Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,951
- Thread starter
- #201
THE NEW WORLD ORDER
Wanasayasi wamejitahidi sana na kugundua vitu vingi sana duniani. Lakini walikuwa wakijijita sana kwenye physical environment. 1% ya vitu ndio vipo katika physical yaani vinaweza vikapatika kwa kutumia mind. Lakini 99% vinapatikana pale tu mtu anapoanza kutumia consciousness yake. Nisije nikaenda mbali sana.Pale mtu atakapojitambua yeye ni nani ndipo ukombozi wake uakapofika. NWO ni total liberation of human being, mtu anakuwa na uhuru kamili kutoka kwa wakandamizaji mabepari, watu wa dini waliounda msingi tena mgumu wa OWO. Ubepari huo ulitokana na automatic season ya evolution ya human consciousness. Wengine wanadhani labda OWO imeanza miaka ya karibuni no no no OWO inazaidi ya miaka 3000 imaanza mda mrefu sana kabra ya Ibrahimu baba wa imani ya (Kiislam, Kiyahudi na Kikristo). Kipindi hicho kilitokea baada ya evolution kutoka kwenye very stupid age ambapo watu waliishi kama wanyama. Ndipo ikatokea OWO ambapo kipindi kile ilikuwa New. Watu wakapata evolution kwenye consciousness na kujikuta wakiwa na uwezo wa kuabudu. Nafsi zao zikawa zinatafu kujua source yake.
Kwa sababu consciousness ilikuwa iko chini uwezo wa kujua source ilikuwa ngumu sana. Na hatimaye kuanza kuumba kitu fulani kwenye fikra zao ili kuonesha tu wametokana na hicho. Ndio stori nyingi za uumbaji na vitu vinavyofanana na hivyo vikaanza kutokea. Mtu akajitengenezea vitu vya kuabudu. Lengo lake ni kwamba anatafuta source ya nafsi yake. Lakini kwa sababu evolution ya kipindi kile ilikuwa ya kiwango cha chini cha consciousness.
Kipindi hiki ni new beginning ambapo watu wanatumia kiwango cha juu consciousness zao. Ni kipindi cha Liberation mtu anajitambua yeye ni nani. Anakuwa na uwezo wa kujua asili yake ni nini. Ni kipindi ambacho mtu anajitambua. Ndio NWO inaanzia hapo. Watu wote duniani wanaungana na kuwa kitu kimoja. Hakuna unyanyasaji wote tunakuwa kitu kimoja.
Tunajua asili yetu ni cosmic Energy, tunajua mungu ni nini, tunajielewa. Sasa hivi tupo kwenye transition period. Bado watu wengi hawajafahamu. Ni lazima wa elewe.
Is the time of Liberation for all human kind in our planet. Be illuminated upate mwanga