Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 852
- 2,348
Ndiye nan huyo
Ushaambiwa hizo topiki hazihusiki kwenye Muziki wa Mungu ili mradi watu wamebarikiwa.Topic weka Kwenye miziki yenu huko mfano ule wa zuchu na whozo nimesikia yule mwiko wa pilau anamwambia mwanaume akaoshe map*mbuUpo nje ya mada. Israel Mbonyi ni msanii wa studio ndio topic.