Kila siku unatumia ndege umekuwa air hostess.
Kila siku unatumia ndege umekuwa air hostess.
Hakuna ushauri zaidi ya kuhesabu hasara! Hata trip za China zikianza hakutakuwa na faida. Industry kichaa sana na maamuzi ya kununua ndege badala ya kuongeza mishahara ya watumishi na kujenga irrigation schemes, yamepotoshwa na washauri au washauriwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
mbuzi?Mkuu hujasafiri na ndege wewe. Dreamliner inakuja mwanza mara mbili kila siku kwa maana ya safari nne na kila ikija imejaa seat zote, Q400 zitakuwa zikienda viwanja kamaa kg, dom,tbr na kwingineko, airbus ni kwa ajili ua route nje ya tz yaan africa, na dreamliner ni long haul hivo zinavuka africa kwenda asia na kwingineko
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]Nimekuwa nasafiri sana nikitumia usafiri wa anga kwa awamu zote tano. Ukiangalia mahitaji ya usafiri wa anga ndani ya nchi utaona kuwa hakuna soko na viwanja vya kutosha kwa madege yaliyonunuliwa na boss. fikiria bombadia tatu kama sikosei, dream liner moja, airbus mbili pamoja precision air sionihao watu wa kujaza ndege hizo kubwa. Labda zikitumika kusafirisha mazao ya kilimo na mifugo
Precision wataondoshwa, monopoly at stakeNimekuwa nasafiri sana nikitumia usafiri wa anga kwa awamu zote tano. Ukiangalia mahitaji ya usafiri wa anga ndani ya nchi utaona kuwa hakuna soko na viwanja vya kutosha kwa madege yaliyonunuliwa na boss. fikiria bombadia tatu kama sikosei, dream liner moja, airbus mbili pamoja precision air sionihao watu wa kujaza ndege hizo kubwa. Labda zikitumika kusafirisha mazao ya kilimo na mifugo
Maoni yangu naona hata zilizopo bado hazitoshi, wenzetu wanakimbia usafiri wa mabasi maana sio Salama kwa sasa kuliko ndege ,anayebeza atakuwa sio mtuamiaji wa ndege kazoea upanda kina LUPELONimekuwa nasafiri sana nikitumia usafiri wa anga kwa awamu zote tano. Ukiangalia mahitaji ya usafiri wa anga ndani ya nchi utaona kuwa hakuna soko na viwanja vya kutosha kwa madege yaliyonunuliwa na boss. fikiria bombadia tatu kama sikosei, dream liner moja, airbus mbili pamoja precision air sionihao watu wa kujaza ndege hizo kubwa. Labda zikitumika kusafirisha mazao ya kilimo na mifugo
Ya kichwa inamfaa kabisaKitendo cha kuandika hivi ni dhairi wewe ni mtu mwenye nia mbaya na nchi na maendeleo ya ATC.
Watu kama wewe risasi ni haki yako.
Eehe manaa hata Nyama ya mbuzi inahitaji ndegee kusafirishwaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Fanya tafiti utajua matumizi ya ndege yalivyoongezeka..ukifanya tafiti za kwenye keyboard hutapata jibu..
Sent using Jamii Forums mobile app
mmmhh ngoja waje aiiisee
Mi nadhani matumizi ya Ruzuku ufipa ni key board tupuFanya tafiti utajua matumizi ya ndege yalivyoongezeka..ukifanya tafiti za kwenye keyboard hutapata jibu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasubiri wazazi wamnunulie uniform.
Tumeanza na Mbuzi babu huna habari?Nimekuwa nasafiri sana nikitumia usafiri wa anga kwa awamu zote tano. Ukiangalia mahitaji ya usafiri wa anga ndani ya nchi utaona kuwa hakuna soko na viwanja vya kutosha kwa madege yaliyonunuliwa na boss. fikiria bombadia tatu kama sikosei, dream liner moja, airbus mbili pamoja precision air sionihao watu wa kujaza ndege hizo kubwa. Labda zikitumika kusafirisha mazao ya kilimo na mifugo
Ona huyu naye, ushaona emirates zinasafiri domestic hapa tanzaniaKwa hiyo mna ubavu wa kushindana na emirate, klm, ethiopean, turkish sa nk ktk soko la nje?
Ikiongezwa mishahara ndo maendeleo yanakujaHakuna ushauri zaidi ya kuhesabu hasara! Hata trip za China zikianza hakutakuwa na faida. Industry kichaa sana na maamuzi ya kununua ndege badala ya kuongeza mishahara ya watumishi na kujenga irrigation schemes, yamepotoshwa na washauri au washauriwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni uelewa mdogo sana aisee. Hakuna ndege ya tz inayosafirisha nyama kwenda UAE zinapelekwa dar then wanafaulishaOf course inaweza tani 10 za minofu ya ng'ombe na abiria 10 kwenda UAE halaf tukashangilia sana! Ha ha ha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Air tanzania nauli zipo fair kuliko fastjet. Ni kwa vile watu hamna uelewa na mambo ya usafiri wa angaNdege unapanda kama lift ukisindikiza msiba,kama ukuwahipanda fastjet bei chini sahau kuhusu twiga, nauli tu zaidi ya mshahara
Sent using Jamii Forums mobile app