Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,353
- 62,397
Mtu anaewajua wanachama wa Chadema vizuri ni Mbowe, jamaa aliitisha maandamano mitandaoni akapata waungaji mkono wengi kinoma ila siku ya kuandamana ilivyofika achilia mbali kuandamana siku hiyo watu hata kazini hawakwenda wakajifungia ndani, mbowe akajikuta yuko barabarani yeye na binti yake Necole wawili tu nae akaishia kuwekwa lockup
Wafuasi wakawasha data wakaanza kupiga mikwara mitandaoni wanacoment "safari hii lazima tuue mtu, lazima tuue mtu" ila wakiskia hata sauti ya bajaji inakatiza nje wanajificha juu ya dari
Wafuasi wakawasha data wakaanza kupiga mikwara mitandaoni wanacoment "safari hii lazima tuue mtu, lazima tuue mtu" ila wakiskia hata sauti ya bajaji inakatiza nje wanajificha juu ya dari