AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 7,045
- 5,876
Kama tunakokwenda siko, kurudi nyuma sio mbaya.
Kama tunakokwenda siko, kurudi nyuma sio mbaya.
Usidhani wote hatuna feza bro. Kwa taarifa yako zinazaa mpaka kisazaNimekuwa nasafiri sana nikitumia usafiri wa anga kwa awamu zote tano. Ukiangalia mahitaji ya usafiri wa anga ndani ya nchi utaona kuwa hakuna soko na viwanja vya kutosha kwa madege yaliyonunuliwa na boss. fikiria bombadia tatu kama sikosei, dream liner moja, airbus mbili pamoja precision air sionihao watu wa kujaza ndege hizo kubwa. Labda zikitumika kusafirisha mazao ya kilimo na mifugo
Kwa hiyo mna ubavu wa kushindana na emirate, klm, ethiopean, turkish sa nk ktk soko la nje?Mkuu hujasafiri na ndege wewe. Dreamliner inakuja mwanza mara mbili kila siku kwa maana ya safari nne na kila ikija imejaa seat zote, Q400 zitakuwa zikienda viwanja kamaa kg, dom,tbr na kwingineko, airbus ni kwa ajili ua route nje ya tz yaan africa, na dreamliner ni long haul hivo zinavuka africa kwenda asia na kwingineko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna ushauri zaidi ya kuhesabu hasara! Hata trip za China zikianza hakutakuwa na faida. Industry kichaa sana na maamuzi ya kununua ndege badala ya kuongeza mishahara ya watumishi na kujenga irrigation schemes, yamepotoshwa na washauri au washauriwa!Ushauri wako tunauhitaji kuhusu hizi ndege ambazo tayari zipo nchini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umeamua kujitoa sio eee?Kwa hiyo mna ubavu wa kushindana na emirate, klm, ethiopean, turkish sa nk ktk soko la nje?
Kwa hiyo wewe umeamua kujitoa sio eee?Kwa hiyo mna ubavu wa kushindana na emirate, klm, ethiopean, turkish sa nk ktk soko la nje?
Of course inaweza tani 10 za minofu ya ng'ombe na abiria 10 kwenda UAE halaf tukashangilia sana! Ha ha ha!Sio lazima zibebe watu.Sasa hivi target yetu ni minofu ya mbuzi,sangara,kambale na dagaa
Kitendo cha kuandika hivi ni dhairi wewe ni mtu mwenye nia mbaya na nchi na maendeleo ya ATC.Kwa hiyo mna ubavu wa kushindana na emirate, klm, ethiopean, turkish sa nk ktk soko la nje?
Hahaha nawewe mwanasiasa, kodi yetu imewahi kutumika wapi kwenye manufaa?! Yani wanavyolipana hivyo kuna lenye manufaa kwenye kodi?! Miradi yote tumekopa au kusaidiwa, sasa kodi inatumika wapi?!Tatizo letu ni wanasiasa kuingilia taaluma za watu na kufanya maamuzi ya kisiasa. Ingefanyika upembuzi yakinifu kodi zetu zingetumika kwa manufaa zaidi
Hakuna ushauri zaidi ya kuhesabu hasara! Hata trip za China zikianza hakutakuwa na faida. Industry kichaa sana na maamuzi ya kununua ndege badala ya kuongeza mishahara ya watumishi na kujenga irrigation schemes, yamepotoshwa na washauri au washauriwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera nyie mtakaoishi mileleKitendo cha kuandika hivi ni dhairi wewe ni mtu mwenye nia mbaya na nchi na maendeleo ya ATC.
Watu kama wewe risasi ni haki yako.
Dogo shule haijafunguliwa...au uko chuo sasa?Mzee baba lengo la ndege zetu ni kusafilisha nguruwe had Dubai wala siyo abiria kama unavyozan. Tiar tushapeleka mzigo Wa kutosha Wa mbuzi huko Dubai saiv tuko njian tunakuja kuchukua nguruwe au mbuzi katoliki
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndege unapanda kama lift ukisindikiza msiba,kama ukuwahipanda fastjet bei chini sahau kuhusu twiga, nauli tu zaidi ya mshaharaFanya tafiti utajua matumizi ya ndege yalivyoongezeka..ukifanya tafiti za kwenye keyboard hutapata jibu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazima zibebe watu.Sasa hivi target yetu ni minofu ya mbuzi,sangara,kambale na dagaa
Hii mada haitakufaa..tafuta unazoendana nazoNdege unapanda kama lift ukisindikiza msiba,kama ukuwahipanda fastjet bei chini sahau kuhusu twiga, nauli tu zaidi ya mshahara
Sent using Jamii Forums mobile app