Ukweli mchungu: Mwanaume anayejitegemea na mwenye vijihela vya kubadilisha mboga hawezi kuachwa na mwanamke

Hii mada pana sana..rejea kesi ya Bill na Melinda Gates.
 
Mkuu umenena kabisa wanaokuja kukupinga wakupinge , kuna dem namtafuna mwaka na nusu sasa sababu ya uzembe wa jamaa yake kibrazamen wavaa soksi wale kazi yao ni kut...mb tu kuhudumia hawajui

Dem alikuwa anampenda jamaa hadi whatsapp anakuweka dip, ukiambiwa hamna mwanamke anayekaa sehem ya kupauka kubali aisee, yule dem skumoja nilitoka nae out tu nikamlambisha kuku , nikamleta hom kwangu akakuta kupo full, ndio mazima nikaanza kumla na kugaramia nagaramia hadi leo mwaka wa pili natafuna na heshima anayo ya kutosha na kile kibrazameni chake kinalialia hadi kesho

Jamani tafuteni hela
ukijahaliwa vijiela usinyanyase wenzako,,umempora ww umefaidika nn sasa
 
Back
Top Bottom