Ukweli mchungu: Perfume ya Diamond (Chibu) haina quality

Ney kuinunua hakuifanyi kuwa na kiwango ndugu kwani haifanyii marekebisho yoyote, itabaki kuwa km ilivyo

Nimeinunua na nimeitumia, namshauri aifanyie marekebisho vinginevyo haitadumu sokoni. Ni hayo tu hata kwa wale mliopanga kuinunua muelewe hivoView attachment 502448

Bahati mbaya unabishana na mimi kwa kutumia habari na sifa za hii pafyumu kama ulivyoziskia kupitia vyombo vya habari, Kainunue kwanza ndio uje kubishana na mimi

Suala hapa siyo bei, tunazungumzia ubora Wa bidhaa yenyewe

Teh teh teh ! Kainunue harafu utakuja kunipa majibu kwenye huu uzi

Hata kama ingenunuliwa mbinguni, kinachozungumziwa hapa haina ubora wowote na hata walionunua no kwa sababu ndio kwana ilikuwa inaingia sokoni na kwa namna ilivyonadiwa watu walijua kweli INA kiwango kumbe Hanna kitu. Nakuhakikishia haitudumu sokoni

Na ni ukweli pia japo unauma
Nibozali mbona umeamua kupanga mashambulizi yasiyo na tija kwa kijana huyu wa kitanzania anayefanya jitihada za kutengeneza taswira nzuri kwa nch yetu?! Kwanza wewe sio mshauri mzuri kwa sababu hukuweza kutuambia ubora unao uhoji ni kwa kitu gani katika hiyo product! Harufu? Presure ya ku spray? Harufu kudumu, etc, mimi sio mtaalamu wa hizi bidhaa lakini nafikiri kuna vigezo vinavyotumiwa kupima ubora wake. Hebu tujiulize yule umpendaye wewe kwani lazima sisi wote tumpende? Moja ya sifa ya kitu kizuri ni appearance yake, CHIBU inavutia macho, pili kuuzika kwa kitu kunategemea jinsi unavyo kiuza, promotions. Diamond anajitahidi kuiuza Chibu. Sio wanawake wote ni wazuri, ila kupitia makeups na adverts humkuti mbaya.
Give credit to this young man, acha chuki binafsi.
 
Nimeinunua na nimeitumia, namshauri aifanyie marekebisho vinginevyo haitadumu sokoni. Ni hayo tu hata kwa wale mliopanga kuinunua muelewe hivoView attachment 502448
Sawa ni mbaya.. Lakini Acha tuanzie Hapo...
"ni mbaya compare to which perfume ya kitanzania "...If ndo perfume Pekee inayozalishwa na kumilikiwa na mtanzania it's the best to us...
Ulioziona perfume za mwanzo kwa hizo brands ulizozikubali zilkuwa zikoje..
"Change your attitude asee...
 
Ndiyo maana bado unaishi kwenu acha chuki binafisi kama kweli umenunua tuna risiti hapa NA mm nitume tujue nani kanunua KIMA ww
 
Back
Top Bottom