Ukweli ni lazima usemwe, natafuta mrembo wa kuzeeka naye. Mapungufu yangu haya Hapa

Ka
Si wewe ni singo maza?
 
Kwani umembiwa nimepoteza uwezo wa mimbisha?
 
Kwani umembiwa nimepoteza uwezo wa mimbisha?
Lazima uhakikishe utakae muoa una uwezo was kumzalisha!Kuna wengine walishamaliza mayai,au waliharibu kizazi hawazai Tena!!

Ishunya kumpa mimba ke ni rahisi tu,lakini.je utakaempata ana uwezo.wa kubeba mimba!!?Tena Hawa walio kwenye thirties no hatari sana kwenye hilo!unaweza pump na kumwaga lakini wapi!kumbe alishachoropoa kizazi au kimechoka!!!

Nilichokuandikia hapo juu nimekishuhudia Kwa sana!unaamua kuishi na ke lakini hakuzalii mtoto mwisho was siku unaanza kutaka upendo was watoto Toka Kwa ke wa zamani na watoto hawkutaki!!!unabaki kulaani tu!!
 
Na hao wanawake aliowazalisha kisha akawaacha waolewe na kina nani, yani wewe uzalishe huko halafu ukitaka kuoa utafute mwanamke mbichi, kama unajijua hutaki kuoa single mother basi nawe usitelekeze mwanamke uliyezalisha
 
Kwa nini walikubali kutiwa mimba?
Hivi uliielewa biolojia vizuri kweli, au na wewe ndio wale mliokariri kwamba mwanamke kujua siku zake basi anaweza kuzuia mimba muda wowote, hata hivyo kuna cases ambazo wanaume husababisha au hushawishi mwanamke abebe ujauzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…