Ukweli unauma, serikali ya CCM lazima mkubali kuwa hamkubaliki maeneo haya | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli unauma, serikali ya CCM lazima mkubali kuwa hamkubaliki maeneo haya

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by falcon mombasa, Oct 9, 2017.

 1. falcon mombasa

  falcon mombasa JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2017
  Joined: Mar 5, 2015
  Messages: 8,153
  Likes Received: 5,307
  Trophy Points: 280
  licha ya ccm kufanya vitendo vingi vya hila za kisiasa pamoja na propaganda
  CCM isitegemee kukubalika kwenye maeneo haya hata iweje

  1.Arusha
  3.Dar es salaam
  3.Mbeya
  4.Kigoma
  5.Kilimanjaro
  6.Mara
  7.Iringa mjini
  8.Mtwara
  9.Pemba
  10.Unguja


  ccm ni lazima mjifunze kukubali kuwa maeneo hayo hata mpige kelele vipi hamkubaliki
   
 2. M

  Mnasihi JF-Expert Member

  #21
  Oct 9, 2017
  Joined: Oct 9, 2013
  Messages: 4,204
  Likes Received: 2,518
  Trophy Points: 280
  Lazima ifutwe kwani wakazi wengi wa huko ndio wale wakimbizi wa Burundi waliopewa uraia na kadi za ccm! Nawe ni mmojawao?
   
 3. Bigbon

  Bigbon JF-Expert Member

  #22
  Oct 9, 2017
  Joined: May 21, 2016
  Messages: 595
  Likes Received: 694
  Trophy Points: 180
  Nashangaa sana watu si waelewa SISIEMU inashuka na upinzani unapnda kwa kasi.Wataelewa tu kwa watu waliosoma mambo ya takwimu au mathematics.Ukizingatia karibu maeneo mengi yenye uchumi mzuri SISIEM haipendwi. Mfano SISIEM inapendwa dodoma lakini haipendwi Arusha .Au inapendwa Lindi Laikini haipendwi Dar es salam.inapendwa Nanyumbu haipendwi Mtwara mjini.au inapendwa Kilolo haipendwi Iringa Mjini.
   
 4. k

  kamarah JF-Expert Member

  #23
  Oct 9, 2017
  Joined: Nov 8, 2016
  Messages: 368
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 80
  Ikiwa awali kilikuwa kinatawala chama kimoja tu CCM, na sasa kuna vyama vingine na vimechukua baadhi ya majimbo ambayo yalikuwa yakiongozwa na CCM, hivi huoni CCM ndo looser? Au unajitoa ufahamu?
   
 5. G

  Gumbu Senior Member

  #24
  Oct 9, 2017
  Joined: Feb 24, 2017
  Messages: 197
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 45
  Umesahau.
  Geita
  Kagera
   
 6. BarTender

  BarTender JF-Expert Member

  #25
  Oct 9, 2017
  Joined: Sep 3, 2016
  Messages: 430
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Mweeeee....!
   
 7. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #26
  Oct 9, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,591
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  Bhaambie habhoo mafisiemu habhajitambui
   
 8. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #27
  Oct 9, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,591
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  No research no right to speak!!
   
 9. B

  Baba wa Mapaka JF-Expert Member

  #28
  Oct 9, 2017
  Joined: Oct 17, 2016
  Messages: 628
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 80
  Tunakuangusha
  Jaribu kutembelea jimboni kwa January Makamba kisha utoe sera za CCM uone hana alichokifanya zaidi ya kukifungia kiwanda cha chai Mponde...

  Kuhusu maendeleo barabara mbovu haipitiki Soni - Bumbuli.
   
 10. Lufulandama

  Lufulandama Senior Member

  #29
  Oct 9, 2017
  Joined: Jun 6, 2017
  Messages: 189
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 60
  Ccm haikubaliki nyumbani kwetu,kwa majirani na kwangu,sasa nashangaa unataja mikoa
  Ungesema haikubaliki kwa kila mtu tz
   
 11. Encyclopedic

  Encyclopedic New Member

  #30
  Oct 9, 2017
  Joined: Oct 9, 2017
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hayo ni mawazo yako tu!
   
 12. falcon mombasa

  falcon mombasa JF-Expert Member

  #31
  Oct 9, 2017
  Joined: Mar 5, 2015
  Messages: 8,153
  Likes Received: 5,307
  Trophy Points: 280
  hiyo mikoa niliyotaja ndio ngome kuu ya ukawa haimaanishi mikoa mingine hakuna wana ukawa
   
 13. falcon mombasa

  falcon mombasa JF-Expert Member

  #32
  Oct 9, 2017
  Joined: Mar 5, 2015
  Messages: 8,153
  Likes Received: 5,307
  Trophy Points: 280
  ni kweli mkuu ila nimetaja mikoa ambayo ni zaidi
   
 14. kikurunge

  kikurunge JF-Expert Member

  #33
  Oct 9, 2017
  Joined: Jul 30, 2016
  Messages: 674
  Likes Received: 650
  Trophy Points: 180
  Kweli kabisa kwa sababu ndiko pesa inakutumika sana kununua wanachama
   
 15. mtwa mkulu

  mtwa mkulu JF-Expert Member

  #34
  Oct 9, 2017
  Joined: Sep 11, 2013
  Messages: 2,316
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  kwa alichokifanya mwanjerwa pale sido Sugu sikuhizi anaonekana kama zimwi furani huku mbeya
   
 16. e

  enoah JF-Expert Member

  #35
  Oct 9, 2017
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 231
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 60
  Kigoma labda kigoma mjini, uvinza na kakonko lakini Kasulu Ni upepo tu watachagua ccm,kibondo,buhigwe,kigoma vijijin wote ccm hakuna upinzani tena huku kigoma siku hizi.
   
 17. katikomire

  katikomire Senior Member

  #36
  Oct 9, 2017
  Joined: Sep 22, 2017
  Messages: 121
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Mamwinyi wengi hawapendi shida
   
 18. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #37
  Oct 9, 2017
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 28,608
  Likes Received: 13,265
  Trophy Points: 280
  Yes hio ndio Point yangu kuwa pamoja na madudu yote hayo bado wanaipenda CCM na hapa lazima nimlaumu Chakaza na zumbemkuu na Kaka yangu MANI
   
 19. barafuyamoto

  barafuyamoto JF-Expert Member

  #38
  Oct 9, 2017
  Joined: Jul 26, 2014
  Messages: 24,559
  Likes Received: 16,656
  Trophy Points: 280
  Mbeya mjini, sehemu kubwa inayobaki na zenye watu wengi inakubalika, jpm anakubalika!! Na huko ulikotaja mambo yanabadilika.
   
 20. falcon mombasa

  falcon mombasa JF-Expert Member

  #39
  Oct 9, 2017
  Joined: Mar 5, 2015
  Messages: 8,153
  Likes Received: 5,307
  Trophy Points: 280
  hata huko kwenye ccm nanyi mnabadilika mnarudi ukawa
   
 21. falcon mombasa

  falcon mombasa JF-Expert Member

  #40
  Oct 9, 2017
  Joined: Mar 5, 2015
  Messages: 8,153
  Likes Received: 5,307
  Trophy Points: 280
  ccm wanawabunge wangapi kigoma
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...