mpanga liganga
Senior Member
- May 16, 2014
- 198
- 423
Hii technology ilijalibiwa mwanzo wakashindwa lakin awakuicha mwisho wakafanikiwa, nizaidi ya majalibio 3 yalifanyika.
Shukrani mkuuHiyo technology naamin yawezekana kabisaa, hebu tafuta movie inaitwa fringe Luna mwanasayance katoa majibu ya tech hii, na ukiangalia hiyo muvie uta enjoi mkuu!!! Alafu kujua jua hizi mambo kangalie muvie ingine ingawa maudhui no tofauti na thread yko,muvie inaitwa manifesto!!
Ebu ifanyie teleportation wasikuzingue.Hivi mods mnamoderate nini kwa masaa zaidi ya 12??? Kma mnaona haufai si muufute tu sasa Y all this tym mnauweka pending wakati kule MMU wati wanapost thread za kujadili makalio ya wema alafu huwa hamna time nazo
Mnakera sana kwa kweli..... Jaribuni kuwa professional sababu nkiamua kuipaste mada hii kule jukwaa la hoja mchanganyiko itakuwa publicly displayed sasa kinachochelewesha huku ni nni???