Ukweli kuhusu wewe na dunia

Ukweli kuhusu wewe na dunia

Nataka kujua je wewe mpaka sasa umeumba vitu gani?
Kufanya Meditation sio kazi ngumu ni wewe mwenyewe kuamua. Nakuomba fanya meditation kwa muda wa miezi miwili hadi mitatu. Nakuhakikishia utakuja kuleta jibu tofauti hapa.

(Kwa wale wakristo. Yesu alisema ufalme wa Mungu upo ndani yenu Luka 17:21)
 
kaka tupe basi hizo proof za kihisabati na kisayansi,au toka socrates atoe hyo kauli hajatokea mtu wa kutoa hizo proof?
Tambua kuwa hayo maswali aliyo kuuliza huyo mdau ndo yanafanya watu tuamaini juu ya imani za kidini.
Kwanza kabisa ndugu sijaongelea Socrates. Mimi nimeongelea Pythagoras The Father of Pure Mathematics.
Ninaweza kukupa maelezo madogo madogo tu. Ya msingi.
Sijui kama umewahi kusoma physics. Ngoja nieleze.
Nadhani unaelewa electromagnetic Spectrum.

Gamma radiation
X-ray radiation
Ultraviolet radiation
Visible radiation
Infrared radiation
Terahertz radiation
Microwave radiation
Radio waves

Hivi vyote vimetoka na uafiti wa kisayansi na kihisabati ndio maana sasa tunaweza kuongea na mtu akiwa mbali kwa kutumia simu.

Mimi nitajikita kwenye Visible Radiation. Je ni kweli mwana upo na rangi 7? au ni kutokana na uwezo wetu wa kawaida wa macho kutafsiri frequency flani flani? hii ni kweli kuwa mwanga uko na zaidi ya rangi kunavitu zaidi ya hapo.

Hebu ngoja tujikumbushe kitu kimoja kwenye physics.
Kwanza kabisa mwanga upo na energy na formula ya kupata energy ni:-
1. Potential energy = MGH (Mass X Gravitational force X Height)
2. Kinetic Energy = MV² (Mass X Velocity X Velocity)

Ok hebu tuongee hapa basi kuhusu mwanga kama energy. Utagundua mwana upo na Mass kwa hiyo unaweza ukapimwa kwa kutumia beam balance.

Je hapa umejifunza nini hapa kidogo.

Naomba nisikuchoshe sana. Hizo formula ndio zinazotufanya mpaka sasa tunaweza kupata umeme, mawasiliano kwenye simu nk.
Hebu ngoja je tukitaka kwenda zaidi kusema je huo mwanga haujabeba uhai kweli au kuna some electromaginetic weaves ambazo zimebeba uhai?

Ngoja nisikuchoshe sana naomba niishie hapa kwa introduction. Kama unaswali waweza uliza.

Kumbuka nimekupa introduction tu ili kufanya akili ianze kuwaza zaidi ya kutumia ubongo wa upande wa kulia iannze kutumia upande wa kushoto (Logic, Mathematics, Physics, Metaphysics nk).
 
MATHEMATICS
Kwanza kabisa ningependa kueleza maana ya neno mathematics.
Neno mathematics limetokana na neno la kigriki Mathema likiwa na maana ya Knowledge, Study au Learning.
Mathematics is knowledge kwa hiyo mtu akikataa mathematics atakuwa amekataa knowledge (Maarifa)

Mathematics ni chanzo cha sayansi zote (Father of all science is mathematics). Kama sayansi yoyote haina Mathematical proof hiyo sayansi ni kama takataka. Ni kama vitabu vya hadithi ambavyo havina kitu chochote zaidi ya kujaza watu hisia na kuwatisha.

Pythagoras as the father of mathematics hakuwafundisha watu wote vitu vyote. Wengine aliwafundisha kama Guests lakini wengine aliwafundisha Kama wanafunzi. Wale aliowafundisha kama wanafunzi ilikuwa ni secret society ambao walifundishwa kwa siri sana. Na kulikuwa na kanuni kubwa moja kwamba kama kitu huna uhakika nacho ni bora kukaa kimya.

sasa basi Mathematics haiko kwenye kundi lolote (sayansi wala Art) inajitegemea yenyewe kama yenyewe. Mtoto akianza kujifunza Mathematics tangu akiwa mtoto mdogo atapata Maarifa.

Kunasehemu kwa wale wakristo inasema "Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa" Maana yake hawa watu hawajui mathematics ndio maana wanaangamizwa. Kwakuwa watu wamekuwa wavivu katika akili zao wamepuuzia mathematics na kujikuta wanakuwa watumwa kwenye fikra zao.

0,1,2,3,4,5,6,7,8,9 basi. Hizi namba zinafanya maajabu makubwa sana. Zinaweza zikakuonesha chanzo cha uhai wako. Unajua sometimes inakuwa vigumu kueleza vitu vingi vya hali ya juu kwa wakati mmoja. Ni bora kwanza utoe idea halafu ndio unaanza kueleza step kwa step. Kwenye Mathematics utaanza kufundishwa Hesabu baadae utafundishwa Hisabati baadae Pure Hisabati baadae Complex Hisabati na kuendelea.

Ngonja sasa nitaanza kutoa aina tofauti tofauti ya Mathematics na mifano mbali mbali.
 
............Ok hebu tuongee hapa basi kuhusu mwanga kama energy. Utagundua mwana upo na Mass kwa hiyo unaweza ukapimwa kwa kutumia beam balance..............

pesa ya nini kwenye mfumo wa NWO ambao watu wanaishi bila kulipia chochote?
 
Nikwambie kitu. Hakika umeshindwa kuelewa. Na huenda umeelewa lakini unataka kujipoteza mwenyewe.
Nakuomba ukapitie vizuri hiyo comment yangu niliyoiweka pale.

Zaidi ya yote ninataka kukuambia kuwa jaribu kuwa unasoma kiundani kabisa nasio kucopare concept mbili tofauti na unataka ziwe sawa.
EDUCATION IS POWER
 
If u can't convice them confuse them. Akulizwa maswali anapiga chenga, utasikia hujui hesabu, una akili ndogo, sio great thinker n.k wale jamaa wako smart hawawezi kumtuma mtu asiyeweza kuzungumza, kwa sababu sio msikilizaji, ukiwa huwezi kuzungumza then huwezi kushawishi.
 
Kufanya Meditation sio kazi ngumu ni wewe mwenyewe kuamua. Nakuomba fanya meditation kwa muda wa miezi miwili hadi mitatu. Nakuhakikishia utakuja kuleta jibu tofauti hapa.

(Kwa wale wakristo. Yesu alisema ufalme wa Mungu upo ndani yenu Luka 17:21)

Hujajibu swali langu lolote .Huwa mnajifanya mna akili mingi but naona umekariri sana majibu ya kutoa kuliko kujibu kiufasaha.
By the way jaribu kula nyama kidogo its good gor ur brains.
 
hahaha, genious huyo,utaambiwa hujielewi,kilaza, hujui hesabu, sasa sijui yeye ndio mtaalamu au ndio kukariri majibu. Genious hajui kama ile inaitwa Marekani anasema malekani, piramidi anasema pilamidi. Kwa kuwa ameshindwa kushawishi anataka kuwachanganya watu
 
Itatuchukua mda sana kama watu bado hawajaelewa. Inabidi watu wengine kuwapeleka kwa nguvu. Kwa sababu kipindi hiki mtu anajitambua yeye ni nani.

We are immortals, our soul is immortals.
Baada ya kujielewa utaelewa kifo maana yake ni nini.
Kunawatu hapa wanataka kupindisha mjadala wamejazwa na mafundisho ya kidini hawataki watu tuwaeleze ukweli. Wanataka kuwapotosha watu.

Kwa watu ambao wamesoma Physics. Mtakumbuka Quantum Theory ilivyo.
Ningependa kutoa Idea hapa. Our consciousness ndio source yetu sote imetokana na cosmic energy.
Cosmic Ray huwa zinatoka na mlipuko wa supernova within Galaxy. Tunaweza sema Supernova ni mlipuko wa Stella.
Kutokana na Solar System yetu, mlipuko huo hufanyika nje yake. Cosmic Ray zinafika hapa duniani kwa kupitia sehemu tofauti tofauti.
Ngoja nitaendela kuleta elimu hapa. Japo kuwa kunawatu hawataki mabadiliko haya. Mabadiliko haya ni lazima mtu anajitambua sasa yeye ni nani.

Hakutakuwa na vita watu wataelewa wenyewe ni nani na tutakuwa kitu kimoja tutashikana mikono pamoja.
Kwa watu ambao akili zao zimeganda kwenye dini hawataki kufungua consciousness zao hawataelewa. Ni lazima wafanye hatua. Watu waliojazwa imani za ajabu ajabu lazima wabadilike.

Ni mda wa NWO sasa. Acheni kusikiliza propaganda (We are immortals)
 
Mkuu hii elimu yenu inaamini maisha baada ya kifo? Ukinipa jibu nakuunga mkono
 
Ndugu nimekuambia We are Immortals. Kwa nini unauliza swali hilo hilo na umequote jambo nililoongelea?
Immortal ni kuishi milele hakuna kufa. Our Consciousness(Soul) hazifi zipo milele.
EDUCATION IS POWER
 
Itatuchukua mda sana kama watu bado hawajaelewa. Inabidi watu wengine kuwapeleka kwa nguvu. Kwa sababu kipindi hiki mtu anajitambua yeye ni nani.

We are immortals, our soul is immortals.
Baada ya kujielewa utaelewa kifo maana yake ni nini.
Kunawatu hapa wanataka kupindisha mjadala wamejazwa na mafundisho ya kidini hawataki watu tuwaeleze ukweli. Wanataka kuwapotosha watu.

Kwa watu ambao wamesoma Physics. Mtakumbuka Quantum Theory ilivyo.
Ningependa kutoa Idea hapa. Our consciousness ndio source yetu sote imetokana na cosmic energy.
Cosmic Ray huwa zinatoka na mlipuko wa supernova within Galaxy. Tunaweza sema Supernova ni mlipuko wa Stella.
Kutokana na Solar System yetu, mlipuko huo hufanyika nje yake. Cosmic Ray zinafika hapa duniani kwa kupitia sehemu tofauti tofauti.
Ngoja nitaendela kuleta elimu hapa. Japo kuwa kunawatu hawataki mabadiliko haya. Mabadiliko haya ni lazima mtu anajitambua sasa yeye ni nani.

Hakutakuwa na vita watu wataelewa wenyewe ni nani na tutakuwa kitu kimoja tutashikana mikono pamoja.
Kwa watu ambao akili zao zimeganda kwenye dini hawataki kufungua consciousness zao hawataelewa. Ni lazima wafanye hatua. Watu waliojazwa imani za ajabu ajabu lazima wabadilike.

Ni mda wa NWO sasa. Acheni kusikiliza propaganda (We are immortals)

Hushangai kwanini hueleweki na wanaokuelewa ni wale wachache ambao wana ufahamu ni hii ilimu yako ya kibabe! Hueleweki ndio maana hatuelewi inshort huwezi kufundisha.U rather be the commander in the army,yani wewe unaweza ukawa unadhani kwa kuchanganya maneno magumu ya kiingereza na hesabu, phisikia na falsasa ndo kuwa na akili.
 
Hushangai kwanini hueleweki na wanaokuelewa ni wale wachache ambao wana ufahamu ni hii ilimu yako ya kibabe! Hueleweki ndio maana hatuelewi inshort huwezi kufumdisha.U rather br the commander in the army,
OK ndugu naomba basi tuende taratibu.
1. Mtu yupo Physical na Aetheric
PHYSICAL
Ni huu mwili ambao tunakula na kushiba(Umetengenenzwa na organic chemical). Huu mwili huwa unamwanzo wake na baadae huchoka ndio tunaita mzee. Huo mwili baadae hufa. Huliwa na micro organism na kusabaa na kurudi tu katika chemical particles. Huu mwili ni kama box tu. Au ninaweza nikasema ni kama computer hardware. Hardware haiwezi ikafanya chochote mpaka kuwe na instruction (Hebu naomba uvute picha kama hiyo)

AETHERIC
Ndio uhalisia wetu ndio sisi(soul). Ndio kitu kinachofanya mwili uweze kutembea, kufanya matukio mbali mbali katika mwili. Kwa upande mwingine unaweza kusema is our Reality (Hivi unavyoviona is not real who we are). Material Physics haiwezi ikajibu maswala ya Soul. Bahati mbaya dini zimepotosha na kuwaminisha watu kuwa kuna mungu lakini katika uhalisia kuwa our consciousness ndio Mungu.

Nilikuwa najaribu kuelezea kuwa jinsi gani sasa ya kujitambua maana tangu tuzaliwe tumekuwa katika mazingira ya mwili ambayo is not real is just illusions. Na nilikuwa nikieleza jinsi gani watu wachache walivyofanya na kutuaminisha vitu vya ajabu ilikwamba waweze kututawala kirahisi. Hebu jaribu kufikiria kuhusu pesa. Hivi kweli pesa ndio nini sasa. Ni karatasi tu iliyochora michoro au mawe yaliyo pondwa pondwa. Wamehakikisha wanajaza elimu watu kuabudu ambao ni ujinga. Wanaabudu wasichokijua, wanaabudu mungu katili, wanaabudu mungu anayewajua waliowake.

Hakika huu ni upuuzi tena upuuzi mkubwa sana. Kwa mujibu wa Astrology hiki ni kipindi cha evolution in our consciousness. Uwezo wake unapanda kwa asilimia kubwa sasa. Watu wanaendakujitambua wao ni nani na kupinga vitu vya unyanyasaji na baadae kuungana na kuwakitu kimoja.

Nikajaribu kuongelea kuwa sisi ni immortal hatufi. Kwa kifupi we are gods. Hukumbuki hata katika vitabu vya dini imeeleza kuwa sisi ni mungu? Tatizo watu hawataki kubadilika wanang'ang'ania OWO ambayo kusema kweli imeshindwa kuunganisha watu.

Ninakuomba jiunge kwenye movement yetu ya kuelimisha watu waweze kujitambua. NWO ndio kila kitu kwetu. Ni muda wa kujitambua wewe ni nani.

Ahsante
by
Annael
 
Hushangai kwanini hueleweki na wanaokuelewa ni wale wachache ambao wana ufahamu ni hii ilimu yako ya kibabe! Hueleweki ndio maana hatuelewi inshort huwezi kufundisha.U rather be the commander in the army,yani wewe unaweza ukawa unadhani kwa kuchanganya maneno magumu ya kiingereza na hesabu, phisikia na falsasa ndo kuwa na akili.

Infact,nimelazimisha kumuuliza swali hilohilo ili niweze kutambua uwezo wake wa kufikiri ili nisije kupoteza muda wa kujadiliana naye.Kujijaza vitu vingi ambavyo huvielewi bado ni ujinga tu.Anaona wengine hatuzungumzii hesabu na fizikia basi sisi hatujui,kumbe tumekaa kimya tunamsoma anavyojichanganya.Ame shift kutoka NWO ambayo bado hatujamaliza kuidadavua amerukia kwengine ambapo pia hapawezi.Msiogope vitu anavyovishusha hapa,mimi nitawasaidia pale anapodanganya kwa kuwa nina uhakika uelewa wangu wa masomo anayoyataja ni mkubwa sana kuliko yeye.

Kama kweli yeye ni mwana fizikia halisi hawezi kusema moja kwa moja kwamba mwanga una mass.It is rediculous.

Basi akiona nilichoandika hapo kwenye nyekundu ataanza kwenda kwenye mitandao yake kubeba sumu nyingine ili aje kumwaga hapa wakati mimi hivi vitu vipo kichwani siku nyingi.Sina uhakika kama atakuwa amesoma somo la Quantum Physics.Ameingilia fani za watu huyu.
 
Ndugu mimi hapa ninatoa fact wewe unatoa hadith. Halafu kumbuka ninachoongelea ni kile kile tu. Ninaongelea NWO
Lazima uelewe msingi kwanza ndio uendelee.
Mimi nimeongelea kuhusu Energy (Kinetic Energy = Mass X Velocity X Velocity)
Ili kuweze kuwa na energy lazima kuwe na Mass. Nilikuwa natoa Idea kuwa mwanga upo na energy.
Hebu jaribu kuisoma vizuri comment yangu utaelewa kuwa upo nje kidogo.
 
OK ndugu naomba basi tuende taratibu.
1. Mtu yupo Physical na Aetheric
PHYSICAL
Ni huu mwili ambao tunakula na kushiba(Umetengenenzwa na organic chemical). Huu mwili huwa unamwanzo wake na baadae huchoka ndio tunaita mzee. Huo mwili baadae hufa. Huliwa na micro organism na kusabaa na kurudi tu katika chemical particles. Huu mwili ni kama box tu. Au ninaweza nikasema ni kama computer hardware. Hardware haiwezi ikafanya chochote mpaka kuwe na instruction (Hebu naomba uvute picha kama hiyo)

AETHERIC
Ndio uhalisia wetu ndio sisi(soul). Ndio kitu kinachofanya mwili uweze kutembea, kufanya matukio mbali mbali katika mwili. Kwa upande mwingine unaweza kusema is our Reality (Hivi unavyoviona is not real who we are). Material Physics haiwezi ikajibu maswala ya Soul. Bahati mbaya dini zimepotosha na kuwaminisha watu kuwa kuna mungu lakini katika uhalisia kuwa our consciousness ndio Mungu.

Nilikuwa najaribu kuelezea kuwa jinsi gani sasa ya kujitambua maana tangu tuzaliwe tumekuwa katika mazingira ya mwili ambayo is not real is just illusions. Na nilikuwa nikieleza jinsi gani watu wachache walivyofanya na kutuaminisha vitu vya ajabu ilikwamba waweze kututawala kirahisi. Hebu jaribu kufikiria kuhusu pesa. Hivi kweli pesa ndio nini sasa. Ni karatasi tu iliyochora michoro au mawe yaliyo pondwa pondwa. Wamehakikisha wanajaza elimu watu kuabudu ambao ni ujinga. Wanaabudu wasichokijua, wanaabudu mungu katili, wanaabudu mungu anayewajua waliowake.

Hakika huu ni upuuzi tena upuuzi mkubwa sana. Kwa mujibu wa Astrology hiki ni kipindi cha evolution in our consciousness. Uwezo wake unapanda kwa asilimia kubwa sasa. Watu wanaendakujitambua wao ni nani na kupinga vitu vya unyanyasaji na baadae kuungana na kuwakitu kimoja.

Nikajaribu kuongelea kuwa sisi ni immortal hatufi. Kwa kifupi we are gods. Hukumbuki hata katika vitabu vya dini imeeleza kuwa sisi ni mungu? Tatizo watu hawataki kubadilika wanang'ang'ania OWO ambayo kusema kweli imeshindwa kuunganisha watu.

Ninakuomba jiunge kwenye movement yetu ya kuelimisha watu waweze kujitambua. NWO ndio kila kitu kwetu. Ni muda wa kujitambua wewe ni nani.

Ahsante
by
Annael

Wewe tatizo lako unahusianisha vitu viwili ambavyo haviendani kabisa.Hiki ulichoandika na NWO halisi vinapingana sana.Wewe huijui NWO halisi maana yake nini,kama ungeijua usingeilinganisha na mambo unayozungumza hapo juu.Pengine wewe ni mmoja wa watu mlioweza kutekwa kiakili na walioandaa NWO kwa kufichwa maana halisi ya NWO.Elimu unayoitoa ni sayansi nzuri sana (lakini ukikosea sichelei kusawazisha),lakini unahusisha na NWO ambayo lengo lake si hilo unalolijua wewe ndugu.
 
Na hapa ndio tunapokuwa hatuelewani. Nadhani wewe unaongelea OWO inayojifanya kuwa NWO. Kipindi tulichonacho sasa ni cha revolution katika consciousness. Ni kipindi ambacho mtu anajitambua yeye ni nani. Baada ya kujielewa yeye ni nani ndipo Order mpya itaanza kufanya kazi. Sasa hivi tuko kwenye transition period. NWO sio ya kwenye mabago kwenye matangazo. NWO ni automatic changes ambazo zinatokea baada ya mtu kujitambua.

Baada ya kujitambua kuwa wewe ni immortal na kujielewa kuwa wewe sio unconsciousness basi ulimwengu mzima tutaungana na kuwa kitu kimoja. Lakini kabla ya hapo Elimu iliyoingizwa kwenye Mind(unconsciousness) iondoke mtu ajitambue na ajue yeye sio unconsciousness.

Nadhani sasa unaipata kidogo. Watu wameingiziwa elimu mbovu kwenye akili zao (Mind) na kupumbazika na kuona kuwa wanatakiwa kumwabudu mungu mmoja lakini kiuharisia hayupo wao wenye consciousness ni mungu. Baada ya kutambua hivyo tutakuwa na jamii bora ya kuishi pamoja.

Kwa ufupi we are Immortals
 
Back
Top Bottom