Hao ni show up tu ili wajenge image nzuri ya marekani duniani. Kiuhalisia hawaishi hivyo.Wengi au wachache?Mwangalie Clinton na mke wake..au Obama na mke wake,inapendeza sana kumpenda na kumheshimu mke wako
Wanaishije unafikiri..wanapiga wake zao na kuwanyanyasa?Hao ni show up tu ili wajenge image nzuri ya marekani duniani. Kiuhalisia hawaishi hivyo.
Ni kweli mkuu,ila pia mimi ni zao la jamii..nimekulia kwenye jamii na ninaona watu wanavyoishi...ni kweli pia ukipata mke mwema unaweza kuwa na perception kama yangu kuliko yule mwenye mke ambae wana bifu nae ambao wanategeana nani awe wa kwanza kumuua mwenzakebinadamu wote ni sawa na sio sawa, ni sawa interms of mwanamke na mwanaume wote have their own strengths and weaknesses.
Na binadamu wote sio sawa kwa persepective kwamba tuna uwezo tofaut wa kufikiri na maamuzi kutokana na genetics na mazingira tuliyokulia(elimu, exposure, experience n. k).
Pamoja upo sawa in your judgement lakin maamuzi yako yapo subjective zaidi na experience uliyopata kutoka kwa mkeo. Ila objectively experience hazifanani. Shukuru umepata mke mwema.
Hapana, ila wanaishi kwa kutoa Amri na Shauri zao binafsi na sio za wake zao...Hakuna Rais wa Marekani au nchi yoyote ya ulaya amewahi kutoa maamuzi ya mkewe kwa Taifa (Never recorded n no referrences at all unless huyo Mwanamke ndiye Rais) Hata Bush alikuwa akilaumiwa na mkewe kwa maamuzi yake.Wanaishije unafikiri..wanapiga wake zao na kuwanyanyasa?
Hata mageneral wa jeshi ambao kazini wanaogopwa kama samba lakini wengi wao wakirudi nyumbani kwa mama hawakohoi.Hii picha imenikumbusha ubabe wa marehemu Lucy Kibaki...Nasikia mzee alifanyiwa kitu mbaya na wife wake hadharani.
![]()
Ni sawa kwa mtazamo huo..lakini nakuambia hata hawa marais wengi maamuzi yao yanakuwa influenced na wake zao..Hebu niambie kama wewe ni bosi au kigogo wa serikali halaf mke wa rais hakutaki kama utakaa kwenye nafasi hiyo..Au angalia hata majumbani,kuwe na ndugu au mtu yoyote ambae wife hamtaki halaf aseme yeye aondoke au mimi niondoke...Niambie huo mziki wake mwisho wa siku nani ataondoka?Hapana, ila wanaishi kwa kutoa Amri na Shauri zao binafsi na sio za wake zao...Hakuna Rais wa Marekani au nchi yoyote ya ulaya amewahi kutoa maamuzi ya mkewe kwa Taifa (Never recorded n no referrences at all unless huyo Mwanamke ndiye Rais) Hata Bush alikuwa akilaumiwa na mkewe kwa maamuzi yake.
Ukimaliza hilo...Jiulize tena: Ni kwanini wanalazimisha 50/50% ya MP's huku Africa wakati kwao hawataki hiyo issue?[emoji15]
Ukweli ni kwamba wanaume wengi wanaogopa wake zao
Yaani wewe huwa una vitu fulani adimu adimuMwanaume bwege ndio anayeogopa mke wake!
Yaani wewe huwa una vitu fulani adimu adimu
Ha ha ha haIla sukari tu ndio sina mkuu