Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,204
- 3,983
Just imagine bila wazungu tusingejua muonekano wa mwezi wala dunia, wazungu wameleta mwanga wametutoa kwenye giza.
Bila wazungu sisi tungeishi kama wanyama porini tu.
Waafrika tumefanya nini la maana ambalo dunia imejivunia kutoka bara letu hili la afrika? Hakuna chochote ni wizi, umasikini mtupu, ufisadi wa viwango vya juu, unyanganyi mkubwa, totally were useless my bro we need to change our vision now.
Leo tuna viongozi ambao hata kulinganisha dollar na shillings hawajui kufuatilia miradi hawajui leo tunaambiwa eti mafuta marekani litre moja ni dollar 8000 sawasawa na million 20 kwa liter hapa bongo jamani hiii akili inachemka kweli we are going to die soon my bro 😔
Kiongozi anatokea eti ata sisi tunaweza kwenda mwezini unateknolojia gani ya kufika mwezini ? Itoshe kusema tumelaaniwa .