sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,501
- 2,934
Hapo ndipo inauma zaidi. Gari nyingi used unakuta wamiliki wa awali walifanyia fantasy zao ambazo kamwe hawawezi kuzifanya kwenye magari yao mapya. Used nyingi hazichuji hewa ya ukaa, unakuta wameng'oa kibuyu au DPF.Gari used mbaya zaidi unakuta hata mfumo wa "eksozi" mtumiaji wa awali ameshauharibu, inatia hasira sana na unakuta umetoa hela nyingi kulinunua.
usichukulie serious sana mkuu, hili ni jukwaa la MMUUme generalize magari used
Used ya nje kuluta hayo usemayo ni uongo na kama ingekuwa kweli
Basi soko lake lisingekuwepo
Kingine jifunze maana ya used
na wengi wakishajua hawana plan ya kulitumia hilo gari kwa mda mrefu, wanalitumia vibaya sana, wanalipitisha tu barabara zote za lami hadi za tope,Hapo ndipo inauma zaidi. Gari nyingi used unakuta wamiliki wa awali walifanyia fantasy zao ambazo kamwe hawawezi kuzifanya kwenye magari yao mapya. Used nyingi hazichuji hewa ya ukaa, unakuta wameng'oa kibuyu au DPF.
Dereva aliyeendesha magari mengi ana uzoefu - sifa nzuri.Mzee kwani nawe si unakuwa ushaendesha gari nyingine,
Ununue gari mpya nawe uwe ndio dereva mpya.
We dereva ushaendesha mitandam huko, gari breki unauma meno, clutch unakanyaga mpaka mwisho kisha Leo unataka mpya, si utapasua CLUTCH.
Na wewe ushauza gari, bado unaitamani huo ni unywanywa, uliiuzia nini?
Masuala ya mabikra tunawaachia nyie,
Sisi tunataka mijitu konkodi, mguu wa mtoto wanaupaka asali, mara kalamba NYANYA MSHENZI
π
Gari iliyotumika sana haina tabu, ina experience, hata kuingia madimbwini, kwenye makorongo haiogopi, ila inaogopa ππ€£Dereva aliyeendesha magari mengi ana uzoefu - sifa nzuri.
Gari lililotumika sana ni scrap - sifa mbaya.
That's nature. π