Ukweli unaonyesha CCM haiwezi kabisa kushinda uchaguzi mwaka 2020

Gwayema

Member
Nov 16, 2016
53
125
Ukweli unabaki kuwa mabadiliko yalitikisa sana mwaka 2020. Jamii ikachangamkia na kuchemka kwa sababu ya joto la mabadiliko. Kiasi kwamba mpaka CCM wakaamua kudandia train la mabadiliko mpaka tukampata raisi tuliyenaye.

Kwa uchambuzi yakinifu kabisa ni kwamba

1.Wanamabadiliko wengi walikuwa vijana ambao walijitokeza kumpigia kura Lowassa na tunategemea pia watakuwa na nguvu bado na watajitokeza kupiga tena kura. Na inavyoonekana bado hawajashawishika na raisi aliye madarakani kwa hiyo kura zao bado zitapigwa UKAWA.

2.Kipo kizazi kipya cha wapiga kura kitakacho ibukia 2020. Hiki ni kizazi cha dot. com yaani wapenda mitandao ambayo utawala uliopo unaomba malaika waizime. Na hawa pia wana damu ya upinzani dhidi ya sera za kijima na kijamaa na kwa asilimia kubwa hawajashawishika na siasa za chama tawala.

3. Wengi wa waliompigia kura raisi ni watu wazima na wazee ambao ndani ya mwaka mmoja tu wamechoka na wengine wamekata tamaa kwa staili ya utawala wake. Kwa hiyo katika hawa baadhi hasa hawatapiga kura na wengine watabadilika na kurudi upande wa pili.

4. Wapo wasio na vyama na wengine ni UKAWA ambao walimpigia kura kwa kujaribu tu wakiamini kwamba kwa kariba yake basi ataleta mabadiliko tofauti na utawala wa nyuma na wengine waliona yeye ni bora kuliko Lowassa waUKAWA. Baadhi yao sasa wameshamgeuka na wanaona walikosea mwaka 2015.

5. Wapo wale (ndani ya serikali na CCM) ambao utawala huu umeawaumiza, kuwadhalilisha na hata kusababisha vidonda katika maisha yao na hawa pia hawawezi kurudia maamuzi ya mwaka 2015.

6. Wapo wafanya biashara ambao kutokana na sera hizi za awamu hii biashara zao tena halali kabisa zimeathirika na wengine wamefikia hatua ya kufunga biashara. Hawa pia hawataweza kumpa tena kura.

Sasa unaweza kujiuliza CCM watapata wapi wapiga kura wapya ukitia maanani kwamba wapiga kura wao kwa asilimia kubwa ni watu wazima na wazee ambao inawezekana kufikia 2020 wakaona ni usumbufu kujipanga katika foleni ya kupiga kura?

Kama CCM mnaamini kura zenu zitaongezeka je, zitatoka katika kundi lipi? Wapiga kura wenu wapya ni akina nani?

Mnafikiri mnaweza kushinda kwa njia halali 2015?

UKAWA anzeni kupigania tume huru ya uchaguzi. Kura nyingi ni zenu 2020.
 
mmmkme

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
244
250
Unaonaje kama ikiendelea kuwa siri yako na ukiwashirikisha na wabadili gia angani waanze kuunda baraza la mawaziri kabisa!!!!! Maana tayari wameshinda!!!!!!
ILA AMBACHO HUPASWI KUSAHAU WEWE UMEPIGA MAHESABU NDANI YA MIAKA MITANO NA TAYARI UMEONA YAMEKUBALI....WENZAKO WALIPIGA MAHESABU HAYOHAYO TANGU MWAKA 1995 (Rejea Boyz 2men) LKN HADI LEO HESABU HAZIJAKUBALI
MY TAKE:-Ukijua kuna moja mwenzako anajua kuna kumi na moja!!!!!!

Ukiona sura ya mnyama kwenye sarafu geuza upande wa pili kuna sura ya binadamu

Btw...mamvi ameshafanya kama Mgabe... (2018mgabeforpresidency)...hata yeye (2020enlowassaforpresidencythroughukawa)
SASA JIDANGANYE KUJA NA JINA LAKO PEMBENI NDO UTAMJUA MAMVI!!!!!
Sorry! !!!!!! Nawaza kwa sauti tu!!!!!!!!!
 
Jitahidi kidogo uonyeshe CCM inaweza kushinda kwa kura zipi?
 
Kifoi

JF-Expert Member
May 12, 2007
1,121
1,500
Ukweli unabaki kuwa mabadiliko yalitikisa sana mwaka 2020. Jamii ikachangamkia na kuchemka kwa sababu ya joto la mabadiliko. Kiasi kwamba mpaka CCM wakaamua kudandia train la mabadiliko mpaka tukampata raisi tuliyenaye.

Kwa uchambuzi yakinifu kabisa ni kwamba

1.Wanamabadiliko wengi walikuwa vijana ambao walijitokeza kumpigia kura Lowassa na tunategemea pia watakuwa na nguvu bado na watajitokeza kupiga tena kura. Na inavyoonekana bado hawajashawishika na raisi aliye madarakani kwa hiyo kura zao bado zitapigwa UKAWA.

2.Kipo kizazi kipya cha wapiga kura kitakacho ibukia 2020. Hiki ni kizazi cha dot. com yaani wapenda mitandao ambayo utawala uliopo unaomba malaika waizime. Na hawa pia wana damu ya upinzani dhidi ya sera za kijima na kijamaa na kwa asilimia kubwa hawajashawishika na siasa za chama tawala.

3. Wengi wa waliompigia kura raisi ni watu wazima na wazee ambao ndani ya mwaka mmoja tu wamechoka na wengine wamekata tamaa kwa staili ya utawala wake. Kwa hiyo katika hawa baadhi hasa hawatapiga kura na wengine watabadilika na kurudi upande wa pili.

4. Wapo wasio na vyama na wengine ni UKAWA ambao walimpigia kura kwa kujaribu tu wakiamini kwamba kwa kariba yake basi ataleta mabadiliko tofauti na utawala wa nyuma na wengine waliona yeye ni bora kuliko Lowassa waUKAWA. Baadhi yao sasa wameshamgeuka na wanaona walikosea mwaka 2015.

5. Wapo wale (ndani ya serikali na CCM) ambao utawala huu umeawaumiza, kuwadhalilisha na hata kusababisha vidonda katika maisha yao na hawa pia hawawezi kurudia maamuzi ya mwaka 2015.

6. Wapo wafanya biashara ambao kutokana na sera hizi za awamu hii biashara zao tena halali kabisa zimeathirika na wengine wamefikia hatua ya kufunga biashara. Hawa pia hawataweza kumpa tena kura.

Sasa unaweza kujiuliza CCM watapata wapi wapiga kura wapya ukitia maanani kwamba wapiga kura wao kwa asilimia kubwa ni watu wazima na wazee ambao inawezekana kufikia 2020 wakaona ni usumbufu kujipanga katika foleni ya kupiga kura?

Kama CCM mnaamini kura zenu zitaongezeka je, zitatoka katika kundi lipi? Wapiga kura wenu wapya ni akina nani?

Mnafikiri mnaweza kushinda kwa njia halali 2015?

UKAWA anzeni kupigania tume huru ya uchaguzi. Kura nyingi ni zenu 2020.
CCM hawana haja na wapiga kura wala nn wao wanachohitaji ni tume ya uchaguzi(lubuva2) pamoja na polisi full stop.
 
Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
3,675
2,000
CCM itashinda 2020,2025,2030,2035- ikiwa Katiba Haitobadilishwa na ikiwa Marais hawata taka kuinajisi katiba. Kinyume na Hapo CCM itatawala tu.

Ukweli unabaki kuwa mabadiliko yalitikisa sana mwaka 2020. Jamii ikachangamkia na kuchemka kwa sababu ya joto la mabadiliko. Kiasi kwamba mpaka CCM wakaamua kudandia train la mabadiliko mpaka tukampata raisi tuliyenaye.

Kwa uchambuzi yakinifu kabisa ni kwamba

1.Wanamabadiliko wengi walikuwa vijana ambao walijitokeza kumpigia kura Lowassa na tunategemea pia watakuwa na nguvu bado na watajitokeza kupiga tena kura. Na inavyoonekana bado hawajashawishika na raisi aliye madarakani kwa hiyo kura zao bado zitapigwa UKAWA.

2.Kipo kizazi kipya cha wapiga kura kitakacho ibukia 2020. Hiki ni kizazi cha dot. com yaani wapenda mitandao ambayo utawala uliopo unaomba malaika waizime. Na hawa pia wana damu ya upinzani dhidi ya sera za kijima na kijamaa na kwa asilimia kubwa hawajashawishika na siasa za chama tawala.

3. Wengi wa waliompigia kura raisi ni watu wazima na wazee ambao ndani ya mwaka mmoja tu wamechoka na wengine wamekata tamaa kwa staili ya utawala wake. Kwa hiyo katika hawa baadhi hasa hawatapiga kura na wengine watabadilika na kurudi upande wa pili.

4. Wapo wasio na vyama na wengine ni UKAWA ambao walimpigia kura kwa kujaribu tu wakiamini kwamba kwa kariba yake basi ataleta mabadiliko tofauti na utawala wa nyuma na wengine waliona yeye ni bora kuliko Lowassa waUKAWA. Baadhi yao sasa wameshamgeuka na wanaona walikosea mwaka 2015.

5. Wapo wale (ndani ya serikali na CCM) ambao utawala huu umeawaumiza, kuwadhalilisha na hata kusababisha vidonda katika maisha yao na hawa pia hawawezi kurudia maamuzi ya mwaka 2015.

6. Wapo wafanya biashara ambao kutokana na sera hizi za awamu hii biashara zao tena halali kabisa zimeathirika na wengine wamefikia hatua ya kufunga biashara. Hawa pia hawataweza kumpa tena kura.

Sasa unaweza kujiuliza CCM watapata wapi wapiga kura wapya ukitia maanani kwamba wapiga kura wao kwa asilimia kubwa ni watu wazima na wazee ambao inawezekana kufikia 2020 wakaona ni usumbufu kujipanga katika foleni ya kupiga kura?

Kama CCM mnaamini kura zenu zitaongezeka je, zitatoka katika kundi lipi? Wapiga kura wenu wapya ni akina nani?

Mnafikiri mnaweza kushinda kwa njia halali 2015?

UKAWA anzeni kupigania tume huru ya uchaguzi. Kura nyingi ni zenu 2020.
 
DAFU NA NDIMU

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,456
2,000
Mgombea wa kiti cha urais kwa tiketi ya CCM 'atatangazwa' kuwa mshindi tu.
Kuhusu namba 2, inaonekana wengi hawatapiga kura kwa sababu RAIS anakuwa ameshawekwa na chama tawala. Vijana wengi walivunjika sana moyo.

Mipango thabiti iwekwe kwa 2025. 2020 ni kushiriki tu.
 
saimon111

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
1,726
2,000
Ukweli unabaki kuwa mabadiliko yalitikisa sana mwaka 2020. Jamii ikachangamkia na kuchemka kwa sababu ya joto la mabadiliko. Kiasi kwamba mpaka CCM wakaamua kudandia train la mabadiliko mpaka tukampata raisi tuliyenaye.

Kwa uchambuzi yakinifu kabisa ni kwamba

1.Wanamabadiliko wengi walikuwa vijana ambao walijitokeza kumpigia kura Lowassa na tunategemea pia watakuwa na nguvu bado na watajitokeza kupiga tena kura. Na inavyoonekana bado hawajashawishika na raisi aliye madarakani kwa hiyo kura zao bado zitapigwa UKAWA.

2.Kipo kizazi kipya cha wapiga kura kitakacho ibukia 2020. Hiki ni kizazi cha dot. com yaani wapenda mitandao ambayo utawala uliopo unaomba malaika waizime. Na hawa pia wana damu ya upinzani dhidi ya sera za kijima na kijamaa na kwa asilimia kubwa hawajashawishika na siasa za chama tawala.

3. Wengi wa waliompigia kura raisi ni watu wazima na wazee ambao ndani ya mwaka mmoja tu wamechoka na wengine wamekata tamaa kwa staili ya utawala wake. Kwa hiyo katika hawa baadhi hasa hawatapiga kura na wengine watabadilika na kurudi upande wa pili.

4. Wapo wasio na vyama na wengine ni UKAWA ambao walimpigia kura kwa kujaribu tu wakiamini kwamba kwa kariba yake basi ataleta mabadiliko tofauti na utawala wa nyuma na wengine waliona yeye ni bora kuliko Lowassa waUKAWA. Baadhi yao sasa wameshamgeuka na wanaona walikosea mwaka 2015.

5. Wapo wale (ndani ya serikali na CCM) ambao utawala huu umeawaumiza, kuwadhalilisha na hata kusababisha vidonda katika maisha yao na hawa pia hawawezi kurudia maamuzi ya mwaka 2015.

6. Wapo wafanya biashara ambao kutokana na sera hizi za awamu hii biashara zao tena halali kabisa zimeathirika na wengine wamefikia hatua ya kufunga biashara. Hawa pia hawataweza kumpa tena kura.

Sasa unaweza kujiuliza CCM watapata wapi wapiga kura wapya ukitia maanani kwamba wapiga kura wao kwa asilimia kubwa ni watu wazima na wazee ambao inawezekana kufikia 2020 wakaona ni usumbufu kujipanga katika foleni ya kupiga kura?

Kama CCM mnaamini kura zenu zitaongezeka je, zitatoka katika kundi lipi? Wapiga kura wenu wapya ni akina nani?

Mnafikiri mnaweza kushinda kwa njia halali 2015?

UKAWA anzeni kupigania tume huru ya uchaguzi. Kura nyingi ni zenu 2020.
Ndio maana anajaza wanajeshi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom