Nimekuwa nasafiri sana nikitumia usafiri wa anga kwa awamu zote tano. Ukiangalia mahitaji ya usafiri wa anga ndani ya nchi utaona kuwa hakuna soko na viwanja vya kutosha kwa madege yaliyonunuliwa na boss. fikiria bombadia tatu kama sikosei, dream liner moja, airbus mbili pamoja precision air sionihao watu wa kujaza ndege hizo kubwa. Labda zikitumika kusafirisha mazao ya kilimo na mifugo