Ukweli kuhusu wewe na dunia

Ukweli kuhusu wewe na dunia

We kwa fikra zako unafikiri nani alipaswa kutoa proof kati ya mimi na wewe?
Sasa huu ni utoto sasa au ubishi usio na sababu. Nimekonesha Kinetic energy = Mass X Velocity X Velocity
Wewe ukasema energy inaweza kupatikana bila mass. Mimi nikakuambia toa ushahidi. Sasa unaleta hadith.

Einstein yeye alitoa formula hii
E = MC²
Ikiwa M = Mass, C speed of light. Sasa kwanini ulete story. Kwanini kama hujui usikubali ukafundishwa?
Hapa tunaongelea uhalisia sio hadithi.

Ningependa tujadili kwa hoja na kwa proof sawa ndugu?
Kumbuka:
EDUCATION IS POWER
 
I agree entirely with him. Nithing comes from someone else. Everything comes from within us.
Jesus said 'The kingdom of God is within you'
Tatizo watu hukariri tuuu bila kufikiri.

ni kweli kabisa alisema hivo..sasa kama ipo kwetu hyo kingdom kunahaja gani yakuiita au kuitafuta tena
 
kama unataka uelezee kitu we elezea kama utaki acha sio unaelezea nusu nusu maana kuna watu humuhumu JF wameelezea kitu kama icho indeep bila kubabaisha wala kujifanya wanajua kama wewe
 
mihapo ndo nnaposhindwa kuamini..maana wanao haribu amani duniani na kuleta ubaguzi sasahivi...ndo haohao wanajifanya wanataka dunia iwe moja na yenye amani...
magaidi wanapandikiza wenyewe,silah wansgawa wenywe, afu watajifanya wanaondoa magaidi na silah dunisni kisha wanawaunganisha under one dollar under one religion....afu mnakusanywa kumpinga kristo anaye kusudiwa kuja kwa kumuita adui maana msha sema duniani ndo mbinguni yenu,..kwenye biblia wanaiita hermagedoni siku hiyo ndo mwenyezi mungu ataimaliza dunia...
 
ni kweli kabisa alisema hivo..sasa kama ipo kwetu hyo kingdom kunahaja gani yakuiita au kuitafuta tena
Kuna mambo mawili ni muhimu sana kuyaelewa.
Unconsciousness(Mind) na Consciousness(Soul)

Mind inajazwa na mafundisho ya hapa duniani tangu tukiwa watoto. Kadri mtoto anazidi kukua mind inapata vitu vingi kulingana na elimu anayoipata hapa duniani. Wakati huo kunakuwa na ugumu wa connection na Consciousness. Kwa sababu anapozaliwa anakuta tayari duniani kumewekwa taratibu za "Usipo kuwa na pesa huwezi kuishi", Unatakiwa umwabudu mungu mmoja ambaye hachunguziki. Kwa hiyo vitu vyote hivyo vinamfanya mtu huyo kuwa busy kuhakikisha Mind yake inajaa namna ya kuvipata hivyo vitu.

Bahati mbaya sana mind huwa inatumia milango 5 ya fahamu kuingiza vitu. Mtu anakuwa na thought nyingi sana za kidunia. Hata anapokuwa amelala Mind inakuwa inamkumbusha vitu hivyo. Na hatimaye anakuwa yupo mbalisana na hali halisi yake. Uhalisia wake unakuwa upo lakini hakuna utendaji wa kazi. Kwa hiyo lazima aanze kufanya mazoezi ya kuamsha uhalisia wake.

Kwa sasa hivi njia ambayo inatumika ni meditation. Kazi ya meditation ni kufunga milango ya Unconsciousness ili kuruhusu Consciousness iweze kufanya kazi. Nijambo ambalo linachukua mda wakati wa kuanza kwa sababu Unconsciousness inakuwa inatawala.

Ni vigumu kidogo kuelewa lakini ndio hivyo. Kadri mtu atakavyozidi kufanya meditation ndio uwezo wa consciousness unakuwa na hatimaye anajitambua kuwa yeye kumbe ni mungu. Kwamba mungu ni yeye mwenyewe.
 
Sasa huu ni utoto sasa au ubishi usio na sababu. Nimekonesha Kinetic energy = Mass X Velocity X Velocity
Wewe ukasema energy inaweza kupatikana bila mass. Mimi nikakuambia toa ushahidi. Sasa unaleta hadith.

Einstein yeye alitoa formula hii
E = MC²
Ikiwa M = Mass, C speed of light. Sasa kwanini ulete story. Kwanini kama hujui usikubali ukafundishwa?
Hapa tunaongelea uhalisia sio hadithi.

Ningependa tujadili kwa hoja na kwa proof sawa ndugu?
Kumbuka:
EDUCATION IS POWER

Hahaaa! Hapo kwenye nyekundu ndio kunaonesha tofauti ya wazi kati ya mimi na wewe ni nani amemwingilia mwenzake kwenye fani yake.

The leter M in that equation is not mass,but rather 'relativistic mass' .Hii ni physics mdogo wangu,kila neno lina maana,fani za watu hizi.
 
mihapo ndo nnaposhindwa kuamini..maana wanao haribu amani duniani na kuleta ubaguzi sasahivi...ndo haohao wanajifanya wanataka dunia iwe moja na yenye amani...
magaidi wanapandikiza wenyewe,silah wansgawa wenywe, afu watajifanya wanaondoa magaidi na silah dunisni kisha wanawaunganisha under one dollar under one religion....afu mnakusanywa kumpinga kristo anaye kusudiwa kuja kwa kumuita adui maana msha sema duniani ndo mbinguni yenu,..kwenye biblia wanaiita hermagedoni siku hiyo ndo mwenyezi mungu ataimaliza dunia...

Ndugu hukatazwi kuamini unachohisi kuwa ni sahihi. Lakini hapa tunajaribu kueleza uhalisia.
Je umewahi kufikiria hivi:
Biblia inasema mungu anasamehe dhambi, Halafu mungu huyo huyo ametuumba kwa mfano wake, Halafu mungu huyo huyo alimuumba shetani, halafu mungu huyo huyo akmtupashetani kwetu, halafu mungu huyo huyo hanamtoto wala hana mke, Halafu mungu huyo huyo alimtuma mwanae kuja kutokoa, Halafu mungu huyo huyo anawaokoa watu kwa neema, Halafu mungu huyo huyo anawajua waliowake.

What kind of this god?
Mungu ni yeye katika vyote yaani sisi ni useless anatuchezea tu kama midori.
Inakuwaje mungu hazai halafu awe na mtoto? inakuwaje mungu anasamehe dhambi aokoe kwa neema? na anawajua walio wake? (Hapa ni upuuzi inamaana hata ujitahidi namna gani kama mungu hakujui ni useless).

Kwa mantic hiyo mungu wa kuabudiwa na watu wote hayupo. mungu wa kuhukumu hayupo.

mtu ndio amemtengeneza huyo mungu sio mtu ametengenezwa na mungu. Kama hiyo ni man made kunahaja gani ya kumwabudu. yeye anatakiwa atuabudu sisi.

kwa ufupi sisi ndio mungu.
 
Kuna mambo mawili ni muhimu sana kuyaelewa.
Unconsciousness(Mind) na Consciousness(Soul)

Mind inajazwa na mafundisho ya hapa duniani tangu tukiwa watoto. Kadri mtoto anazidi kukua mind inapata vitu vingi kulingana na elimu anayoipata hapa duniani. Wakati huo kunakuwa na ugumu wa connection na Consciousness. Kwa sababu anapozaliwa anakuta tayari duniani kumewekwa taratibu za "Usipo kuwa na pesa huwezi kuishi", Unatakiwa umwabudu mungu mmoja ambaye hachunguziki. Kwa hiyo vitu vyote hivyo vinamfanya mtu huyo kuwa busy kuhakikisha Mind yake inajaa namna ya kuvipata hivyo vitu.

Bahati mbaya sana mind huwa inatumia milango 5 ya fahamu kuingiza vitu. Mtu anakuwa na thought nyingi sana za kidunia. Hata anapokuwa amelala Mind inakuwa inamkumbusha vitu hivyo. Na hatimaye anakuwa yupo mbalisana na hali halisi yake. Uhalisia wake unakuwa upo lakini hakuna utendaji wa kazi. Kwa hiyo lazima aanze kufanya mazoezi ya kuamsha uhalisia wake.

Kwa sasa hivi njia ambayo inatumika ni meditation. Kazi ya meditation ni kufunga milango ya Unconsciousness ili kuruhusu Consciousness iweze kufanya kazi. Nijambo ambalo linachukua mda wakati wa kuanza kwa sababu Unconsciousness inakuwa inatawala.

Ni vigumu kidogo kuelewa lakini ndio hivyo. Kadri mtu atakavyozidi kufanya meditation ndio uwezo wa consciousness unakuwa na hatimaye anajitambua kuwa yeye kumbe ni mungu. Kwamba mungu ni yeye mwenyewe.

uwezo wakufanya chochote tunajua tunao natumefundishwa, MUNGU tunajua hata wazazi wetu ni MUNGU wa hapa duniani.....lkn kwenye imani tunachota kumtambua MUNGU muumba wetu na muweza wayote anasema nini juu yetu ni hicho tu.

tunaweza kufanya mengi makubwa lkn sio yote...tunamtaka huyo anayeweza kufanya yote....

we uoni kama kujitafuta uwezo wako wakiumungu ni utumwa maana utaenda dunia nyingine ambayo inakulazimu ufanye mambo kimasharti tofauti na tunavyo ishi sasa....
 
Na hapa ndio tunapokuwa hatuelewani. Nadhani wewe unaongelea OWO inayojifanya kuwa NWO......

Ok,hebu tuone NWO unayoongelea wewe.

.....Msingi wa NWO unataka kuwafaidisha watu wote. Kuwa na kitu kimoja kwa ajili ya wote. kama kutumia pesa kutumia pesa ya aina moja kwa manufaa ya watu wote. Kwa sababu sisi wote ni watu na tunaishi kwenye sayari moja ni lazima tufanye kitu kwa pamoja kwa manufaa ya sis......

Aahaaa,ok,ok,kumbe kwenye NWO tutatumia pesa....sawasawa.

THE NWO inakamilika sasa. Tuwe taifa moja, Dunia moja, uchumi mmoja, Pesa moja.

Sawa mkuu nilishakuelewa tangu kule mwanzo kwamba tutatumia pesa kwenye NWO.

.......Unapenda au hupendi NWO lazima itokee. Akina Bush sasa hivi wanahaha na biashara zao ndio wanaotoa uvumi kuhu upinga kristo.

Aaaah mkuuuu umeshaanza kunichanganya,sasa kina Bush wanahaha vipi tena wakati pesa itaendelea kutumika?Si wataendelea kuuza?

.....NWO lengo lake ni kuweka dunia kama planet as the one.
Hebu fikiria unasafiri kwenda nchi yeyote bure bila kulipa, unakula bila kulipa unakaa kwenye nyumba bila kulipa. Central system inashughulikia kila kitu duniani as one.I like NWO

Mmmmh! au mimi sina ubongo?Tutafanya kila kitu bila kulipa?Sasa mkuu pesa ya nini?mbona unazidi kunichanganya?
 
Hahaaa! Hapo kwenye nyekundu ndio kunaonesha tofauti ya wazi kati ya mimi na wewe ni nani amemwingilia mwenzake kwenye fani yake.

The leter M in that equation is not mass,but rather 'relativistic mass' .Hii ni physics mdogo wangu,kila neno lina maana,fani za watu hizi.

Tatizo lako ndugu unachukua vitu tu na huelewi maana yake.
Unapopima Photon katika rest state tunaita Mass. Lakini ikiwa katika motion relativistic mass.
Hebu naomba nipe fromula ya centre of mass ndio utaelewa kama kweli unachoongea unajua au unachapa.

Centre Mass = ∑[SUB]i[/SUB] m[SUB]i[/SUB]r[SUB]i/[/SUB]∑[SUB]i[/SUB] m[SUB]ie
Ningependa tuanze kwa kutumia proofs sio kuonge tu
[/SUB]
 
Ok,hebu tuone NWO unayoongelea wewe.

Aahaaa,ok,ok,kumbe kwenye NWO tutatumia pesa....sawasawa.

Sawa mkuu nilishakuelewa tangu kule mwanzo kwamba tutatumia pesa kwenye NWO.

Aaaah mkuuuu umeshaanza kunichanganya,sasa kina Bush wanahaha vipi tena wakati pesa itaendelea kutumika?Si wataendelea kuuza?

Mmmmh! au mimi sina ubongo?Tutafanya kila kitu bila kulipa?Sasa mkuu pesa ya nini?mbona unazidi kunichanganya?
Ndugu nadhani bado hujaelewa kabisa concept. Hebu nakuomba ukaa upitie vizuri comment zangu. Kila moja uliyo quote hapo concept yake ni tofauti na unachojaribu kujiaminisha.

NWO ni automatic revolution ambapo mtu anajitambua kuwa yeye ni nani. Anaamusha ari yake ya kutumia consciousness na kujitambua kuwa yeye ni nani.

Atakapojitambua yeye ni nani anaifanya dunia kitu kimoja. Kunakuwa na upendo wa pamoja kwakuwa anajitambua. Anaacha mfumo wa kizamani OWO uliokuwa unamilikwa na wachache.

Hii ni automatic ukisoma Astrology utaonakabisa hiki kipindi cha new beginning kwa mwanadamu kwa sababu 21 dec 2012 ndio ilikuwa mwisho wa kipindi cha ujinga kwa mwanadamu kwamba kuanzia hapo mwanadamu ataanza kutumia consciousness yake kwa hali ya juu. mtu atajitambua na big revolution inatokea.

Natamani uelewe ninachojaribu kukueleza. Nitatumia evidance mbali mbali huhakikisha unaelewa.
 
Propaganda mbali mbali na uvumi wa watu wanaotumikia OWO kuwa eti mtu anaye tangaza NWO ni mpinga kristo. Huu ni uongo lazima tuwe makini na hawa watu.

Baada ya kusoma hii comment naweza sasa kusoma makala yako. Nilidhani unaongelea NWO as in Freemasonry perspective maana I never take anybody seriously anaeamini habari za Freemasons
 
Tatizo lako ndugu unachukua vitu tu na huelewi maana yake.
Unapopima Photon katika rest state tunaita Mass. Lakini ikiwa katika motion relativistic mass
.
Hebu naomba nipe fromula ya centre of mass ndio utaelewa kama kweli unachoongea unajua au unachapa.

Centre Mass = ∑[SUB]i[/SUB] m[SUB]i[/SUB]r[SUB]i/[/SUB]∑[SUB]i[/SUB] m[SUB]ie
Ningependa tuanze kwa kutumia proofs sio kuonge tu
[/SUB]

Kwa nini hauko focused?Angalia unataka kukimbilia kwenye formula nyingine wakati E = MC² hatujamaliza,hii ni ishara ya uoga na kushindwa.
Angalia hapo kwenye nyekundu ulivyochapa,halafu angalia formula uliyotoa
E = MC².Huoni kwamba formula hii inaonesha motion ya kitu?Halafu wewe mwenyewe unakubali kwamba kitu kikiwa kwenye motion tunazungumzia relativistic mass?Sasa huoni kwamba mimi nipo sahihi kukurekebisha?Kama huoni logic hapo basi utakuwa na matatizo makubwa sana.Yaani unajipinga mwenyewe kabla hujapingwa.Watu kama ninyi ni hatari sana mkipewa dhamana ya kutufindishia watoto wetu.
Sasa kati ya mimi na wewe nani haelewi?Kadri unavyoendelea kubishana na mimi ndivyo unavyozidi kujiona mweupe.
 
Na hapa ndio tunapokuwa hatuelewani. Nadhani wewe unaongelea OWO inayojifanya kuwa NWO. Kipindi tulichonacho sasa ni cha revolution katika consciousness. Ni kipindi ambacho mtu anajitambua yeye ni nani. Baada ya kujielewa yeye ni nani ndipo Order mpya itaanza kufanya kazi. Sasa hivi tuko kwenye transition period. NWO sio ya kwenye mabago kwenye matangazo. NWO ni automatic changes ambazo zinatokea baada ya mtu kujitambua.

Baada ya kujitambua kuwa wewe ni immortal na kujielewa kuwa wewe sio unconsciousness basi ulimwengu mzima tutaungana na kuwa kitu kimoja. Lakini kabla ya hapo Elimu iliyoingizwa kwenye Mind(unconsciousness) iondoke mtu ajitambue na ajue yeye sio unconsciousness.

Nadhani sasa unaipata kidogo. Watu wameingiziwa elimu mbovu kwenye akili zao (Mind) na kupumbazika na kuona kuwa wanatakiwa kumwabudu mungu mmoja lakini kiuharisia hayupo wao wenye consciousness ni mungu. Baada ya kutambua hivyo tutakuwa na jamii bora ya kuishi pamoja.

Kwa ufupi we are Immortals

kwa hiyo na ww n mungu?
umeumba nn sasa mpaka sasa? na kwa staili gani kama ya yule mungu tunaemjua kwa kutamka tu au?

toa majibu aiseee usiendelee kukwepakwepa kama kwa hao waliotangulia
 
Ndugu nadhani bado hujaelewa kabisa concept.Natamani uelewe ninachojaribu kukueleza. Nitatumia evidance mbali mbali huhakikisha unaelewa.

Sasa kile nilicho-quote kwamba kwenye NWO tutatumia pesa lakini watu wataishi bila kulipia chochote aliandika nani?Kama uliandika wewe halafu mimi sijakuelewa concept iliyopo kichwani kwako kwa nini hunijibu swali langu ili mimi na wengine wapate kukuelewa kiurahisi?Usitufanye sisi watoto wadogo,kuna watu wana concept kubwa kuliko wewe humu.
Haya Usijizungushezungushe;
Elezea kwa nini kwenye NWO tutatumia pesa lakini watu wataishi bila kulipia chochote.Halafu nakusubiri kule kwenye upande wa physics nikufundishe hadi uelewe.
 
Kwa nini hauko focused?Angalia unataka kukimbilia kwenye formula nyingine wakati E = MC² hatujamaliza,hii ni ishara ya uoga na kushindwa.
Angalia hapo kwenye nyekundu ulivyochapa,halafu angalia formula uliyotoa
E = MC².Huoni kwamba formula hii inaonesha motion ya kitu?Halafu wewe mwenyewe unakubali kwamba kitu kikiwa kwenye motion tunazungumzia relativistic mass?Sasa huoni kwamba mimi nipo sahihi kukurekebisha?Kama huoni logic hapo basi utakuwa na matatizo makubwa sana.Yaani unajipinga mwenyewe kabla hujapingwa.Watu kama ninyi ni hatari sana mkipewa dhamana ya kutufindishia watoto wetu.
Sasa kati ya mimi na wewe nani haelewi?Kadri unavyoendelea kubishana na mimi ndivyo unavyozidi kujiona mweupe.
Hebu turudi kwenye swala la msingi nililokuwa naongelea.
Maana hapa tunataka kwenda nje ya mada. Nilisema ili upate energy lazima mass iwepo.
Kwa mujibu wa newton aliongelea Knetic energy na Potential energy. Aliongelea eneergy at mass rest.
Einstein yeye akaja aleta vesion mpya kwa concept ile ile ya newton kwamba kuna vitu vingine vipo kwenye motion.

Law of energy conservation nadhani unaijua.
Vile vile kuna Law of mass conservation (states that for any system closed to all transfers of matter and energy (both of which have mass), the mass of the system must remain constant over time, as system mass cannot change quantity if it is not added or removed. Hence, the quantity of mass is "conserved" over time)

Nakuomba hapa tuelezane tu kwa fact sio kwa maelezo.
 
Sasa kile nilicho-quote kwamba kwenye NWO tutatumia pesa lakini watu wataishi bila kulipia chochote aliandika nani?Kama uliandika wewe halafu mimi sijakuelewa concept iliyopo kichwani kwako kwa nini hunijibu swali langu ili mimi na wengine wapate kukuelewa kiurahisi?Usitufanye sisi watoto wadogo,kuna watu wana concept kubwa kuliko wewe humu.
Haya Usijizungushezungushe;
Elezea kwa nini kwenye NWO tutatumia pesa lakini watu wataishi bila kulipia chochote.Halafu nakusubiri kule kwenye upande wa physics nikufundishe hadi uelewe.

Naomba usome comment nzima uliyo quote.
Halafu ningependa ufuatilie hizo reference ninazokupa. Au ningeomba utulie iliwenzako niwape elimu wajue. Maana unapokuwa una uquote kitu ambacho huenda unakijua kwa namna tofauti ni vizuri ukaeleza. Mimi najitahidi sana kutoa maelezo mengi.
Nakuomba uwe tu free kwenye akili yako utaelewa tu. Maana hapa tunafanya kitu kwa evidence. Au ningekuomba kama hujui swali la kuuliza ukae tu.
Please soma na uelewe msingi wa thread hii. Na kama tunataka kuongelea physics( ni pana mno na inamatawi mengi mno).
Nina shauri anzisha thread kuhusu Energy halafu tutaelezana hapo.
 
asee nimekufatilia vizur sana mtu ww uliyeweka hii thread na hayo mambo nimeskia kwa wengi ila ww umekuja kwa kuzunguka sana...ninafikiri sanaa haya ni mawazo ya waashi huru so upo katika kutangaza. maoni yangu kwa member wengine vitabu vya dini vinaonya kuwa huu ni wakati wa mwisho kwa hiyo shika sana kile ulichonacho...naamini imani uliyonayo ili usipotoshwe na mafundisho ya uwongo.....mimi ntabaki na macho yangu mawili hayo manne yatafuteni tu jamani mtanisimulia mnayo yaona

Siku za mwisho maarifa yataongezeka na wengi watajitenga na imani,aliye mchafu na azidi kuwa mchafu na mtakatifu azidi kujitakasa hay mambo yapo yanakuja hila mshikene YESU.
 
Hebu turudi kwenye swala la msingi nililokuwa naongelea.
Maana hapa tunataka kwenda nje ya mada. Nilisema ili upate energy lazima mass iwepo.
Kwa mujibu wa newton aliongelea Knetic energy na Potential energy. Aliongelea eneergy at mass rest.
Einstein yeye akaja aleta vesion mpya kwa concept ile ile ya newton kwamba kuna vitu vingine vipo kwenye motion.

Law of energy conservation nadhani unaijua.
Vile vile kuna Law of mass conservation (states that for any system closed to all transfers of matter and energy (both of which have mass), the mass of the system must remain constant over time, as system mass cannot change quantity if it is not added or removed. Hence, the quantity of mass is "conserved" over time)

Nakuomba hapa tuelezane tu kwa fact sio kwa maelezo.

It sounds like you have ever been my student.Wewe ndio umeshaenda tayari nje ya mada.Tulikuwa tunajadili kuhusu formula E = MC² where M=Mass according to you,na mimi nikakwambia M is not mass but rather 'relativistic mass'.Hujajibu hilo na ulipojaribu kujibu ukajikuta unanisaidia kuongezea uzito kwenye jibu nililotoa mimi.Nilitegemea ungesema ulijichanganya hivyo utarekebisha,kumbe bado unakomaa.
Halafu unatoka nje ya mada kabisa huku ukiniambia mimi ndiye natoka nje ya mada.Mbona wenzako niliowahi kuwafundisha kipindi kile hawako kama wewe?
 
Naomba usome comment nzima uliyo quote.
Halafu ningependa ufuatilie hizo reference ninazokupa. Au ningeomba utulie iliwenzako niwape elimu wajue. Maana unapokuwa una uquote kitu ambacho huenda unakijua kwa namna tofauti ni vizuri ukaeleza. Mimi najitahidi sana kutoa maelezo mengi.
Nakuomba uwe tu free kwenye akili yako utaelewa tu. Maana hapa tunafanya kitu kwa evidence. Au ningekuomba kama hujui swali la kuuliza ukae tu.
Please soma na uelewe msingi wa thread hii. Na kama tunataka kuongelea physics( ni pana mno na inamatawi mengi mno).
Nina shauri anzisha thread kuhusu Energy halafu tutaelezana hapo.

Siwezi kukaa kimya nikiangalia jinsi unavyodanganya watu wenye akili zao.Hata mimi wakati nakufundisha wewe sikukudanganya hivyo,nilikupa elimu ya ukweli ndio maana unajiamini sasa.
Usikimbie swali;
Pesa ya nini kwenye mfumo wa NWO ambao watu wanaishi bila kulipia chochote?
 
Back
Top Bottom