Na niliposema kuwa "siyo sahihi", nililenga maneno hayo hayo niliyoyanyanyua hapo; halafu wewe ukakomaa na hayo mengine..Alipinduliwa na Idd Amin Daddah January 25, 1971 akiwa kwenye mkutano wa Commonwealth kule Singapore, nakiri kukosea kusema OAU lakini mengine yote yako sahihi.