Ukweli utabaki kuwa ukweli

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sio wako buzzy na kuchora ramani za nyumba wajengazo?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
😹😹😹 uduguu inatosha naomba anzisha sala ya kulala..!!

SALA YA USIKU.
Tunakushukuru Mungu Baba yetu wa mbinguni kwa baraka na neema ulizotujalia siku ya leo.
Tunaukimbilia, ulinzi wako mzazi Mtakatifu wa Mungu, usitunyime tukiomba katika shida zetu, utuokoe kila siku tuingiapo hatarini, Ee Bikira Mtukufu mwenye baraka, Amina πŸ™

Haya wote kulala
 
Wewe umkune Nani,kukuna kwenye unajua,au ndiyo wale ukisokomeza unajua imeisha unabaki unadunda kama utos wa mtoto,pale kuna ufundi,siyo nakupa viuno sita ,halafu tunapishana
πŸ˜‚πŸ€£ Maria kama maria... πŸ˜‚πŸ€£
 
Wajinga wasiojitambua utawapata kwani bado wapo wengi tu haswa huko Dar. Yaani mimi mwanamke asiye na kazi au kujituma simpi nafasi ya kunisalimia na akinisalimia namuitikia tu kijuu juu kisha huyoooo nachomoka, I never date single mothers na broke women kama wa Bongo movie au madada wa mjini kwani hawana issue na wengi wao ni wawindaji tu wanaotafuta wanaume wenye hela kama mimi ili tuwatunze wao na familia zao. To hell with them.
 
Magumu kivipi? Kulala na kuamka unacheza na wajukuu nayo Kazi ngumu baba Uswege?
Kazi ngumu sana ushazoea ukiamka unaenda kazini lazima ujipange upate kashughuli cha kufanya nje ya hapo baada ya kustaafu. Mama gwamaka mimi sipendi kustaafu kama sijajipanga lazima niwe na ofisi zaidi ya moja niwe nasimamia mwenyew
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…