Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,075
Hii ndio habari iliopo Buguruni.
Alipotoka kazini akarudi nyumbani na kuacha funguo na kisha akatoka na kwenda kwenye uasherati...we have to speak it out and loud huyo dogo alitegwa na akanasa, na alishaambiwa siku nyingi sana ila akawa bado anaendelea na huo uasherati kwa mke wa mtu.
Na siku mkisikia mkewe kambalasa msije sema ooh wanawake wa siku hizi wanakupenda ukiwa na macho...huyo jamaa ni mzinzi na ishu hii inafunikwa mambo mengi sana, ila watu wa kale walisema uongo hauwezi kuuzika ukweli...
Ipo siku mtajuwa ukweli kama ambavyo mliujuwa ukweli wa kuwa yule Babu na kikombe chake cha Samunge ni kanjanja tu na ni fiksi[/QUOTE]
Kweli mdau itakua ndo ukweli huu...mana hata maelezo yake hayako straight...yani kibaka wa kawaida anaanzaje kudeal na macho yako alafu aache simu???
Na kama kibaka akikutoa jicho labda imetokea tu ila haikua kwenye "gameplan" yake mana ni rahisi kibaka kukuua kuliko kutoa macho tena yote mawili.
Japo kapata misaada ila nafsi yake itakua inamsuta sana kwanza kwa kitendo alichofanya hadi kikamcost pili kwa kudanganya umma, tatu kumsaliti mkewe