Yooote sawa ila kumtoa mtu macho sio sawa mpwa
Idadi ya vyanzi vya habari inategemea aina na ukubwa wa tukio. Kwa tukio lile hakupaswa kuishia kumhoji mhanga, bali mashuhuda wa tukio, watu wa karibu wa anayetuhumiwa kutenda kosa, viongozi wa eneo lilipotokea tukio, wafanya biashara waliokuwepo karibu na tukio nk. ili kuweka mizani ya ukweli halisi wa tukio.Uyo dida ndo nani.? Ama yule kipa wa zamani wa Brazil?
Kwan Idadi gani ya mashahidi ni tosheleza?