Ukweli unauma, serikali ya CCM lazima mkubali kuwa hamkubaliki maeneo haya | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli unauma, serikali ya CCM lazima mkubali kuwa hamkubaliki maeneo haya

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by falcon mombasa, Oct 9, 2017.

 1. falcon mombasa

  falcon mombasa JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2017
  Joined: Mar 5, 2015
  Messages: 7,575
  Likes Received: 4,512
  Trophy Points: 280
  licha ya ccm kufanya vitendo vingi vya hila za kisiasa pamoja na propaganda
  CCM isitegemee kukubalika kwenye maeneo haya hata iweje

  1.Arusha
  3.Dar es salaam
  3.Mbeya
  4.Kigoma
  5.Kilimanjaro
  6.Mara
  7.Iringa mjini
  8.Mtwara
  9.Pemba
  10.Unguja


  ccm ni lazima mjifunze kukubali kuwa maeneo hayo hata mpige kelele vipi hamkubaliki
   
 2. c

  chikundi JF-Expert Member

  #41
  Oct 9, 2017
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 7,075
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo wajitenge?
   
 3. c

  chikundi JF-Expert Member

  #42
  Oct 9, 2017
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 7,075
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  Wamefanyaje?
   
 4. c

  chikundi JF-Expert Member

  #43
  Oct 9, 2017
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 7,075
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  Uko sahihi ndio maana rais katoka ukawa.
   
 5. mansolata

  mansolata JF-Expert Member

  #44
  Oct 9, 2017
  Joined: Aug 8, 2016
  Messages: 232
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 45
  Sio Tanga tu hata Mtwara haistail kuepo kwenye orodha
   
 6. n

  ngilenengo1 JF-Expert Member

  #45
  Oct 9, 2017
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 933
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Yakitumika mazingira ya haki katika uchaguzi:
  - Ondoa upendeleo wa vyombo vya dola hasa polisi
  - Weka tume huru ya uchaguzi
  - Ondoa sheria kandamizi

  Kwa hakika sisiem tukishinda zaidi ya asilimia 10 ni maajabu. Hali ni mbaya sana wananchi wamechoka na kukinai
   
 7. G

  GENTAMYCINE JF-Expert Member

  #46
  Oct 9, 2017
  Joined: Jul 13, 2013
  Messages: 22,604
  Likes Received: 21,733
  Trophy Points: 280
  Na bahati nzuri au sijui mbaya hiyo Mikoa 10 tajwa hapo juu ndiyo Mikoa ' pekee ' kabisa nchini Tanzania ambapo wanatoka Watu wenye akili nyingi, maarifa mengi na wenye maono yaliyotukuka halafu huwa ' hawaogopi ' na ' hawatishwi ' na chochote au na yoyote yule. Mikoa ambao haipo hapo katika ' Kikosi ' chako hapo juu ndiyo mikoa ambayo inaturudisha nyuma kama siyo kutuchelewesha Watanzania kupata Maendeleo ' pevu ' ya Kidemokrasia.
   
 8. T

  Tunutu kiwavi JF-Expert Member

  #47
  Oct 9, 2017
  Joined: Jul 2, 2016
  Messages: 436
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  umeishiwa hoja umeanza kashfa na chama chenu cha CHAGADEMA
   
 9. T

  Tunutu kiwavi JF-Expert Member

  #48
  Oct 9, 2017
  Joined: Jul 2, 2016
  Messages: 436
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  TUNASHUKURU KWAMBA CCM BADO INAMIKOA MINGI KULIKO CHAGADEMA
   
 10. T

  Tunutu kiwavi JF-Expert Member

  #49
  Oct 9, 2017
  Joined: Jul 2, 2016
  Messages: 436
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  HIVI KIGOMA NA MBEYA IRINGA MNAWABUNGE WANGAPI KAMA KWELI NI NGOME YENYE. NGOME YENU NI ARUSHA NA KILIMANJARO KWA SABABU YA UKABILA NA NDO KUNA ONGOZA TANZANIA HII KUWA NA MAISHA MAGUMU
   
 11. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #50
  Oct 9, 2017
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,290
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Mkuu falcon mombasa 11 Manyara nao kwa asilimia kubwa wameanza kujitambua.
   
 12. falcon mombasa

  falcon mombasa JF-Expert Member

  #51
  Oct 9, 2017
  Joined: Mar 5, 2015
  Messages: 7,575
  Likes Received: 4,512
  Trophy Points: 280
  kweli kabisa mkuu
   
 13. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #52
  Oct 9, 2017
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,730
  Likes Received: 3,826
  Trophy Points: 280
  Takwimu hizi za kwenu au halisi
   
 14. swissme

  swissme JF-Expert Member

  #53
  Oct 9, 2017
  Joined: Aug 15, 2013
  Messages: 12,435
  Likes Received: 14,568
  Trophy Points: 280

  Unabisha nini?  Swissme
   
 15. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #54
  Oct 9, 2017
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,895
  Likes Received: 3,588
  Trophy Points: 280
  CCM kwenye maeneo hayo ni kama malaria. haikubaliki!
   
 16. M

  Mnasihi JF-Expert Member

  #55
  Oct 10, 2017
  Joined: Oct 9, 2013
  Messages: 3,049
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  Hicho chenu cha mapunguani ndio unakisifu? Na kwako hoja ni kioja! Vipi, bado mnapewa uraia kama fadhila za kukiunga mkono? Rudini kwenu kwenye ile milima ya kokoto mkaijenge Burundi yenu.
   
 17. chigga2

  chigga2 Senior Member

  #56
  Oct 10, 2017
  Joined: Mar 22, 2016
  Messages: 172
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  HIYO MIKOA NDIO YENYE IDADI KUBWA YA WATU TANZANIA.....KWAHIYO NI WAZI KUA CCM INAENDELEA KUFA....MWAKA 2020..ITAONGEZEKA..MOROGORO.TANGA NA LINDI NA PWANI
   
 18. A

  Augustino Fanuel Massongo JF-Expert Member

  #57
  Oct 10, 2017
  Joined: Dec 23, 2016
  Messages: 1,104
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli hili bandiko lako basi CCM bado dume maana ukichukua Idadi ya mikoa iliyobaki ambako CCM inakubalika baada ya kuzingatia idadi ya mikoa yote na ukitoa hiyo kumi uliyoiorodhesha basi CCM ina ridhaa ya Watanzania.
   
 19. T

  Tunutu kiwavi JF-Expert Member

  #58
  Oct 10, 2017
  Joined: Jul 2, 2016
  Messages: 436
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  duh nyumbu hivi unajua mada iliyoko mezani au ndo unyumbu unakuzingua
   
 20. T

  Tunutu kiwavi JF-Expert Member

  #59
  Oct 10, 2017
  Joined: Jul 2, 2016
  Messages: 436
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  chadema wanawabunge na madiwani wengi dar. arusha na kilimanjaro tu mikoa mingine yote ilibaki ni majanga tu kwa chagadema.
   
 21. Gangongine

  Gangongine JF-Expert Member

  #60
  Oct 10, 2017
  Joined: Dec 31, 2015
  Messages: 3,743
  Likes Received: 1,723
  Trophy Points: 280
  Dalili za dege dege hizi!!
   
Loading...