Hapa duniani kuna Imani nyingi sana. Kila mmoja anavutia kwake kwamba imani yake iko sahihi. Nahakuna hata mmoja anayekuja na maelezo sahihi kuhusu ukweli wa imani yake.
Leo rafiki zangu ninapenda kuongelea sehemu fulani kuhusu dunia na maisha yetu sisi wanadamu kuoitia tafiti mbali mbali zilizo fanywa. Naomba unaposoma bandiko hili usiegemee kwenye Imani yoyote weka akilizako huru.
Kwanza kabisa ninaanza kwa kueleza kuwa Imani zote hapa duniani zimeanzishwa na wanadamu kwa malengo tofauti tofauti. Na kunaimani zingine zimewekwa kwa malengo ya watu fulani wanaojua siri fulani ili kuwapumbaza watu wasiweze kujua siri hiyo.
"Aaaa! ni kitu gani hapa Annael unataka kuongea?" Kuna watu wenyenguvu sana duniani waliweka OWO (Old World Order) Kwa ajili ya kuwanufaisha wao na familia zao na ukoo wao tu. Kwa hiyo hakuna hata mmoja anayeruhusiwa kujua siri yoyote kuhusu dunia na maisha ya wanadamu. Zikawekwa dini hususani dini za (Kikristo, Kiislam na Kiyahudi) Lengo lake ni kuwafanya watu wasihoji chochote. Na kuwa wanakubaliana na kila kitu kilicho andikwa kwenye vitabu ambavyo vinatumika kwenye imani zao. Ni siri kubwa imefumbwa na ni mtu tu mwenye kutafakari anaweza akajaribu kuhoji na kujihoji mwenyewe.
Hebu tujaribu kupiti a hapa kidogo Illumination: the Secret Religion - God
Kuna siri nzito sana ambayo siyo mda mrefu itakuwa wazi maana hakuna tena kuficha. Kila mtu anatakiwa kuwa huru na kufanya kilicho chema aonacho. Hizi vita, Njaa na ugomvi wa kila namna ni kutetea mslahi ya wao.
Hebu jaribu kufikilia kwa nini nchi ya Marekani watu wenye nguvu wametoka kwenye jamii moja? skull and bones
Hebu pitia hapa kidogo: List of Skull and Bones members - Wikipedia, the free encyclopedia
Wana falsafa, Sayansi na wanaHisabati ndio waliokuwa wanajua siri hii. Mtu akiwa anajua Falsafa, hisbati, Sayansi na Mystery huyo mtu atakuwa yuko juu sana na atajua mengi mmno kuhusu ulimwengu na watu.
"Annael mbona unanichanganya ni nini tena hapa?" Aaah hebu tulia kidogo unmfahamu jamaa mmoja anaitwa Pythagoras? hebu ngoja ni kukumbushe alifanya proof ya theory fulani ya kihesabu kuhusu triangle ambayo ni A² + B² = C²
Unakumbuka sasa? Huyu jamaa alitoa siri nyingi sana zaidi ya hiyo ni mtu wa kwanza kujiita kuwa yeye ni mwanafalsafa alikuwa anafanya mambo ya Mystery, Hisabati, Sayansi na Falsafa. Huyu jamaa alifanya vitu vingi sana ambayo jamii fulani fulani zinatumia na kuelimishana wao kwa wao katika level tofauti tofauti.
Pythagoras aligawa elimu hiyo katika degree 10 na kuweka ndani ya Pembe tatu
View attachment 240072
Formula hiyo jamii nyingi sana zinaitumia. Hebu ngoja kidogo. "Umecheki vizuri hilo umbo? Umeona nini hapo.
Aaah ni kama pilamidi hivi ambalo nyuma ya dolla ya malekani lipo!!! haa! sasa ni nini maana yake sasa?
Hebu check dolla ilivyo hapa:
View attachment 240078
Hebu tulia kidogo kwanini sasa hapo kenye pilamidi kuna kama kitu kina ng'aa? oooh jamani si ni mbwembwe tu za kupamba dolla?
Hapana siyo mbwembwe ni uhalisia wanamanisha wanachofanya hapo siyo kama pesa yetu tunaweka fisi mara tembo mara nini. Halafu kwenye dola kunamanaeno yanasema:novus ordo seclorum maana yake ni "New order of Ages"
Sasa ni wakati wa kuamka kutoka usingizini na kuachana na OWO kuabudu watu huku wamejificha kwenye dini na kutupumbaza sisi.
Nilazima tuwe na NWO ambayo ni mpya ya kutufanya sisi kuwa huru na siyo kutumikia watu wachache.
Maelezo mengine nitaendelea kutoa.
Actually,unapotaka mtu awe na wazo huru,include yourself.Stori yako is still a conspiracy.Na evidence unazotoa bado haziwezi ku-challenge Imani za kidini ambazo,zilianza hata kabla ya Pythagoras na hao wanafalsa wengine.
Imani za kidini zipo kila kona ya dunia,sio tu ukistro, uislamu na uyaudi...kuna Buddha,Hinduism..hata kabla ya hizo kulikua na ancient religions...including African, and one thing connect all.. a believe of a supreme being (God).All these people weren't stupid...think about that.
We have all heard about pyramids,na mpaka leo hakuna mwenye fact sahihi zinazoweza kuelezea namna maisha yalivyo kipindi hicho,au kwa nini Hasa yalijengwa..fact ya kusema kwamba kuna kikundi cha watu kinahusika is just another conspiracy kwa sababu hata mimi naweza kusema yangu.
Ila kitu kimoja kinabaki kuwa kweli,pyramid of Khufu,mpaka kufikia karne ya 19,ilikua ni kitu pekee ambacho binadamu aliweza kukijenga kwa ukubwa ule na urefu ule.Kila mtu alishangazwa na ujenzi wake,mpaka leo, ni ajabu pekee Kati ya 7 makubwa zaidi (ya kale) ambayo lipo mpaka Leo!
Hii ni sababu tosha ya kufanya lionekane kama symbol of strength or achievement or anyhow.Hii si ajabu,Hasa ukizingatia almost robo Tatu ya vitu vilivyofukuliwa Misri havipo Misri,vipo marekani na nchi nyingine za Ulaya.
Sio Misri tu,sehemu nyingi ambazo zilikua na mabaki ya historia au kitu fulani yamekua yakiendeshwa na wazungu,na huwa wanachukua hivi vitu,si ajabu vingine vikawepo kwenye dola.
Sitashangaa nikisikia kesho mtu akatoa theory kuhusu uwepo wa Twiga kwenye pesa za Tanzania,after all Twiga hapatikani Tanzania tu.
Unazungumzia a group of people gone wrong,ndani ya mfumo wa Dini fulani,lakini hiyo haina maana kila aliye ndani ya huo mfumo anaenda kwenye njia hiyo.
Just see a bigger picture.