Ukweli usemwe tu. We Africans were useless!

Ukweli usemwe tu. We Africans were useless!

Mwalimu wangu mmoja wa sekondari Kipindi hicho alikuwa anatuambia kuwa Kipindi mungu anaumba watu basi Sisi tulikuwa wa mwisho mwisho kabisa sasa maji ya baraka yalikuwa yameisha basi mungu akawa anarusha rusha randomly vitone tone vya maji ya baraka Kwa Waafrika ili Kila mtu apate, basi tukapata vitone tone Tu wakati wenzetu wa mwanzo walimwagiwa maji mengi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom