Ukweli mchungu: Wanaume hupenda mwanamke malaya kuliko mtulivu. Ndiyo maana malaya wana bahati ya kuolewa mapema kuzidi wengine

Malaya wenzangu tujuane hapa🤣🤣🤣🤣😄😄😄
Na ndiyo wachepukaji wengi wako kwenye ndoa!
Ni rahisi sana kummega mwanamke aliye ndoani kuliko binti kisura akiwa single
 
Niaje wadau.

Nimeambiwa na demu wangu kuwa niwe mvumilivu na niongeze upendo ili amsahau mchepuko wake ambae yupo nae na anampenda kuliko mimi ila jamaa hampend demu but demu anasema anashndwa kabisa kumuacha......

Sasa wadau nisaidieni jins ya kumtreat huyu manzi nimteke mazima aje kwangu... Mwanzo nilikuwa nataka kupiga na kusepa sasa nimejikuta naganda baada ya dogo kuniambia kuna pesa anaiskilizia tufanye busines.... Ni mchepuko tu lakini na ni mwanachuo.

Upendo wake kwa jamaa haiusuani kabisa na kupigwa vizuur wala kuhongwa... Anadai ni mazoea tu ananiomba nikubali kuwa mume mdogo...

Mi nimekubali kwa kuwa sio ndoa na sina mpango wowote... Ila sasa nisipomteka manzi.. iyo pesa ataidaka jamaa...

Ushauri wadau mbona za kumteka huyu mrembo.

Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
 
Hasira za kutoolewa.
 
Kama amajaanza pamoja nyote ni malaya. Ndoa nyingi ni za walokuwa malaya wastaafu waliohalalisha uzinzi
 
Malaya uoleka mapema sababu ya Wana wigo mpana wa kukutana na watu wengi ambapo chance ni kubwa



Na wanajua mbinu za kuwalaghai wanaume ili wafanye watakavyo hata Kwa kuwaroga,

Sema sasa wakishalazimisha mahusiano ya hivyo huwa havidumu au huishi kimakandamkanda.

Ingawa wapo wanawake ambao ni waaminifu lakini Kwa wanaume wao kukosa uaminifu waismua kuachia ngazi njiani!
 
Malaya au Kahaba huwa na mbinu za hila za ujanja za kuhakikisha naam-win wanaume,

Hiyo Imeandikwa hata kwenye vitabu vitakatifu.

Lakini Habari njema ni kuwa huwa ni temporarily na mwisho wake huwa mbaya sana Kwa uzoefu jinsi ulivyo!

Furaha ya mtu haipo ktk wingi wa mali au fedha alizonazo hata ziwe nyingi kiasi gani!
 
Je high risks zinazoambatana na hao malaya/makahaba/wadangaji mko tayari kuchukuliana nazo ?

Imeandikwa;

“Pasipo maono watu hushindwa kujizuia.

“Pasipo maoni watu huangamia”

Yani mtu usijijali nafsi yako unatamani kila mwanamke na kumlala mazingira yoyote?!

Ni Kheri kuwa na kinyaa!
 
Utarogwa kama unayo pesa au mali.Mwanaume masikini alishwi limbwata.
 
Kwenye mawazo yako usituhusishe wote, huo ni mtazamo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…