Serikali ishafika Chatu sasa hivi, inaelekea Karagwe.Serikali ishahamia Dodoma unasemaje sasa
Vumilia tu mkuu hakuna namnaKwahiyo wangu atakuwa anagegedwa huko Dodoma
Atakaepinga hili atakua na sababu zake binafsi za kibishi tuHapa naweza kurushiwa mawe ila mara nyingi mimi huwa napenda kuwaambia watu ukweli.
Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti kwa kipindi kirefu bila sababu za msingi.
Ni vyema kama mume na mke mnafanya kazi nchi, mkoa au wilaya tofauti kabla ya kufunga ndoa mkubaliane aidha mmoja ahamie kikazi aliko mwingine au mmoja aache kazi na kuangalia shughuli nyingine atakayofanya pindi atakapohamia kwa mwenzi wake.
Wanaume ni wadhaifu
Wanawake ni wadhaifu
Gape mtakaloliacha hapa kati lazima kinukishwe. Mkiwa na watoto 5 huenda watoto wa baba mwenye nyumba wakawa wawili tu.
Na huko mwanaume anazaa watoto kwa siri . Ndoa inageuka kuwa ndoana hata Kama mtafanya maigizo ya kupeana mapenzi motomoto pindi mnapokutana ila jua tu kuna jambo sirini linaendelea
Nayeye anawagegeda hapa Dar.Vumilia tu mkuu hakuna namna
KitamboMmh una maana hata ndoa ya yule mwanamama mweupee
na
yule mumewe mweusi ambae ni balozi wetu Kwao JET LEE?
Tuliowahi kujenga au kulima kwa simu tumekuelewaKwani hii ina tofauti gani na kulima kwa simu au kujenga kwa simu, lazima upigwe.
duuh
hahahahahahahahaha nimecheka kwa sauti mkuuKadri ninavyokaa JF naweza ghairi kuoa. Ila sasa bado natamani kuwa na watoto kwa mke mmoja tu
NTAJIE JINA LAKE! NPO DODOMA. 🙃Kwahiyo wangu atakuwa anagegedwa huko Dodoma
Yaah nimemgegeda sana weekend hii, yani jana jioni ndio nimemuacha hoi.😂😂😂 na ile laki 3 uliomtumia ninayoKwahiyo wangu atakuwa anagegedwa huko Dodoma
utaniua kwa presha mkuu,1Yaah nimemgegeda sana weekend hii, yani jana jioni ndio nimemuacha hoi. na ile laki 3 uliomtumia ninayo