Kuna uhalisia fulani kwa ulichokiongea!maslahi
Najua wapo ambao watakata huu ukweli..!
Ualimu ni Course ambayo inasomwa na watu wengi walipata ufaulu wa kawaida sana.
Watu wengi sana wenye uwezo mkubwa sana wa masomo ya Science, huwa wanandoto za kusoma Course ambazo zitawapatia Ajira yenye kipato kikubwa kuliko Ualimu.
shinikizo; Wazazi wetu, utasikia "mwanangu usuthubutu kusoma ualimu,utakufa masikini"
Ni wazi kuwa watanzania tumewekeza sana kwenye elimu tukiwa tunaamini Elimu ndio itatufanya tuyashinde maisha baada ya masomo, na kuwa komboawazazi na ndugu zetu pia, hivyo pia huwa tunapata hata mashinikizo kutoka kwa wazazi na ndugu zetu kuwa tusithubutu kuchukua Ualimu pale wanapotuona tunamudu masomo ya science, hutupendekezea Udaktari,Uhandisi na kazi nyingine zenye mshahara mzuri.
Ualimu una dharaulika sana.
Labda mshahara wa Private School.. au Ualimu wa nchi za nje..Kuna uhalisia fulani kwa ulichokiongea!
Ila kuna watu wamesoma ualimu na wanawazidi mshahara wahandisi au madaktari kama inavyoaminika kuwa kada hizo ndio zina hela! Kuna watu walikutana na maisha njiani!
Hapa hapa Tanzania! Au nyie walimu mnaowaongelea ni wa level ipi? Maana hamajawa specific kwa ngazi mnayoijadili! Mi nadhani mnahusisha kuanzia sekondari mpaka vyuo vikuu au?,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda mshahara wa Private School.. au Ualimu wa nchi za nje..
Hata private school ni nao ni walimu? Au wao walisomea taaluma gani? Tena walimu wazuri wengi wao walifaulu kwa ufaulu wa wastani!Labda mshahara wa Private School.. au Ualimu wa nchi za nje..
Huna dira mkuu. Unaweza ki baby sana . nitskuzawadia amigo pampas. KiiiiruuuuuuuWatu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.
Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.
Acha wenge kinachompunguza Mwl ni ukosefu wa posho na overtime (ambazo nazo Magu kazifuta kwa sasa,hivyo wanalandana tu) kuna walimu take home yao ni 1M huku wahandisi wa halmashauri wakipokea laki's kadhaa, acha kukariri Mwl akipandishwa Daraja kwa wakati anamzidi Huyo unayemfikiria, labda uniambie salary ya mhandisi anayeanza kazi serikalini kwa ngazi ya Degree ni sh. Ngapi?Labda mshahara wa Private School.. au Ualimu wa nchi za nje..
Basi HongeraAcha wenge kinachompunguza Mwl ni ukosefu wa posho na overtime (ambazo nazo Magu kazifuta kwa sasa,hivyo wanalandana tu) kuna walimu take home yao ni 1M huku wahandisi wa halmashauri wakipokea laki's kadhaa, acha kukariri Mwl akipandishwa Daraja kwa wakati anamzidi Huyo unayemfikiria, labda uniambie salary ya mhandisi anayeanza kazi serikalini kwa ngazi ya Degree ni sh. Ngapi?
imetoka moyoni kweli hii? Fanya utafiti kabla ya kuongea kinachowainua hao ni zile fursa za pembeni ambazo Mwl hana,Basi Hongera
mi mbona wewe kila ukiongeaga huwa naamini tu!imetoka moyoni kweli hii? Fanya utafiti kabla ya kuongea kinachowainua hao ni zile fursa za pembeni ambazo Mwl hana,
Umefanya utafiti au unapuyanga tuuuuuWatu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.
Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.
Concept gani za kukariri wewe hata hujui application zake, chezea elimu ya kimerekani kuileta Tanzania, kama ungekuwa na concept usingelalamika kuhusu huu uzi, ungetumia concept hizo za physics kuleta mabadiliko na kupeleka kwenye vitendo, Hiyo science ya Teku au Tumaini hata kuandaa practical ni shiidaaa utawezaje fundisha watoto kama sio kuharibu TaifaDuh! Tuko vizuri jamani ama mnataka tuwaoneshe kwa namna gani kuwa tumepikwa tukaiva kuliko mnavyodhania? Tatizo watu wanadhani kujua kwa mfano Physics ni kusolve matango! Now days ni concepts hapo ndio ujuvi wa Physics upo! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama Maprofesa wenu Tafiti zao zinatumika Kama toilet paper, Nani anataka tafiti nchi, hii nchi inaongozwa kwa siasa, Tafiti zenu tupa huko, Hii nchi inaongozwa kwa siasa, Maprofesa wenu hao wa science hasa wa physics wamechangia nini kwenye Taifa hili bora mafundi vibatali na vinyago tunaona kazi zaoUmefanya utafiti au unapuyanga tuuuuu
Ukweli mchungu wengi mnaochangia ni walimu ambao mliingia vyuo kipindi cha kati 2005 mpaka 2017 ,kuanzishwa kwa Loan board na kutoa pesa kwa walimu kama kipaumbele kuliingiza vilaza wengi kwenye elimu hasa hawa walimu mara Voda fasta sijui tigo, Na ndio chanzo kuanza kuporomoka kwa elimu Ceteris peribus mambo mengine yapoimetoka moyoni kweli hii? Fanya utafiti kabla ya kuongea kinachowainua hao ni zile fursa za pembeni ambazo Mwl hana,
Ahaaa Teacher's au Picture's, hawa walimu wa science wa sasa ni Pictures sio Teachers, Ngoja wafanyishwe interview na serikali ya hayo masomo ukweli utajulikana, Naamini wizara itaweka interview standard kupima Teachers na PicturesAcha wenge kinachompunguza Mwl ni ukosefu wa posho na overtime (ambazo nazo Magu kazifuta kwa sasa,hivyo wanalandana tu) kuna walimu take home yao ni 1M huku wahandisi wa halmashauri wakipokea laki's kadhaa, acha kukariri Mwl akipandishwa Daraja kwa wakati anamzidi Huyo unayemfikiria, labda uniambie salary ya mhandisi anayeanza kazi serikalini kwa ngazi ya Degree ni sh. Ngapi?
Walimu msipanic hakuna ajira, jiajirini wenyewe, huko private wachache wanaiweza kazi na hawalalamiki kuhusu huu uzi, Nyie ambao mmesoma kwa kiingereza cha kuunga unga ndio shida, walimu mnaoilazimisha serikali iwape ajira hamujiamini uwezo wenu kichwani mdogo, Nenda St Francis huko utakutana na Mwalimu anaitwa Mwak... lima uangalie anavyofundisha physics au Feza hao hawawezi kulalamikia huu uzi, Ishu ni nyie walimu vilaza hamuwez kushindana kwenye shule hizo, Feza zilitangazwa kazi mliogopa interview ila mnataka serikali izoe magugu yazalianeHuna dira mkuu. Unaweza ki baby sana . nitskuzawadia amigo pampas. Kiiiiruuuuuuu
Mnachekesha sana walimu yaani kuna kundi la 2015 halafu kundi la 2016 mnataka mpewe kazi kufundisha science tena kipindi hiki cha awamu ya viwanda bila interview, Haiwezekani kwenye hili taifa mtachujwa tu, najua wizara husika wanaelewa uwezo wenu kulinganisha na kada zingine, Upo above 21 yrs unataka upewe kazi buree na Serikali shall never happen again kwenye nchi hiimi naona litengenezwe jukwaa la watoto.... litasaidia sana!
What I have realized is that. Your chronological age doesn'tMnachekesha sana walimu yaani kuna kundi la 2015 halafu kundi la 2016 mnataka mpewe kazi kufundisha science tena kipindi hiki cha awamu ya viwanda bila interview, Haiwezekani kwenye hili taifa mtachujwa tu, najua wizara husika wanaelewa uwezo wenu kulinganisha na kada zingine, Upo above 21 yrs unataka upewe kazi buree na Serikali shall never happen again kwenye nchi hii
Utakua unaupungufu sio buremi mbona wewe kila ukiongeaga huwa naamini tu!