Ukweli unauma, serikali ya CCM lazima mkubali kuwa hamkubaliki maeneo haya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli unauma, serikali ya CCM lazima mkubali kuwa hamkubaliki maeneo haya

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by falcon mombasa, Oct 9, 2017.

 1. falcon mombasa

  falcon mombasa JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2017
  Joined: Mar 5, 2015
  Messages: 7,575
  Likes Received: 4,512
  Trophy Points: 280
  licha ya ccm kufanya vitendo vingi vya hila za kisiasa pamoja na propaganda
  CCM isitegemee kukubalika kwenye maeneo haya hata iweje

  1.Arusha
  3.Dar es salaam
  3.Mbeya
  4.Kigoma
  5.Kilimanjaro
  6.Mara
  7.Iringa mjini
  8.Mtwara
  9.Pemba
  10.Unguja


  ccm ni lazima mjifunze kukubali kuwa maeneo hayo hata mpige kelele vipi hamkubaliki
   
 2. Mwifwa

  Mwifwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2017
  Joined: Apr 3, 2017
  Messages: 12,596
  Likes Received: 30,062
  Trophy Points: 280
  100%
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2017
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,549
  Likes Received: 9,699
  Trophy Points: 280
  Watu wa Tanga wananiangusha saana aiseeeee
   
 4. M

  MENGELENI KWETU JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2017
  Joined: Oct 23, 2013
  Messages: 5,922
  Likes Received: 11,790
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa Mkuu.
   
 5. francis bakari

  francis bakari Senior Member

  #5
  Oct 9, 2017
  Joined: Aug 1, 2017
  Messages: 129
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Kwa unguja unajidanganya
  Na pia usishangae mikoa hiyo ndipo sisiemu ikakubalika sana 2020.
   
 6. kadagala1

  kadagala1 JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2017
  Joined: Nov 23, 2016
  Messages: 4,337
  Likes Received: 3,902
  Trophy Points: 280
  Watu wa tanga hawapendi vurugu.
   
 7. T

  Tunutu kiwavi JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2017
  Joined: Jul 2, 2016
  Messages: 436
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  hadi raha yaani katika mikoa 30, ccm haikubaliki mikoa 10 tu
   
 8. hazole1

  hazole1 JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2017
  Joined: Jan 3, 2015
  Messages: 3,931
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  Kiujumla ccm haukubaliki tanzania nzima. ukiona mtu anaikubali ccm basi ujue anaikubali kinafiki.
   
 9. M

  Mnasihi JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2017
  Joined: Oct 9, 2013
  Messages: 3,049
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  Kwanini? Naamini mikoa mingi itaongezeka huko mbeleni.
   
 10. T

  Tunutu kiwavi JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2017
  Joined: Jul 2, 2016
  Messages: 436
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  mikoa mnaokubalika ni arusha na kilimanjaro na dar kdogo kwa shahidi zaid takwimu tafuta takwimu za wabungewaliopo mikoa hiyo wengi ni wachama kipi
   
 11. F

  FUSO JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2017
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,596
  Likes Received: 1,944
  Trophy Points: 280
  By force mikoa hiyo lazima ilegee
   
 12. T

  Tunutu kiwavi JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2017
  Joined: Jul 2, 2016
  Messages: 436
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  kigoma ukawa ilishafutwa kabisa
   
 13. T

  Tunutu kiwavi JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2017
  Joined: Jul 2, 2016
  Messages: 436
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  hivi unajua kuwa kuna mikoa ukawa haina mbunge hata mmoja lakini hamna mkoa ambao ccm haina mbunge sasa hapo hutajua chama kipi hakikubliki
   
 14. hazole1

  hazole1 JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2017
  Joined: Jan 3, 2015
  Messages: 3,931
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  Saizi mtu anapo izungumiza tanzania anaogopa hata kusema tanzania ni nchi ya amani. Kwanza anaanzia wapi ikiwa watu wanapigwa risasi mchana kweupe.

  Inshu sio ubunge inshu ni kwamba ccm inazidi kupoteza maana kila kukicha.
   
 15. mimi mkali

  mimi mkali JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2017
  Joined: Dec 14, 2012
  Messages: 1,522
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  Labda watununulie kila nyumba 10 bombadia moja..siyo vitishet na vikofia vyao.
   
 16. h

  hakika utakufa JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2017
  Joined: Aug 8, 2016
  Messages: 1,729
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  Ni sehem kubwa tu sema haya majitu majizi mauaji kwa mfano ss yamegeuza siasa kuwa mauaji yanauwa ile mbaya .
   
 17. francis bakari

  francis bakari Senior Member

  #17
  Oct 9, 2017
  Joined: Aug 1, 2017
  Messages: 129
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Utapewa hivyo na kura yako utaitoa
  Tatizo ni 1 watz wengi elimu ya siasa hatuna ikiwamo ya kupiga kura
   
 18. ikipendaroho

  ikipendaroho JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2017
  Joined: Jul 26, 2015
  Messages: 1,450
  Likes Received: 904
  Trophy Points: 280
  Lakini hiyo mikoa 10 ndio 75% ya population ya Tanzania. Umefikiria hilo?
   
 19. T

  Tunutu kiwavi JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2017
  Joined: Jul 2, 2016
  Messages: 436
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  duh hizo takwimu za kinyumbu arusha na dar pekee ndo mikoa mikoa mikubwa lakin population yake haizid hat mil 10
   
 20. T

  Tunutu kiwavi JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2017
  Joined: Jul 2, 2016
  Messages: 436
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  haya maneno ya kwenye kahawa toa data ushahidi, fuatilia hata uchguzi mdogo wa mwaka huu wa februali ccm imeshinda hadi kwenye kata za arusha.
   
Loading...