Ni wewe au Nani labdaSema tu kua uliliwa bure ukaamue uje upooze maumivu humu
Mwachi anaboa kweli mtoto wa kiume gani hakazi..!! Kila muda anamjibu shit marry km kaibiwa danga lake πππππππ vawulensiiiiiiiii!!!
Uduguu taratibuu, kwani humu kuna ma kwapu kwapu?
Uwiiiiih
Nataka nikupe tuwe wote chumbaniYanini
Home internet ipo kwetu,hivyo ni ngumu kuharibu 500 yanguMaria mawenge leo kaweka bundle
Majiraniiiiiiiiii hukuuuuuu!!!Kavaa jeans na tishet,na sandiz sijui yeboyebo,simu imepasukapasuka kioo anaperuzi Kwa kuificha,halafu ananiongopea eti atanipa 50000 elfu,nilimuonea huruma ningekuwa na elfu kumi walau ningempata,wee chenji 800 kaisubiri karibu nusu saaπππππ€₯
πΉπΉπΉ Id zao puliiiz ili na sisi tuziogope mdogo wangu..!!Waoooh dadakeππ
Nikupe ubuyu sistake humu wanaume hakuna wengi njaakali nishakutana nao karibu wanne ,lool sina uchi wa majaribio mieeeππ
Niondolee hapaNataka nikupe tuwe wote chumbani
Ni wewe au Nani labda
Hapo kwenye kipilipili sasa πΉπΉπHapo sasa!! JF tushazoea kila kitu wazi wazi.
Km kipochi na kipili pili kinawekwa peupee, waja Wasuuze makengeza yao.
Ishindikane hili jambo lake, afanye kutuewekea mzima mzima, waja tudeveleke nao.
ππππππ
hahahaha umenikumbusha kipind nasomaYeroo patia mimi ile kitu namesa mwensie
Dada Mimi sikuwa na hela, mbona sikuzote nasemaga ukweli ,ila nikikutana nae waivyo siku nyingine namsaidia, wamechoka kwakweli πMajiraniiiiiiiiii hukuuuuuu!!!
Nacheka km mwehu hapaaa!! Da Marry ulikutana na nini hikoo?
Sasa nawee ulitembea bila pocket money yakooo?
Unakwamaa wapiii? πππππ
Wataje bhana πΉMwenye kujiamini aniseme, wenyewe walijua mm masikini,kumbe wengi nawalisha humu
Pengine uliekutana nae ni size yako usilaumu sana mkuu.Dada humu hamna wanaume,mtu gani mnakunywa soda za miasita ambapo jumla ni 1200 halafu inabaki 800 kwenye 2000 aliyotoa lakini chaajabu mianane anaing'ang'ania mpaka,,,,,,eehπ
So kweliPengine uliekutana nae ni size yako usilaumu sana mkuu.
Shem kumbe una yeboyebo na simu imepasuka kioo? π₯πΉπΉπ€π€π€
Akuuu , wenyewe najua wanasoma Uzi kimyakimya na simu zao za mikopo,wee mtu gani shati linangaa linaumiza macho kama mfanyakazi wa tanesko,Wataje bhana πΉ
Mwachiii hampendi Da Marry toka mwanzo, sijui wamekwazana wapiii?Mwachi anaboa kweli mtoto wa kiume gani hakazi..!! Kila muda anamjibu shit marry km kaibiwa danga lake π
Amuache Marry atupe ubuyu wambea tumumunye..!! πΉπΉ
Mwache my wangu siyo yeye bhanaaaπShem kumbe una yeboyebo na simu imepasuka kioo? π₯πΉπΉ