Ukweli uliofichwa sasa umefunuliwa, ni kuhusu T. B Joshua

Hapana kabisa... Hili si kweli na limejaa upotoshaji mkubwa... Hao watumishi manabii na mitume wote ni binadamu kama wewe nao wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu.. Hawana usafi na wanawaka tamaa kama mwingine yeyote....
Tusiyatumie maandiko vibaya kulinda uovu... TUTAHUKUMIWA
Hajaufyata zaidi ya kulinda asijinajisi kiroho na kuna mambo mengine Mungu anaruhusu yatokee ili kumpima imani mtumishi wake na kumpandisha kiimani na kiviwango.Mungu aliruhusu watumishi wake kupigwa,kuvuliwa nguo na hata kuuawa mf.paul,Petro stephano n.k.

Jr
 
Haya makanisa ya kiroho ni utapeli mtupu,sijui inakuwaje watu wengine ni wasomi,wengine ni wajanja na wengine ni matapeli wa maeneo tofauti wanakubali kutapeliwa na hawa watu.
 
Sawa uponyaji halisi...kwa nguvu gani?

Shetani anaweza kuponya pia...Tena akitumia jina la Yesu

Sent using Jamii Forums mobile app

Simteei mtu hapa ila nashangaa jinsi hoja za Mshana Jr zinavyolemea upande mmoja. Bahati mbaya nawe unalemea upande mmoja.

Nakuuliza swali; kwamba shetani anaponya kwa kutumia jina la Yesu, umeipata wapi hiyo au umeamua tu kuleta uzushi mwingine?

Vv

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mtasema huy o , Bisol anamwonea wivu vipi Wikileaks walitsja orodha ndefu ya wapigaji wa hela ambao wameficha hel ndeeefu kwenye visiwa fulani ili watu wasijue.

Hii ilisabisha Waziri mmoja kule Canada ajiuzulu alikuwepo kwenye list.

TB alikanusha kama kawaida yake, sasa utasema Wikileaks nao wanamchimba mpakwa mafuta wa Bwana.

Hii ilitosha kuwastua kumbe tunapigwa hapa Waziri wa Canada alibisha walipofuatilia akajiuzulu.

Poleni sana wafuasi wa TB.

GOOD MORNING

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye kuamini na aamini kwamba Yesu yupo na tunapata habari zake na uponyaji kupitia watu wake" kwa ushuhuda wangu nilipona ugonjwa niliougua kwa miaka mitano bila kupata Tiba sahihi hospitali, nilisikiliza mahubiri ya huyu baba, nikasali kupitia TV live siku nzima, nikapokea uponyaji wangu,. Nasikiliza mahubiri yake marakwamara yamenijenga kiroho Sana na kumwamino Kristo. Namshukuru Mungu kwa kumtumia nabii huyu ili Nipate uponyaji na kumuamini zaidi, Amina
 
TB alikanusha kama kawaida yake, sasa utasema Wikileaks nao wanamchimba mpakwa mafuta wa Bwana. mtakatifu asiye na mawaa
Sasa mtasema huy o , Bisol anamwonea wivu vipi Wikileaks walitsja orodha ndefu ya wapigaji wa hela ambao wameficha hel ndeeefu kwenye visiwa fulani ili watu wasijue.

Hii ilisabisha Waziri mmoja kule Canada ajiuzulu alikuwepo kwenye list.

TB alikanusha kama kawaida yake, sasa utasema Wikileaks nao wanamchimba mpakwa mafuta wa Bwana.

Hii ilitosha kuwastua kumbe tunapigwa hapa Waziri wa Canada alibisha walipofuatilia akajiuzulu.

Poleni sana wafuasi wa TB.

GOOD MORNING

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Watu Wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Nahisi Biblia Kuna Siri iliyojificha.Kwa nn watu waitumie kudanganya watu?na wengine watumie kawaambia watu ukweli ni kitabu hicho hicho kimoja.Kwa Nini Biblia hata Kama imeandikwa kwa lugha yetu hatuielewi mpaka mtu anakuja kukutapeli?kwa nini Biblia mpaka leo inatengeneza utengano?(madhehebu),kwa nini Biblia kila mmoja anatafsiri kivyake wakati lugha iliyotumika inaeleweka kabisaa.Najiuliza maswali nakosa majibu.
Sababu kubwa ni kwamba watu matapeli, na manabii, mitume na wachungaji wengi wa uongo wameziona fursa na kuzitumia kwa vile " watu wangu wanaangamia /wanaangamizwa kwa kukosa maarifa". Maarifa ya neno la Mungu kama lilivyo katika Biblia na hususan katika AGANO JIPYA ambalo ndilo letu sisi Wamataifa.

Hata hivyo, BIBLIA si kitabu rahisi rahisi eti utakisoma na kukielewa upesi upesi. Kwa mfano mimi binafsi, niliisoma Biblia kama sehemu ya masomo yangu ya Form Four na nikapata pass nzuri kwenye mtihani wa Bible Knowledge. About 30 years later baada ya KUOKOKA NA KUMPOKEA YESU KAMA MWOKOZI WANGU, ninapoisoma Biblia leo, naona kama ni tofauti na ile ya Bible Knowledge!
 
Kumbe hata great thinkers wanaamini katika unabii zama hizi?🤣🤣🤣 mtumainie mwenyezimungu katika kila jambo
 
"Kwa sababu wengi watakuja kwa Jina langu, wakisema, mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi." (Mathayo 24:5)

"Watu watatokea wakidai kwamba wao ni Kristo mwenyewe, nao watadai cheo na ibada ambavyo ni vyake yeye aliye Mkombozi wa ulimwengu.
Watafanya miujiza ya uponyaji ya kustaajabisha, nao watadai kwamba wanao Ufunuo kutoka mbinguni ambao unakwenda kinyume na Ushuhuda wa maandiko."

"Watu wakiongozwa na pepo wachafu watafanya miujiza. Watawatupia watu magonjwa kwa uchawi, wao, na halafu watawaondolea uchawi wao, na kuwashawishi wengine kusema ya kwamba wale waliokuwa wagonjwa wamepona kwa miujiza. Jambo hili Shetani amelifanya tena na tena."

"Yeye (Shetani) anafurahi wanaume na wanawake wanapodai kuwa wanazo nguvu nyingi za kiroho, na wakati huo huo wakiwa wanaidharau sheria ya Mungu, kwa sababu kwa njia ya uasi wao wanawakosesha wengine, naye anaweza kuwatumia kama mawakala wake wanaofaa

Mwenye kuamini na aamini kwamba Yesu yupo na tunapata habari zake na uponyaji kupitia watu wake" kwa ushuhuda wangu nilipona ugonjwa niliougua kwa miaka mitano bila kupata Tiba sahihi hospitali, nilisikiliza mahubiri ya huyu baba, nikasali kupitia TV live siku nzima, nikapokea uponyaji wangu,. Nasikiliza mahubiri yake marakwamara yamenijenga kiroho Sana na kumwamino Kristo. Namshukuru Mungu kwa kumtumia nabii huyu ili Nipate uponyaji na kumuamini zaidi, Amina

Jr
 
Mkuu uongo hupata nguvu sana kuliko ukweli na vile dunia nzima husubili maanguko ya watumishi wa Mungu kapata uungwaji mkono toka kwa mamilioni ya watu na anajua fika kuwa tb Joshua hata iweje hawezi kaa meza moja wasutane kwani haitakuwa tu kujidhalilisha kwa Mambo yasiyo na kichwa wala miguu bali pia ni kukiuka neno la Mungu kuwa adui yako akikupiga shavu moja mgeuzie na la pili na sio kupigana.Na madai yake ya kuwa alikuwa sehemu ya uchafu na kutubu ni njia iliyopangwa kuupa nguvu uongo wake.Asante nadhani wewe tumemaliza.
Luke 11:4.... Live Broadcast is going on. Emmanuel. God is with US.
 
Nimechukua muda wa kutosha kusoma kitabu kinachotoboa siri za utapeli wa TB Joshua kinachoitwa "The TB Joshua I Know-Deception of the Age Unmasked" kilichoandikwa na Bi. Hephzibah Bisola Johnson ambaye alikuwa mtumishi wake wa karibu sana kwa muda wa miaka 14.

Infact Bisola alikuwa right-hand person wake aliyekwenda naye kila mahali. Pia nimesikiliza video clips 32 zinazomhusu TB Joshua; nimesoma articles mbalimbali zinazohusu sakata hili; nimesikiliza mahojiano mbalimbali ya watu waliotajwa kwenye kitabu cha Bi Bisola Johnson; nimefuatilia Tweets na page zao za social media; nimesoma maelezo ya watoto wa marehemu waliokufa au kupotea wakiwa ndani ya Sinagogi la TB Joshua bila ndugu kupata maelezo ya kueleweka; nimesikiliza maelezo ya watu maarufu wakiwemo wacheza mpira na wacheza filamu waliowahi kutekwa na uongo wa TB Joshua na kisha kujikuta wakimpa fedha nyingi bila sababu yoyote. Wacheza mpira waliotajwa ni pamoja na Nwankwo Kanu aliyewahi kuichezea timu ya Arsenal na Emmanuel Amunike aliyekuwa kocha wa Timu yetu ya Taifa Stars.

Nimefuatilia pia taarifa zinazohusu kesi zinazomkabili TB Joshua Afrika Kusini zilizofunguliwa na wazazi wa mabinti wadogo waliopelekwa kwake kwaajili ya kuombewa na kisha kufanya nao mapenzi; Nimefuatilia comments na maandiko ya watu wanaomtetea; Nikarudi pia kutazama clip za mahubiri na uponyaji katika Sinagogi lake; n.k, n.k. Ili kujumuisha naomba niseme yafuatayo:

1. Anaendelea kuamini kuwa TB Joshua ni Nabii wa kweli. Na kwamba anafanya miujiza ya kweli, basi ajue anafanya hivyo at his or her own risk! Kama ulienda kwake ukapona, basi ujue ni imani yako tu... siyo TB Joshua. Endelea kumuamini Mungu wako aliyekuponya.

2. Zile kauli za 'wametumwa wamchafue..' hapa hazina mashiko hivyo usikimbilie kijifunika na blanketi hilo.. Tulia. Omba hekima ya Mungu. Kumbuka Hypnosis (yaani kupumbazwa) is real.

2. Kama una maji yake, sticker, mafuta, au chochote chake, ni afadhali utupe tu. Inawezekana unaendela kujiunganisha na roho usizozijua.

3. Nawashauri wakristu wenzangu tuache kupenda miujiza kupita kiasi hadi kufikia kupumbazwa nayo. Tutulie, na kumtafuta Mungu katika Roho na Kweli. Siyo katika watu, miti, mapango, wala mahekalu...

Kwa anaetaka kusoma kitabu hicho kinapatikana Amazon.

The level of detail in this book is scary. Na mwandishi amesema yuko tayari kupelekwa mahakamani na TB Joshua kama aliyoyasema ni ya uongo. Bi Johnson ameanza kwa kuwataka radhi watu wote na kusema maneno haya: "Please forgive me oo. We did these atrocities together with him oo. I was part of it oo." Ila sasa ametubu na anaamini Yesu Kristo ameshamsamehe. Hivyo anawiwa kuwasaidia watu wengine wasiendelee kupotea.

Pia unaweza kusikiliza mahojiano youtube.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dini ni "Imani", kwamba kuna maisha baada ya mauti, japo hakuna aliye na ushuhuda wa hilo.

Hivyo basi, "Imani" ni dhamira nzito ya kiroho kuliko kimwili.

Wasimamizi wa imani (viongozi wa dini mbalimbali) hutumia nguvu ya "Imani" hiyo kuwaweka waumini katika mazingira ya kujitoa kwa hali na mali (fedha, mali, utu, nk) kuthibitisha "Imani" yao.

Dini, ni taasisi moja kubwa ya kisiri, iliyogubikwa katika vitabu vitakatifu (Kuran + Biblia).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli, ukiwa na matatizo au kutaka msaada kwa Mungu, usikimbilie sehemu zenye miujiza
Tafuta kumjua Mungu kwanza kwa kujifunza neno lake.
Hakika itakusaidia sana na Mungu atakufungua shida zako.

Lakini ukifata upako pekee sehemu bila kumjua huyo Mungu unaemtafuta, utadanganywa sana.

Yani nabii anaekalia kupoteza Muda akionesha waliosaidika huko sio kufundisha neno la Mungu.
Mafundisho ni Mengi watu wanafaa kufundishwa.
Muda wa kurusha ushuhuda wa watu saa zima unatoka wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakristo wa siku hivi ni vodafasta, hawataki kuelewa na kujiunganisha na Mwenyezi Mungu. Biblia iko wazi kabisa, "ingia chumba chako cha siri." Sasa tunatafuta kutumia vyumba vya siri vya wengine watuonee yetu, strange!!

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Nimechukua muda wa kutosha kusoma kitabu kinachotoboa siri za utapeli wa TB Joshua kinachoitwa "The TB Joshua I Know-Deception of the Age Unmasked" kilichoandikwa na Bi. Hephzibah Bisola Johnson ambaye alikuwa mtumishi wake wa karibu sana kwa muda wa miaka 14.

Infact Bisola alikuwa right-hand person wake aliyekwenda naye kila mahali. Pia nimesikiliza video clips 32 zinazomhusu TB Joshua; nimesoma articles mbalimbali zinazohusu sakata hili; nimesikiliza mahojiano mbalimbali ya watu waliotajwa kwenye kitabu cha Bi Bisola Johnson; nimefuatilia Tweets na page zao za social media; nimesoma maelezo ya watoto wa marehemu waliokufa au kupotea wakiwa ndani ya Sinagogi la TB Joshua bila ndugu kupata maelezo ya kueleweka; nimesikiliza maelezo ya watu maarufu wakiwemo wacheza mpira na wacheza filamu waliowahi kutekwa na uongo wa TB Joshua na kisha kujikuta wakimpa fedha nyingi bila sababu yoyote. Wacheza mpira waliotajwa ni pamoja na Nwankwo Kanu aliyewahi kuichezea timu ya Arsenal na Emmanuel Amunike aliyekuwa kocha wa Timu yetu ya Taifa Stars.

Nimefuatilia pia taarifa zinazohusu kesi zinazomkabili TB Joshua Afrika Kusini zilizofunguliwa na wazazi wa mabinti wadogo waliopelekwa kwake kwaajili ya kuombewa na kisha kufanya nao mapenzi; Nimefuatilia comments na maandiko ya watu wanaomtetea; Nikarudi pia kutazama clip za mahubiri na uponyaji katika Sinagogi lake; n.k, n.k. Ili kujumuisha naomba niseme yafuatayo:

1. Anaendelea kuamini kuwa TB Joshua ni Nabii wa kweli. Na kwamba anafanya miujiza ya kweli, basi ajue anafanya hivyo at his or her own risk! Kama ulienda kwake ukapona, basi ujue ni imani yako tu... siyo TB Joshua. Endelea kumuamini Mungu wako aliyekuponya.

2. Zile kauli za 'wametumwa wamchafue..' hapa hazina mashiko hivyo usikimbilie kijifunika na blanketi hilo.. Tulia. Omba hekima ya Mungu. Kumbuka Hypnosis (yaani kupumbazwa) is real.

2. Kama una maji yake, sticker, mafuta, au chochote chake, ni afadhali utupe tu. Inawezekana unaendela kujiunganisha na roho usizozijua.

3. Nawashauri wakristu wenzangu tuache kupenda miujiza kupita kiasi hadi kufikia kupumbazwa nayo. Tutulie, na kumtafuta Mungu katika Roho na Kweli. Siyo katika watu, miti, mapango, wala mahekalu...

Kwa anaetaka kusoma kitabu hicho kinapatikana Amazon.

The level of detail in this book is scary. Na mwandishi amesema yuko tayari kupelekwa mahakamani na TB Joshua kama aliyoyasema ni ya uongo. Bi Johnson ameanza kwa kuwataka radhi watu wote na kusema maneno haya: "Please forgive me oo. We did these atrocities together with him oo. I was part of it oo." Ila sasa ametubu na anaamini Yesu Kristo ameshamsamehe. Hivyo anawiwa kuwasaidia watu wengine wasiendelee kupotea.

Pia unaweza kusikiliza mahojiano youtube.

Sent using Jamii Forums mobile app
HATA HII NAYO NI BIASHARA TU, HAKUNA UKWELI HAPA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni muhimu kuliko chochote... Itafute kweli nayo kweli itakuweka huru

Jr
Kweli ipi mkuu ndio maana hata Yesu waliposema anatumia nguvu za mkuu wa pepo kutoa pepo hakuhangaika nao zaidi ya kuacha waendelee kusema mpaka wachoke,na mwisho wa siku tumewaona waongo vivyo hivyo na huyo dada ukweli utaonekana wenyewe dhahili.
 
Hapana kabisa... Hili si kweli na limejaa upotoshaji mkubwa... Hao watumishi manabii na mitume wote ni binadamu kama wewe nao wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu.. Hawana usafi na wanawaka tamaa kama mwingine yeyote....
Tusiyatumie maandiko vibaya kulinda uovu... TUTAHUKUMIWA

Jr
Ni kweli ni binadamu wa kawaida lakini wengi wao roho wa Mungu anawapa nguvu za kuuweza mwili,ambapo bila roho wa Mungu huwezi kuvumilia tamaa za mwili.
 
Back
Top Bottom