Ukweli kuhusu wewe na dunia

Ukiwa upo katika imani fulani itakuwa ni vigumu sana kuelewa hii mada.

Mkuu dunia ya sasa inapoenda you can not afford to be netraul, upepo wowote utakao vuma utakupeleka..na ninaamin kila mtu ana imani yake either your luciferian or God believer...kama hupo hapo katikati ni mbaya kwasababu ujui unapoenda ni kama kipofu tu...Heri kuamin kuna Mungu alafu umkose, kuliko kuamini hakuna Mungu halafu umkute
 

Naushindwe kwajina la Bwana wetu Yesu Kristo
 
Nasikia binadamu duniani ni sawa buu juu ya jani la mti. Anapozunguka kwenye jani anafikiri dunia yote ni ile tu, kumbe kuna msitu una majani kwa mabilioni yamemzunguka...dunia ina mengi ya kujifunza ndugu zangu.
 

Huo udogo unaouongelea hata yesu alikuwa nao
 

Hizo ni kauli za kujikatia tamaa mzazi
 
Huo ni ukweli. New World order.Au new age of Aquarius
 
Ukiwa upo katika imani fulani itakuwa ni vigumu sana kuelewa hii mada.
Ndugu unanikwepa sana. jibu hoja zangu namba 273 na 276 ili twende sawa. ulisema utajibu naona unajibia pembeni kukwepa
 


Dunia ya sasa haina uhusiano wowote na swala lako la kuwa bendera fata upepo, na kuna watu wa aina nyingi kuliko hao ulowataja. Na wala sio lazima uwe luciferian wala God believer.

Hii kauli yako tu ya kuwa ni heri kuamini kuna Mungu halafu umkose kuliko kuamini hakuna Mungu halafu umkute inadhihirisha jinsi ambayo mnabahatisha na wala hamjui unachokiamini.

Kwa taarifa yako tu ni kwamba sio kwamba tunaamini hakuna Mungu, bali ndivyo ilivyo kwamba Mungu hayupo hiyo sio imani.
Imani ni hiyo mnayoamini kuwa Mungu yupo wakati mnajua fika kuwa hilo swala halina ushahidi wowote ule.
 
Nilikuwa nina fikiria sana ninamuna gani ninaweza kukujibu. Na nimejaribu kukujibu kwa njia fulani lakini kwa kweli umeshindwa kunielewa.

Hiyo michoro na picha tofauti tofauti unaweza kujaribu kuziangalia na kutafsiri vyovyote unavyoweza kutafsiri.
Lakini jambo kubwa unalitakiwa kuelewa ni kwamba, vitu unavyo viona na ullivyojifunza kutoaka ukiwa mtoto mdogo sio ukweli wa mambo. Umekuta wazazi na watu wakikuambia kuhusu shetani na nk na wewe ukawa umeweka kwenye akili yako kitu hicho.

Mimi ninacho weza kukueleza ni hebu jaribu kwenda zaidi kidogo kutulia na kutoa mda kwaajiri ya nafsi yako. Ninakuhakikishia utaanza kubadirika.
 
Fiki nnkamu...tukulonda ikisu ikipya=NWO

mma mmanya keta utundu utu mukujobha to twa setano gwe, nguswigha mukuti tata akajapo afu mutikutika kabisa yn! kali munwile fiki wagwitu.
 

That is the reality which you choose too see, amna watu wa haina nyingi...the are only two side, so which side are you? Usidanganyike kwasababu ya majina ndo ukasema ni tofauti basi ziko nyingi...jiulize nini kilichopo ndani yake? Ni kama mito, bahari, Maziwa na mabawa ni tofauti kwa majina lakini vyote kuna maji ndani yake
 
"No one will enter the New World Order unless he or she will make a pledge to worship Lucifer. No one will enter the New Age unless he will take a Luciferian Initiation."-David Spangler, Director of Planetary Initiative, United Nations
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…