Ukweli unaonyesha CCM haiwezi kabisa kushinda uchaguzi mwaka 2020

Number tatu nakusuport kabisa. Mfano mzuri kwenye familia yangu mi ndye nlikuwa mpinzani ni ni mimi pekee ambaye sikumpigia magufuli. Ila leo wao ndo wanamchukia kuzidi ambye sikumpigia.
 
Binafsi nitatoa maoni yangu kwa ufupi kabisa:
Hoja tajwa hapo juu ina ukweli mwingi ndani take na ushindi kwa upinzani utapatikana tu kama kutakuwa na vitu hivi:
1. Tume guru 2. Matokeo ya Urais yatangazwe kwa kila kituo na kubandikwa 3. Makamanda waelekezwe kulinda kura mwanzo mwisho na sio kupiga kura na kwenda nyumbani 4. Kuweka mawakala Imara na sio kuokoteza waganga njaa kiss wana kadi. 5. Uteuzi wa wagombea wanaokubalika ktk jamii na wenye uzalendo wa kujitolea gharama za Uchaguzi maana upinzani bado hatuna pesa za kutosha.
 
Ukweli unabaki kuwa mabadiliko yalitikisa sana mwaka 2020. Jamii ikachangamkia na kuchemka kwa sababu ya joto la mabadiliko. Kiasi kwamba mpaka CCM wakaamua kudandia train la mabadiliko mpaka tukampata raisi tuliyenaye.

Kwa uchambuzi yakinifu kabisa ni kwamba

1.Wanamabadiliko wengi walikuwa vijana ambao walijitokeza kumpigia kura Lowassa na tunategemea pia watakuwa na nguvu bado na watajitokeza kupiga tena kura. Na inavyoonekana bado hawajashawishika na raisi aliye madarakani kwa hiyo kura zao bado zitapigwa UKAWA.

2.Kipo kizazi kipya cha wapiga kura kitakacho ibukia 2020. Hiki ni kizazi cha dot. com yaani wapenda mitandao ambayo utawala uliopo unaomba malaika waizime. Na hawa pia wana damu ya upinzani dhidi ya sera za kijima na kijamaa na kwa asilimia kubwa hawajashawishika na siasa za chama tawala.

3. Wengi wa waliompigia kura raisi ni watu wazima na wazee ambao ndani ya mwaka mmoja tu wamechoka na wengine wamekata tamaa kwa staili ya utawala wake. Kwa hiyo katika hawa baadhi hasa hawatapiga kura na wengine watabadilika na kurudi upande wa pili.

4. Wapo wasio na vyama na wengine ni UKAWA ambao walimpigia kura kwa kujaribu tu wakiamini kwamba kwa kariba yake basi ataleta mabadiliko tofauti na utawala wa nyuma na wengine waliona yeye ni bora kuliko Lowassa waUKAWA. Baadhi yao sasa wameshamgeuka na wanaona walikosea mwaka 2015.

5. Wapo wale (ndani ya serikali na CCM) ambao utawala huu umeawaumiza, kuwadhalilisha na hata kusababisha vidonda katika maisha yao na hawa pia hawawezi kurudia maamuzi ya mwaka 2015.

6. Wapo wafanya biashara ambao kutokana na sera hizi za awamu hii biashara zao tena halali kabisa zimeathirika na wengine wamefikia hatua ya kufunga biashara. Hawa pia hawataweza kumpa tena kura.

Sasa unaweza kujiuliza CCM watapata wapi wapiga kura wapya ukitia maanani kwamba wapiga kura wao kwa asilimia kubwa ni watu wazima na wazee ambao inawezekana kufikia 2020 wakaona ni usumbufu kujipanga katika foleni ya kupiga kura?

Kama CCM mnaamini kura zenu zitaongezeka je, zitatoka katika kundi lipi? Wapiga kura wenu wapya ni akina nani?

Mnafikiri mnaweza kushinda kwa njia halali 2015?

UKAWA anzeni kupigania tume huru ya uchaguzi. Kura nyingi ni zenu 2020.
Kamati ya February wanayo matokea ya 2020 mifukoni hivyo hata CCM isipopigiwa kura watashinda kwa njia zile zile za uchakachuaji zinazotumika kila mara.
 
2015 ulikuwa mwaka mzuri sana kuipiga ccm ngwala, leo hii 2016 miaka minne mbele ccm washindwe kuwarubuni watanzania? Watanzania hawa ikifika 2018 wakaachiwa na kuhongwa hela iliyokusanywa, watamkumbatia Magu na kukenua. Hawa jamaa wanawexa kutengeneza mpaka wapiga jura wao na wale viherehere wakakosa kupiga kura. Ccm sio mazezeta kama watu wanavyofikiri, kama 2015 wamepenya iwe halali au kughushi basi labda sisi twende sudani kusini wao waje Tanzania wakabane naye.
 
Binafsi nitatoa maoni yangu kwa ufupi kabisa:
Hoja tajwa hapo juu ina ukweli mwingi ndani take na ushindi kwa upinzani utapatikana tu kama kutakuwa na vitu hivi:
1. Tume guru 2. Matokeo ya Urais yatangazwe kwa kila kituo na kubandikwa 3. Makamanda waelekezwe kulinda kura mwanzo mwisho na sio kupiga kura na kwenda nyumbani 4. Kuweka mawakala Imara na sio kuokoteza waganga njaa kiss wana kadi. 5. Uteuzi wa wagombea wanaokubalika ktk jamii na wenye uzalendo wa kujitolea gharama za Uchaguzi maana upinzani bado hatuna pesa za kutosha.
Mkuu hili linawezekana kwa Nchi zingine kama Gambia na Ghana lakini Tanzania Nchi ya uchakachuaji ni vigumu sana.
 
2015 ulikuwa mwaka mzuri sana kuipiga ccm ngwala, leo hii 2016 miaka minne mbele ccm washindwe kuwarubuni watanzania? Watanzania hawa ikifika 2018 wakaachiwa na kuhongwa hela iliyokusanywa, watamkumbatia Magu na kukenua. Hawa jamaa wanawexa kutengeneza mpaka wapiga jura wao na wale viherehere wakakosa kupiga kura. Ccm sio mazezeta kama watu wanavyofikiri, kama 2015 wamepenya iwe halali au kughushi basi labda sisi twende sudani kusini wao waje Tanzania wakabane naye.
Matokeo wanayo tayari wanasubiri mda tu watangaze CCM ni mshindi.
 
Matokeo ya 2020 anayo February wanasubiri siku ifike waitangaze CCM ni washindi.
 
Ukweli unabaki kuwa mabadiliko yalitikisa sana mwaka 2020. Jamii ikachangamkia na kuchemka kwa sababu ya joto la mabadiliko. Kiasi kwamba mpaka CCM wakaamua kudandia train la mabadiliko mpaka tukampata raisi tuliyenaye.

Kwa uchambuzi yakinifu kabisa ni kwamba

1.Wanamabadiliko wengi walikuwa vijana ambao walijitokeza kumpigia kura Lowassa na tunategemea pia watakuwa na nguvu bado na watajitokeza kupiga tena kura. Na inavyoonekana bado hawajashawishika na raisi aliye madarakani kwa hiyo kura zao bado zitapigwa UKAWA.

2.Kipo kizazi kipya cha wapiga kura kitakacho ibukia 2020. Hiki ni kizazi cha dot. com yaani wapenda mitandao ambayo utawala uliopo unaomba malaika waizime. Na hawa pia wana damu ya upinzani dhidi ya sera za kijima na kijamaa na kwa asilimia kubwa hawajashawishika na siasa za chama tawala.

3. Wengi wa waliompigia kura raisi ni watu wazima na wazee ambao ndani ya mwaka mmoja tu wamechoka na wengine wamekata tamaa kwa staili ya utawala wake. Kwa hiyo katika hawa baadhi hasa hawatapiga kura na wengine watabadilika na kurudi upande wa pili.

4. Wapo wasio na vyama na wengine ni UKAWA ambao walimpigia kura kwa kujaribu tu wakiamini kwamba kwa kariba yake basi ataleta mabadiliko tofauti na utawala wa nyuma na wengine waliona yeye ni bora kuliko Lowassa waUKAWA. Baadhi yao sasa wameshamgeuka na wanaona walikosea mwaka 2015.

5. Wapo wale (ndani ya serikali na CCM) ambao utawala huu umeawaumiza, kuwadhalilisha na hata kusababisha vidonda katika maisha yao na hawa pia hawawezi kurudia maamuzi ya mwaka 2015.

6. Wapo wafanya biashara ambao kutokana na sera hizi za awamu hii biashara zao tena halali kabisa zimeathirika na wengine wamefikia hatua ya kufunga biashara. Hawa pia hawataweza kumpa tena kura.

Sasa unaweza kujiuliza CCM watapata wapi wapiga kura wapya ukitia maanani kwamba wapiga kura wao kwa asilimia kubwa ni watu wazima na wazee ambao inawezekana kufikia 2020 wakaona ni usumbufu kujipanga katika foleni ya kupiga kura?

Kama CCM mnaamini kura zenu zitaongezeka je, zitatoka katika kundi lipi? Wapiga kura wenu wapya ni akina nani?

Mnafikiri mnaweza kushinda kwa njia halali 2015?

UKAWA anzeni kupigania tume huru ya uchaguzi. Kura nyingi ni zenu 2020.
UTAJIDANGANYA MPAKA MWISHO WA DUNIA. UKAWA SI LOLOTE SI CHOCHOTE. MARA UKUTA,MARA KATA FUNUA, HOVYO KABISA !
 
Mgombea urais wa upinzani ameshajitangaza bila hata kuchukua fomu na kupigiwa kura za maoni, na ametamba mganga wake amemtabiria ushindi 2020.Halafu mnategemea watu wachague wahuni kama hao?
 
Ukweli unabaki kuwa mabadiliko yalitikisa sana mwaka 2020. Jamii ikachangamkia na kuchemka kwa sababu ya joto la mabadiliko. Kiasi kwamba mpaka CCM wakaamua kudandia train la mabadiliko mpaka tukampata raisi tuliyenaye.

Kwa uchambuzi yakinifu kabisa ni kwamba

1.Wanamabadiliko wengi walikuwa vijana ambao walijitokeza kumpigia kura Lowassa na tunategemea pia watakuwa na nguvu bado na watajitokeza kupiga tena kura. Na inavyoonekana bado hawajashawishika na raisi aliye madarakani kwa hiyo kura zao bado zitapigwa UKAWA.

2.Kipo kizazi kipya cha wapiga kura kitakacho ibukia 2020. Hiki ni kizazi cha dot. com yaani wapenda mitandao ambayo utawala uliopo unaomba malaika waizime. Na hawa pia wana damu ya upinzani dhidi ya sera za kijima na kijamaa na kwa asilimia kubwa hawajashawishika na siasa za chama tawala.

3. Wengi wa waliompigia kura raisi ni watu wazima na wazee ambao ndani ya mwaka mmoja tu wamechoka na wengine wamekata tamaa kwa staili ya utawala wake. Kwa hiyo katika hawa baadhi hasa hawatapiga kura na wengine watabadilika na kurudi upande wa pili.

4. Wapo wasio na vyama na wengine ni UKAWA ambao walimpigia kura kwa kujaribu tu wakiamini kwamba kwa kariba yake basi ataleta mabadiliko tofauti na utawala wa nyuma na wengine waliona yeye ni bora kuliko Lowassa waUKAWA. Baadhi yao sasa wameshamgeuka na wanaona walikosea mwaka 2015.

5. Wapo wale (ndani ya serikali na CCM) ambao utawala huu umeawaumiza, kuwadhalilisha na hata kusababisha vidonda katika maisha yao na hawa pia hawawezi kurudia maamuzi ya mwaka 2015.

6. Wapo wafanya biashara ambao kutokana na sera hizi za awamu hii biashara zao tena halali kabisa zimeathirika na wengine wamefikia hatua ya kufunga biashara. Hawa pia hawataweza kumpa tena kura.

Sasa unaweza kujiuliza CCM watapata wapi wapiga kura wapya ukitia maanani kwamba wapiga kura wao kwa asilimia kubwa ni watu wazima na wazee ambao inawezekana kufikia 2020 wakaona ni usumbufu kujipanga katika foleni ya kupiga kura?

Kama CCM mnaamini kura zenu zitaongezeka je, zitatoka katika kundi lipi? Wapiga kura wenu wapya ni akina nani?

Mnafikiri mnaweza kushinda kwa njia halali 2015?

UKAWA anzeni kupigania tume huru ya uchaguzi. Kura nyingi ni zenu 2020.

Chadema kuchukua Nchi 2020 ni ndoto za mchana
 
hivi huwa mnajidanganya kwa nini?

Hakuna namna yoyote Upinzani unaweza kushinda kwa katiba na mfumo wa uchaguzi tulionao
 
Jambo la kufurahisha ni kwamba chaguzi zote zilizowahi kufanyika hapa jf chadema inashinda kuanzia 80%, hata ikitokea uchaguzi wa jf ukawa kati ya jiwe au mbwa/kitimoto wa chadema dhidi ya prof/mchungaji/sheikh/ mpinga rushwa wa ccm lazima chadema iibuke kidedea, kama kuna mtu anayo matokeo tofauti atuwekee.
Hata Lowasa na Dr. Slaa kwenye uchaguzi wa jf Slaa alishinda kwa 85% . Tafakar chukua hatua....Haki Elimu. ...
 
KAMA IKITOKEA KASKAZI TUPIGE KURA ZA KUJITOA TZ BAADA YA DAKIKA 15 ITAKUA ISHAJITOA, NA KUWAACHA MAKANDA MENGINE YALIOKO NYUMA NA R CHAMA RAO
 
Wengi waliandika makala ndefu kuliko yako kuwa CCM haitashinda uchaguzi tangu 2005 hadi leo CCM ndiyo inashinda. Andika nyingine zaidi ya hii labda CCM itashindwa
 
Watashinda ikiwa tu wataanza mkakati wa kutafuta mgombea mwengine anaekubalika. Tuambiane ukweli EL umri na afya yake ni kikwazo.
Pia waanze kutafuta njia za kupata majimbo waloyakosa kwa kuanzisha uhamasishaji wa watanzania kujiunga nao.
Ikifika 2020 kuwe na wagombea wasomi kila jimbo . Hili lawezekana wakishirikiana Ukawa
 
Back
Top Bottom