Wewe mbona huendi?Heche, cdm na maandanano ??!
Mbona hawahusiki na hili swala ? Unawaonea tu
Wengi wenu mnajitahidi kuamini kuwa tarehe 29 watz wataandamana, ila kiuhalisia haiwezekani kwasababu zifuatazo.
1- Idadi ya wageni waliopo Tz ni kubwa mno, yaani wakongo, warundi, wamalawi, wahindi n.k. Hili kundi haliwezi kuandamana maana wapo nchini kwa hisani ya CCM. Kweli mhindi akaandamane akitaka haki?
2- Bado asilimia kubwa ya watz wapo vijijini hivyo hawajui yanayoendelea na asilimia chache iliopo mjini ndio wanajua.
3- Wengi bado wanaamini siasa sio vitu vyao, hata hafa JF tunaona mada zenye michango mingi huwa ni zipi.
4- Kuskiliziana, yaani kila mmoja anamsikilizia mwenzake aone kama ataandamana. Yaani nani alianzishe kutokana na woga.
5- Hofu ya kubambikwa kodi au makesi na kufilisiwa au hata kufukuzwa kazi.
6- Wengi wanaamini wakiandamana watauwawa au kuumizwa hivyo kuziathiri familia zao, umaskini utawafuata.
Kiuhalisia hakuna wakuandamana hiyo tarehe 29, kama tu mashabiki wa mpira walishindwa kuzomea wanasiasa siku ya matamasha ndio ije kuwa kutoka front.
Sina lengo lakuwakatisha tamaa, ila hata jana mahakamani wananchi walishindwa kuwa na umoja.
#TIMEWILLTELL
ata ukiweka chadema pale bado lazima pawe na matabaka, capitalism maaana yake wachache wapate otherwise turudi socialism ya nyerere bila ivo kila sehem utaandamanaKwani kuna wanachama wa chama fulani wanafurahia rushwa na ufujaji wa mali za umma?
Hapo kwenye "Watoto tu wabaki ndani", kwa hiyo maandamani ni amri sio uzalendo ?
FolliculostellateHapo kwenye "Watoto tu wabaki ndani", kwa hiyo maandamani ni amri sio uzalendo ?
Kuna namna kadhaa uchaguzi utakuwa wa fujoMaandamano ambayo yangekuwa ya maana ni kugoma kwenda kupiga kura Watanganyika wote wangekuwa wanajielewa wangeamua kubaki majumbani mwao siku hiyo 29 October lakini walivyo mazuzu watakwenda kuchomwa na jua kupanga foleni kushiriki najisi hii.
Fujo hazitakuwepo ila ninachojua INEC watapika takwimu kwa sababu wote wenye kujitambua hawatapoteza muda wao kushiriki hii najisi sasa ili kuficha aibu yao watasema waliopiga kura ni m39 lakini ukweli watakaopiga kura hawatazidi m12.Kuna namna kadhaa uchaguzi utakuwa wa fujo
Sio kuwa watu wote wanaweza kuandamana.Wengi wenu mnajitahidi kuamini kuwa tarehe 29 watz wataandamana, ila kiuhalisia haiwezekani kwasababu zifuatazo.
1- Idadi ya wageni waliopo Tz ni kubwa mno, yaani wakongo, warundi, wamalawi, wahindi n.k. Hili kundi haliwezi kuandamana maana wapo nchini kwa hisani ya CCM. Kweli mhindi akaandamane akitaka haki?
2- Bado asilimia kubwa ya watz wapo vijijini hivyo hawajui yanayoendelea na asilimia chache iliopo mjini ndio wanajua.
3- Wengi bado wanaamini siasa sio vitu vyao, hata hafa JF tunaona mada zenye michango mingi huwa ni zipi.
4- Kuskiliziana, yaani kila mmoja anamsikilizia mwenzake aone kama ataandamana. Yaani nani alianzishe kutokana na woga.
5- Hofu ya kubambikwa kodi au makesi na kufilisiwa au hata kufukuzwa kazi.
6- Wengi wanaamini wakiandamana watauwawa au kuumizwa hivyo kuziathiri familia zao, umaskini utawafuata.
Kiuhalisia hakuna wakuandamana hiyo tarehe 29, kama tu mashabiki wa mpira walishindwa kuzomea wanasiasa siku ya matamasha ndio ije kuwa kutoka front.
Sina lengo lakuwakatisha tamaa, ila hata jana mahakamani wananchi walishindwa kuwa na umoja.
#TIMEWILLTELL
Huku Familia za wahamasishaji zikiwa US na Canada salama salimini. Siku ya maandamano wanajituliza kwenye masofa simu zikiwa na bundles huku pembeni popcorn kama za 230,000/= zikiwasindikiza kutazama nyumbu zinavyoshughulikiwa. Kimsingi wahamasishaji wamekosa kabisa uhalali wa kusema watu waandamane.Maandamano hayapangiwi tarehe raia wakichoka huwa wanatoka wenyewe bila kuambiwa, hii ya kupanga tarehe na kumjaza mtu mizuka ya uongo na kweli siyo rahisi kufanikiwa
View attachment 3474510huyu mwenyewe aliyetengeneza hii poster huwezi kumuonq
Hakutakuwa na fujo.Kuna namna kadhaa uchaguzi utakuwa wa fujo
Gen z wa bongoMi najua maandamano hayawezekana kwa sababu moja tu
Haya maandamano yanahamasishwa mitandaoni tu ila mtaani watu wengi hawajui na wala hawana habar za mitandaoni na apo ndo shida inaanzia
Ata ukifuatilia kundi la vijana hawa mnaowaita gen z weng hawako mitandaoni na walioko mitandaoni akili yao kubwa ni mapenzi, betting na kufuatilia habar za wasanii
Kwa ufupi gen z wa Tanzania hawajapevuka, bado hawayajayajua maisha bado weng ni kula kulala na akipata pesa ya vocha,kuonga na pesa ya bata bas maisha yake yamekamilika hawawazi zaidi ya apo
Tz tuko nyuma sana ktk masuala ya mitandao nani ngumu sana kufanya kitu kwa kutegemea mtandao
Ata hawa wasanii wetu wanaoshinda tuzo za m tv, BET Wengi hushinda sabu hupigiwa kula na wakenya ila sio watanzania maana watanzania weng atujui kutumia mitandao