikutana na Harrier ya Transit imepata ajali Iyovi mbele pameharibika sana nikajaribu kujiweka kwenye position ya dereva yule kupitia fikra pekee nilifeel pain ambayo yule dereva anapitia.

Just imagine mtu ameagiza ndinga yake Japan kaisubiri kwa miezi mitatu mpaka sita hatimaye imefika bandarini kafanya clearance imetoka anapewa taarifa ipo njiani kwa shauku ya hali ya juu anaisubiria ghafla bin vuu anapata taarifa ndinga yake imepata ajali.. sio jambo jepesi kukubaliana na hii hali hususani kama mhusika ndio gari lake la kwanza.

Upande wa dereva lengo lilikuwa kupeleka gari ili apate kipato lakini kipato kinageuka na kuwa tatizo
 
Mikasa mingine isikie tu kwa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka ya zamani kidogo nilikula mzinga na pikipiki ya kuazima ya jamaa mmoja hivi alafu jamaa ni mtata sana ilinibidi tu niuze ng'ombe zangu za urithi ili nilipe matengenezo ya pikipiki ya watu alafu hizohizo ng'ombe ndio nilikuwa natemegea kwenda kuolea/ kutoa mahari kama week mbili hivi mbele AISEE SITAKUJA KURUDIA TENA KUAZIMA CHOMBO CHA CHOCHOTE MOTO hata njere/ baiskeri siazimi bora nitembee kwa mguu
 
Pole sana

Ndio maana hakuna kitu naogopa kama kuendesha Magari ya watu. Sitaki kabisaaa!!
 
Miaka ya zamani kidogo nilikula mzinga na pikipiki ya kuazima ya jamaa mmoja hivi alafu jamaa ni mtata sana ilinibidi tu niuze ng'ombe zangu za urithi ili nilipe matengenezo ya pikipiki ya watu alafu hizohizo ng'ombe ndio nilikuwa natemegea kwenda kuolea/ kutoa mahari kama week mbili hivi mbele AISEE SITAKUJA KURUDIA TENA KUAZIMA CHOMBO CHA CHOCHOTE MOTO hata njere/ baiskeri siazimi bora nitembee kwa mguu
duh sema si ulifanikisha kuleta jiko ndani?
 
Kuna vitu wala sio vyakuazima basi tu tunajitoaga ufahamu.
Ila kuna watu hawana aibu kuazima kwao ni jambo la kawaida hata kama hakuna ulazima anaazima na haangalii hiki kinafaa au hakifai kuazima.
Unaazima kitu ambacho hata kikipata hitilafu huna uwezo wa kukitengeneza.
Mimi hapana kwakweli nikiona kinaulazima sana najibana mpaka ninunue cha kwangu kuliko niazime.
Eti mtu anaazima Brenda mara pressure au rice cooker halafu akiharibu wala hatengenezi anakurudishia kimeo chako upambane nacho.
Kama kitu huna kubaliana na hali na ukiona kina umuhimu sana jibane funga mkanda nunua cha kwako.
 
Back
Top Bottom