Ukweli unauma, serikali ya CCM lazima mkubali kuwa hamkubaliki maeneo haya | Page 4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli unauma, serikali ya CCM lazima mkubali kuwa hamkubaliki maeneo haya

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by falcon mombasa, Oct 9, 2017.

 1. falcon mombasa

  falcon mombasa JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2017
  Joined: Mar 5, 2015
  Messages: 8,150
  Likes Received: 5,300
  Trophy Points: 280
  licha ya ccm kufanya vitendo vingi vya hila za kisiasa pamoja na propaganda
  CCM isitegemee kukubalika kwenye maeneo haya hata iweje

  1.Arusha
  3.Dar es salaam
  3.Mbeya
  4.Kigoma
  5.Kilimanjaro
  6.Mara
  7.Iringa mjini
  8.Mtwara
  9.Pemba
  10.Unguja


  ccm ni lazima mjifunze kukubali kuwa maeneo hayo hata mpige kelele vipi hamkubaliki
   
 2. R

  Retired JF-Expert Member

  #61
  Oct 10, 2017
  Joined: Jul 22, 2016
  Messages: 12,590
  Likes Received: 15,453
  Trophy Points: 280
  Tanga waoga. Nadhani hakuna watu waoga kama wa Tanga. Watu wanakula mlo mmoja! Ndio wagosi wa Tanga, Mamwinyi!
   
 3. goggles

  goggles JF-Expert Member

  #62
  Oct 10, 2017
  Joined: Apr 1, 2017
  Messages: 971
  Likes Received: 762
  Trophy Points: 180
  Zamani nilikuwa naichukia sana CCM na nilikuwa naipenda sana CDM lakini baada ya vyama hivyo kubadilishana mbinu imebidi mm nirudi CCM.

  Kwani kwa sasa CDM inakumbatia mafisadi na ufisadi kwa juhudi sana, nayo CCM ikiwapinga mafisadi na ufisadi kwa nguvu zote.
   
 4. M

  Mnasihi JF-Expert Member

  #63
  Oct 10, 2017
  Joined: Oct 9, 2013
  Messages: 4,202
  Likes Received: 2,514
  Trophy Points: 280
  Unawashwawashwa eeh! Mada mtakuwa nazo ninyi raia wa kupiga kura? Si mnajificha ccm siku hizi! Tutaonana 2020 na hapo tutatafutana na kuutambua unyumbu nilionao na ngedere wewe usipakimbie hapa! Na usibadili id yako hii ya kiwavi mavi!
   
 5. T

  Tunutu kiwavi JF-Expert Member

  #64
  Oct 11, 2017
  Joined: Jul 2, 2016
  Messages: 477
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 60
  duh kweku siku hizi mmeishiwa mmebaki na matusi tu nyumbu, hadi mada husika umeshaisahau.
   
 6. chemistryj

  chemistryj JF-Expert Member

  #65
  Oct 11, 2017
  Joined: Jan 4, 2017
  Messages: 240
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 60
  Unguja unajidanganya
   
 7. M

  Mnasihi JF-Expert Member

  #66
  Oct 11, 2017
  Joined: Oct 9, 2013
  Messages: 4,202
  Likes Received: 2,514
  Trophy Points: 280
  Nikujibuje kwa kiswahili hicho ulichoandika hapo? Labda kwa kirundi tutaelewana ola sio kiswahili chako hiki! Kisha niache kwani mie sio wa level yako.
   
 8. T

  Tunutu kiwavi JF-Expert Member

  #67
  Oct 12, 2017
  Joined: Jul 2, 2016
  Messages: 477
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 60
  kweli mi si wa level yako kama unasahuau hadi mada usika unaonekana hata necta mbili hujazimaliza
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...