Ukweli mchungu: Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti

Hivi sisi ni Mbwa au binadamu? Udhaifu wa ngono wanao mbwa wao ndo hupandana bila utaratibu.

Ndoa imekuwa kama msalaba sababu tu binadamu hawana descpline ya kujiheshimu. Kama ni lazima muwe mbali wekeni utaratibu utlist mara 3 ndani ya mwezi muonane, si kwa ajili ya ngono tu bali kuna wakati wa familia.

KATAA KUWA MTUMWA WA NGONO WA MWILI WAKO.
 
Hapa naweza kurushiwa mawe ila mara nyingi mimi huwa napenda kuwaambia watu ukweli.
Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti kwa kipindi kirefu bila sababu za msingi.
Ni vyema kama mume na mke mnafanya kazi nchi, mkoa au wilaya tofauti kabla ya kufunga ndoa mkubaliane aidha mmoja ahamie kikazi aliko mwingine au mmoja aache kazi na kuangalia shughuli nyingine atakayofanya pindi atakapohamia kwa mwenzi wake.
Wanaume ni wadhaifu
Wanawake ni wadhaifu
Gape mtakaloliacha hapa kati lazima kinukishwe. Mkiwa na watoto 5 huenda watoto wa baba mwenye nyumba wakawa wawili tu.
Na huko mwanaume anazaa watoto kwa siri . Ndoa inageuka kuwa ndoana hata Kama mtafanya maigizo ya kupeana mapenzi motomoto pindi mnapokutana ila jua tu kuna jambo sirini linaendelea
Atakaepinga hili atakua na sababu zake binafsi za kibishi tu
 
Kadri ninavyokaa JF naweza ghairi kuoa. Ila sasa bado natamani kuwa na watoto kwa mke mmoja tu
hahahahahahahahaha nimecheka kwa sauti mkuu

sasa mkuu kutamani kuwa na watoto kwa mke mmoja si ni sawa na kuoa tu au unplan kufanyaje hivyo?
 
Wanawake wakibongo unaishi nae pango moja akipata upenyo tu kakunyoosha kama leo Messi, yani one chance one goal. seuze awepo mkoa mwengine My friend hapo huna mke watu wanamuogelea huko.
 
Back
Top Bottom