Wewe unawaza leo tu na hizo ndio akili za ngozi nyeusi iliopo Afrika. AI ilianza kugunduliwa miaka ya 1956.Wenye akili wanafanya tafiti ambazo zitatumika na kizazi kijacho hata baada ya miaka 100ok sawa umeujua mwezi ambao usingeujua bila wazungu, then mwezi umekusaidia nini mkuu. anyway, ujinga wa kwanza ni huko kujilinganisha na kujiona useless
na wewe una ngozi nyeusi unaweza kufanya hayo yote unayoyasema, usitake wote tufikiri kama wewe unavyotaka. halafu pia ngozi nyeusi wamefanya wonders nyingi tu ni vile unafikra za kujidharauWewe unawaza leo tu na hizo ndio akili za ngozi nyeusi iliopo Afrika. AI ilianza kugunduliwa miaka ya 1956.Wenye akili wanafanya tafiti ambazo zitatumika na kizazi kijacho hata baada ya miaka 100
Kweli mkuu, Angalia watu wanapiga na kumuumiza mwenzao eti kisa anatuhumiwa ameiba nyeti za mwenzake Kwa kumshika bega, ujinga mtupu.Ili kupiga hatua Tuachane kwanza na Imani za kijinga!
Maji ni huduma muhimu lakini mpaka Leo ndani ya Jiji la Dar es salaam si kila mwananchi anapata hii huduma, sijaongelea mikoani.Pia tujiulize, kwani tunashindana na nani? Kila mwananchi akishapata huduma zote za muhimu inatosha. Mambo ya vumbuzi ni matokeo tu, hayalazimishwi.
Haya mazoea ya kujibagua si mazuri.
Imagine kwamba ukishikwa bega nyeti zinapotea 🤔 lUjinga wa Muafrika upo kwenye utamaduni wake. Alafu hawataki kubadilika.
Imagine kuhusu kumnunua mwanamke kwa kile kiitwacho Mahari.
Imagine Mzazi hakosei na kuamini mambo ya laana ya wazazi Jambo ambalo halipo.
Imagine mkubwa hakosei. Dadeki
Imagine mtu kuamini maendeleo bila ushirikina haiwezekani
Imagine kufanikiwa utaitwa freemasonry
Imagine Mwanamke ati hawezi kujitegemea.
Mawazo ya afrika yanachekesha sana
Kwenye maji kwakweli inasikitisha Sana, vyanzo vya maji viko Kila Kona, ila maji mtaani hakuna 🤔Africa ni zaidi ya cursed nchi Zina vyanzo vya maji vya kutosha lakini maji safi na salama hakuna,kilimo Cha kutegemea mvua, wataalamu wetu wa afya wa ile inayo itwa hospital ya taifa waliweka mtambo wa kujifukiza pale hospital badala ya kuingia maabara kutafuta chanjo.
Majiji na miji ni slums tupu,njia za waenda Kwa miguu ni sehemu za biashara na vituo vya Bodaboda na bajaji,Ustaarabu ni zero kabisa taka Kila mahali,maji taka nayo hivyo hivyo.
"Wape bunduki watu weusi wataanza kuuana wenyewe Kwa wenyewe"Botha,Mo 29
"Mwafrika ni shujaa wa kupenda ngono,pombe na kucheza ngoma"Botha
Nimetukana mkuu kimoyomoyo 🤣🤣Bado natafakari neno "wazungu" linanitia kizungumkuti maana lina maana zaidi ya moja..😅
Niko Afrika nashugulikia kwanza tumbo(njaa) hivyo siwezi kufanya makubwa. Hata wazungu sio wote wanawaza/waliwaza kama NASA, Newton ,Einstein,Faraday hivyo hujalazimishwa kufikiri kama wengine.na wewe una ngozi nyeusi unaweza kufanya hayo yote unayoyasema, usitake wote tufikiri kama wewe unavyotaka. halafu pia ngozi nyeusi wamefanya wonders nyingi tu ni vile unafikra za kujidharau
Once we call you Chimpazee u react badly....sorryJust imagine bila wazungu tusingejua muonekano wa mwezi wala dunia, wazungu wameleta mwanga wametutoa kwenye giza.
Bila wazungu sisi tungeishi kama wanyama porini tu.
Waafrika tumefanya nini la maana ambalo dunia imejivunia kutoka bara letu hili la afrika? Hakuna chochote ni wizi, umasikini mtupu, ufisadi wa viwango vya juu, unyanganyi mkubwa, totally were useless my bro we need to change our vision now.
Leo tuna viongozi ambao hata kulinganisha dollar na shillings hawajui kufuatilia miradi hawajui leo tunaambiwa eti mafuta marekani litre moja ni dollar 8000 sawasawa na million 20 kwa liter hapa bongo jamani hiii akili inachemka kweli we are going to die soon my bro 😔
Kiongozi anatokea eti ata sisi tunaweza kwenda mwezini unateknolojia gani ya kufika mwezini ? Itoshe kusema tumelaaniwa .