Ukweli ni kwamba wanaume wengi wanaogopa wake zao

Maana ya kupewa msaidizi ni nn sasa kama mhusika anaweza kila kitu peke yake..Msaidizi anapewa mtu anyehitaji msaada..sio mtu anayejitosheleza...elewa hilo kwanza..Mnasaidiana,mnashauriana,mnapendana,etc etc etc..you complement each other...
YESU alikuwa anasaidiana na nani? alifanya mambo makubwa sana. Kwanini yeye hakuoa?
 
Kuna wengine humu hawana imani ya ki Kristo so hio point ya kumtolea mfano inaweza isiwe ya manufaa kwao..ila let me say this... Yesu hakuoa because hakuhitaji kufanya hivyo..alielewa kusudi lake kabla hata ya kuja duniani. (kana kwamba angeishi duniani temporarily).

Maana alikuweko tangu mwanzo wa uumbaji na yupo na ataendelea kuwepo.(soma John1). HE CAME TO SAVE, NOT PROCREATE..na katika hio mission alishirikisha wanawake pia..akina Mary Magdalene ,Martha..etc ...Sasa wewe ulijua kuwa ungezaliwa na kufika hapo..?unajua una kusudi gani duniani.?Unajua utakua ktk mazingira gani?

Unajua mwisho wa maisha yako ni lini? Wapi? Na ktk mazingira gani? If any of ur answers to these qns is No..basi hakuna haja ya kuendelea kudebate...ni uamuzi wako kuoa au kutokuoa..

Truth be told tunategemeana...kama huna mke basi una mama, au dada,au shangazi...etc there is no such thing as saying kuwa a man ni taasisi inayojitegemea...Labda taasisi inayotegemewa zaidi...(excuse my gazeti)
 
Nawasalimia wakuu wangu,
Japo kuwa kuna dhana imejengeka kwenye jamii kuwa mwanaume ndio shababi na mwenye maamuzi ya mwisho katika familia na jamii kwa ujumla,lakini ukweli halisi ulio nyuma ya yote haya,mwanamke ndo mwenye nguvu na ushawishi mkubwa ..kama tutakavyoona ifuatavyo;

a) Usemi wa kwenye mafanikio yoyote ya mwanaume kuna mwanamke nyuma yake-usemi huu unadhihirisha nguvu ya mwanamke aliyonayo ya kumsaidia mwanaume aweze kufanikisha mambo ambayo yeye kama yeye asingeweza au hata angeweza kukata tamaa au kuvurunda.Hii inawekewa mkazo na desturi za nchi nyingi duniani ambazo hawawezi kumpa madaraka makubwa mwanaume 'bachelor', madaraka kama urais na uwaziri mkuu..Hii ni kwasababu mwanaume kama hajaoa na asie na familia anakuwa haaminiki na anaonekana kama 'muhuni tu' ambae haaminiki katika jamii na ni mtu ambae hana mshauri.Mwanamke huchangia mafanikio ya mwanaume kwa kumpa miongozo na ushauri na hata wakati mwingine kumdhibiti asifanye mambo ya kipuuzi ili kufikia malengo.

b) Maamuzi mengi ya nyumbani hutolewa na mwanamke au huwa yanakuwa shaped na mtazamo wa mama mwenye nyumba- Hii watu wengi wanaweza kujitokeza kuipinga kwa nguvu,lakini ukweli ni kwamba maamuzi mengi ya nyumbani,hata kama yatatolewa na baba,lakini kwa kiasi kikubwa yatazingatia ushauri wa mama au kwa kifupi mama anataka nini,mfano hata kama ni ununuzi wa kitu au kuingia katika ushirikiano wa kibiashara wowote,lazima ushauri wa mama uzingatiwe sana,utasikia mtu akisema 'ngoja nikamshirikishe na wife nitakupa jibu kesho',kama mama asipolikubali hilo wazo ujue ni ngumu sana kwa huo mradi kufanikiwa..na hata kama mwanaume ataamua afosi kibabe kwa hulka ya kiume huku mama akiwa ananung'unika au hataki,ujue kuwa huo mradi hautofika mbali utakufa tu!

c) Kiboko ya mwanaume yoyote alieoa ni mke wake (ikiwamo na mimi)-mtu asikuambie,kiboko ya mwanaume yoyote (mwenye akili timamu) ni mke wake,haijalishi ni rais,mfalme au nani..lakini mbele ya mke wake hakohoi,hii inaweza kusababishwa na mambo mengi,kwanza mke wako ndo anaekujua nje na ndani,mke wako ndo rafiki yako wa ukweli kuliko marafiki zako wote,kipindi cha shida na dhoruba..marafiki zako wote wanaweza kukukimbia na kukuacha na shida zako akabaki mkeo pekee,ambae utakuwa unashinda nae njaa na kulala nae njaa,wale marafiki zako wote mliokuwa mnakesha nao bar unawanunulia bia sita sita watakukimbia na kuanza kukuongelea vibaya, lakini siyo mke wako, pia hata kipindi cha magonjwa,kesi na misukosuko mbalimbali ya kimaisha,ni mkeo pekee ndo atabaki amesimama na wewe..Hii huwa inamfanya mwanaume mwenye akili hata 'akiharibu' mtaani,akitishiwa habari hizo aataenda kuambiwa mkewe huwa ni mdogo,ni bora aharibu kote lakini mkewe asijue.

d) Mwanamke ndo mlinzi wa mwanaume-Kuna mambo mengi ambayo mwanamke anaona mbali kabla ya mwanaume hajayaona,kwa mfano mwanaume unaweza kuwa unaanzisha project fulani..kama mwanamke roho inasita na kukuambia uachane nayo ukifosi huko mbeleni utakuja kulia,au hata unaweza kuwa na urafiki na mtu fulani,lakini mwanamke akawa anasema mimi roho yangu ina wasiwasi na huyu fulani sio mtu mzuri,ukipuuza siku moja utakuja kulia..hata kama ni tabia fulani kila siku mwanamke anakupigia kelele na wewe una mpuuza ipo siku utakuja kulia.Kifupi mwanamke ni mlinzi wa mwanaume na huwa anaona mbali kabla ya sisi wanaume hatujaona.

e) Mwanamke hukomaa kiakili haraka kuliko mwanaume-Inasadikika na ni vyema kuoa mwanamke uliemzidi kiumri maana ndo kiakili mnakuwa sawa kwasababu wanawake wanakomaa kiakili haraka kuliko wanaume.Japo wana madhaifu yao,lakini mwanamke mliezaliwa nae mwaka mmoja anakuwa amekomaa kiakili na kimtazamo wa maisha zaidi kuliko mwanaume. Mwanamume mara nyingi huangalia kufurahisha mwili na marafiki zake muda wote lakini sio mwanamke...Sio ajabu (hata mimi imenitokea mara nyingi),naweza nikawa na marafiki bar nikala laki mbili kwa siku moja..kesho nikaamka nimeshika kichwa huku ninapiga miayo.Lakini mwanamke hata kila siku moja hawezi kufanya huo ujinga wa kula hela hivyo.Ndo mana unaweza kuwa una kipato kikubwa kuliko mwanamke mnaefanya nae kazi ofisi moja lakini yeye akakuzidi maendeleo..ukaishia kusema 'usishindane na mwanamke..wenzetu wanahongwa' lakini kumbe wapo sensitive na maisha.Hata nyumbani unaweza ukawa unamuachia mkeo elfu kumi au zaidi kwaajili ya matumizi ya nyumbani kwa siku(inategemea na kipato chako) ,atajitahidi kuhudumia familia yako na kusave kwa hichohicho kidogo unachoacha,na usishangae siku moja huna kitu anakupa hela kutoka kwenye kibubu chake alichokuwa anahifadhi wakati kiukweli wewe ndo huwa unashika hela nyingi kuliko yeye...

Wakuu kuna mambo mengi ya kuongelea,lakini ukweli ni kwamba, mwanamke ndo anatawala maisha ya mwanaume na wanaume wengi kuliko aharibu kwa mke wake ajue..bora umpe adhabu yoyote..utasikia 'wife akijua itakuwa noma sana'...au'hii mambo iishie huku huku wife asijue..'nk .Wanaume wengi tunaogopa (tunaheshimu sana) wake zetu na asie mheshimu mke wake huyo ana matatizo.Au wadau mnaonaje?
Sio kweli nguvu ya ushawishi ipo kwa kila mtu kani awo wadada wanaolalamika kudhulumiwa na wanaume inakuaje
 
Mhuni ni mtu ambaye hajaoa, anafahamika kwa mahala anapofanya kazi/biashara tu, lakini sio mahala anapokaa, ama makazi yake ni kambi popote, na hii ndio maana ya mwanamke kwenye maisha yako, mizizi kwa lugha nyingine, humfanya mhuni atulie mahala pamoja, yaani awe na makazi ya kudumu.
Tuko pamoja?
 
Mwanamke anakuwa na nguvu ikiwa mwanaume una makandokando, deal fake , wizi na udhaifu wa kitandani vinginevyo uliyoandika ni mastory ya town tu !!!!
 
Dangote wa Nigeria na Dangote wa Tanzania (Mr. Diamond ) wote hao hawajaoa, sorry rais wa awamu ya pili wa Kenya alitalikiana na mkewe akiwa waziri, mshkaji aliendelea kushikiria msimamo wake hadi akaukwaa urais wa Kenya akiwa single na hadi anakufa Daniel Arap Moi alikua single though friend match pamoja na match za ugenini alikua anapiga kama kawaida; hi imekaaje?
 
Bahati nzuri kwenye feedback tunayopata hapa,wengi tuna maoni ya "in every successful man there is a woman behind",hao wanaobeza wanawake ni wachache,tuwapuuze.Mtu anae mdharau mke wake na kumdhalilisha hadharani hana akili...maana anajidhalilisha mwenyewe...
Katika historia ya duniani kote wanaume wote waliofanya mambo makubwa walikuambali na wanawake hata hivyo vitu vya kisayansi ni matokeo ya mwanaume kukaa mbali na wanawake sasa wewe jidangaje na msemo wako huo kama utakuja kutoboa na hata ukitoboa utakuwa unatawaliwa na mwanamke ambapo ushauza hio nafas yako kama kichwa wew unadhani kwann mungu ataki mwanamke atawale na badala yake kampa mwanaume
 
Kwa bahati mbaya hakuna mwanaume kauzu kama Mimi..hunijui tu.kumheshimu mke wako haina maana unatawaliwa
 
Sie ambao hatujaoa bado na tunasongesha maisha kama kawaida na hatufuji pesa. Sisi tunafanya mambo kwa mipango na Mungu ndio kiongozi wetu na ndio tunamuogopa tuna weka wapi Komenti zetu ?
 
Kumheshimu mkuu sio kumuogopa kama unamuogopa mkeo utakua bwege sasa unamuoaje mtu unaemuogopa sasa. Na nyingi hapo ni nadharia tu kwenye maisha halisi mwanaume ndie mtawala na mwamuzi wa mwisho. Unashauriana na mkeo sio unaenda kumpelekea kitu aamue yeye hiyo haipo labda kwa baadhi ya wanaume mabwege ni kushauriana sio kuamriwa kila kitu na mkeo
 
Hahahah hapo hujaongopa and that what makes her my wife 😂😂😂!!! Sema sio wanawake wote wako hivi, kuna ambao wameumbwa na power of self-intuition.

Usije ukategemea huyo kilaza wako mvaa mawigi na kubandika bandika mikucha na vipini vya pua kuwa atakuwa kama mke wangu mimi. Demu hajui viwanja vinauzwa wapi ila bar zenye sekela wazuri zote anazijua na ndiko anakopenda mwende kila weekend.

Back to topic, huwa kuna maswala mengine nakazaga tu kibabe ila mengi anayonikatazaga wife yanakujaga kuwa bofo mbeleni, sijui wameumbwaje hawa watu anaweza kuhisi kitu cha mbeleni wewe hujawahi fikiri kabisa ila ukimsikiliza unakuwa safe ila ukipuuza unalost inafikia stage lazma nimueleze tu nataka kufanya kitu flani ili nimsikize atasemaje kuhusu hilo. I've lost a lot of money kwa kumpuuzaga ila baadae anakuja kuniambia nilikwambia lakini!

Au mtu flani akishamkataa anakwambia kaa nae mbali tu roho yangu haina amani nae. Ujue kuna kitu kinakuja tu.
 
Hahahah hapo hujaongopa and that what makes her my wife [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Sema sio wanawake wote wako hivi, kuna ambao wameumbwa na power of self-intuition.

Usije ukategemea huyo kilaza wako mvaa mawigi na kubandika bandika mikucha na vipini vya pua kuwa atakuwa kama mke wangu mimi. Demu hajui viwanja vinauzwa wapi ila bar zenye sekela wazuri zote anazijua na ndiko anakopenda mwende kila weekend.

Back to topic, huwa kuna maswala mengine nakazaga tu kibabe ila mengi anayonikatazaga wife yanakujaga kuwa bofo mbeleni, sijui wameumbwaje hawa watu anaweza kuhisi kitu cha mbeleni wewe hujawahi fikiri kabisa ila ukimsikiliza unakuwa safe ila ukipuuza unalost inafikia stage lazma nimueleze tu nataka kufanya kitu flani ili nimsikize atasemaje kuhusu hilo. I've lost a lot of money kwa kumpuuzaga ila baadae anakuja kuniambia nilikwambia lakini!

Au mtu flani akishamkataa anakwambia kaa nae mbali tu roho yangu haina amani nae. Ujue kuna kitu kinakuja tu.
Nyie ndo mliiooa wanawake,
 
Back
Top Bottom