Ukweli mchungu: Perfume ya Diamond (Chibu) haina quality

Nimeinunua na nimeitumia, namshauri aifanyie marekebisho vinginevyo haitadumu sokoni. Ni hayo tu hata kwa wale mliopanga kuinunua muelewe hivoView attachment 502448
Cc:lizaboni...mkuu mara mwisho ulikuja na story DSTV wameshindwa kulipa pango wamewekaa vitu vyao viwanja vya leaders...leo umekuja na story ya perfume ya chibu Songea umehama kabisa upo Dar?mwache dogo afanye biashara wewe endelea na mambo yako ya lumumba kumsupport Magufuli na kumpinga Lowassa hicho ndio kipaji chako mambo ya biashara huna unachojua.
 
Oya andika vitu vya maana sio upuuzi huu Kama umenunua ni mbaya c ww mwenyew,kwani aliweka sokoni akulidhishe ww,nenda kweny forum za udaku utoe ushuzi humu
 
Mimi shuhuda nimeinunua ni nzuri kwa harufu na ina ubora kama pafyum zingine za nje mm ningeomba bungeni wampongeze kijana mwenzetu mtanzania kwa kututoa kimasomaso manake tz hii mwanamuziki gani alishawahi kufanya kitu kama hiki inabidi apongezwe kesho na keshokutwa atatoa mpaka simu za chibu na mtazinunua tu kulaleki!
 
Back
Top Bottom