Ukweli mchungu kuhusu Magari used

ha ha labda kama huna plan ya kukaa na hilo li gari lililochoka kwa muda mrefu
 
u mean used women (non virgin ladies)???
 
NYANYA MSHENZIπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
ha ha labda kama huna plan ya kukaa na hilo li gari lililochoka kwa muda mrefu
Magari mapya yoote nawaachia nyingi.
Mie yangu Yale Yale ya kitambo, gari unakunja kona umesimama.
Gari unaiendesha kitambaa cha kufutia jasho pembeni
Fiat, Leyland.. πŸ˜‚πŸ€£
 
Gari ni gari, bibie mzuri ni bibie mzuri.
Kuwa na angalizo tu, binadamu yoyote hajawahi kumkabidhi mtu mwingine utamu wake,, na huyo mwingine akaondoka nao na kuuhodhi.
Butamu unabaki pale pale.
 
Na huyo ndio atakua wife matirioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…