Ukweli kuhusu wewe na dunia

Ukweli kuhusu wewe na dunia

THE NWO inakamilika sasa. Tuwe taifa moja, Dunia moja, uchumi mmoja, Pesa moja.

Hapo kwenye nyekundu ndipo unapoharibu.Huwezi kuwa na mambo hayo halafu wakati huohuo kuwe na usawa na uhuru.Je,unafahamu vizuri sayansi ya pesa(money science)?Hebu na wewe badala ya kutuwekea link zako,fuatilia link hapo chini ili uweze kujua nini kikifanyika ndio tutaweza kufanikiwa kuishi kwa uhuru, usawa na ustaarabu wa kweli na si hiyo NWO inayotumia pesa ambayo pia hujaielewa.Huyu anayezungumza kwenye link hii ndio mtu hasa anayetumia jicho la tatu unalozungumzia wewe na sio hao washenzi uliowataja hapo mwanzo.

THE VENUS PROJECT,A NEW WORLD SYSTEM/REAL CIVILIZATION:
https://www.youtube.com/watch?v=K6JXWt2VIGM
 
View attachment 240091
Jicho la tatu ndilo linalotufanya tuone vitu kwenye ulimwengu wa 4D.
Kwa sababu ni mda mrefu sana haujawahi kulitumia jicho hilo ni vyema kuanza kufanaya mazoezi jinsi ya kulitumia. Tafuta sehemu iliyotulia. ambayo hakuna kelele kelele. Au ikiwezekana jifungie chumbani na uzime taa.

Hatua utakazo fanya ni unakaa vizuri mikono yako weka kwenye magoti.
Fumba macho yako haya mawili. Kaa kimya kwa mda wa dakika kama 6 - 10 hivi. Vuta hewa kwa kutumia pua na itoe kwa kutumia mdomo. Fanya hivyo taratibu taratibu. wakati mwingine ukiwa unaanza utasikia kichwa kinauma. Usihofu hiyo ni kawaida.
Anza kutoa sauti kwa taratibu ukisema MEYIIIIIIIIIIIIII, MEYIIIIIIIIIII. Bada ya mda jicho la tatu litaanza kufunguka taratibu. Kwa sababu mda mrefu hujawahi kulifumbua utaona giza giza vitu vitu usivyo vielewa. Fanya hivyo kwa mda wa wiki mbili tayari utakuwa umezoea utaanza kuwa na uwezo sana.

Utaanza kujua vitu vingi sana na kuanza kujielewa sasa wewe ni nani na unanguvu gani. Nitakueleza siri hiyo wanatumia akina nani na inaleta matokeo gani. Hakuna uchawi hapa mtu asikudanganye. Ni wewe tu jinsi ya kujielewa.

Tuendelee mkuu..muda wa maswali na majibu umekwisha.!
 
Kuna movement inakuja na itabadilisha kila kitu hiki ni kipindi cha mwisho. Kunawatu nyuma ya hayo wanachelewesha kwa ajili ya manufaa yao wenyewe. Waisrael na wapalestina wanafitinishwa. Mda ukifika wa kutofitinisha na kuanza kuhubiri amani kwenye vyombo vya habari ndipo utakapo ona Mbinguni hapa hapa duniani.

Hii movement inaondoa mizizi yote ya OWO na kupanda kitu kipya.

Faida za jicho la tatu zikoje?
 
Mh usiku mwema jamani! Somo zuri anyway!
 
THE NWO inakamilika sasa. Tuwe taifa moja, Dunia moja, uchumi mmoja, Pesa moja.

na dini moja na siku ya kuabudu moja, wanajf hili jambo lipo njian kutokea na lipo kiroho zaidi ya kimwili kwan lengo ni kumkusanyia shetan wafuasi wengi zaidi bila wahusika kujijua na kuufanya ulimwengu kutomtambua mungu kabisa wala kumtii na wanaboresha zaidi yale ya sodoma na gomora. Kuwen macho yaliyoyabiriwa yashatimia
 
Unaijua vizuri historia ya UN?Unajua imeanzishwa na nani?

Sehemu kama hizi ndio huthibitisha ule usemi wangu "You can all read the same information but understand it differently depending on pre-existing knowledge you have regarding that particular information".Hivi unaijua vizuri Bush Family?
Unawajua ni akina nani wako nyuma ya mission hii ya kuunda NWO?Unajua kama member mmojawapo wa hao wanaotaka kuunda NWO alimzuia Nikola Tesla kutengeneza umeme ambao ungetumika dunia nzima BURE?Huoni kama kitendo hiki kiko kinyume na malengo ya NWO unayoijua wewe?

umeme huo ungezalishwa kwa kutumia nguvu gan?
 
khaaa! Humu hapanifai... NLIKUWA NAKUONA WA MAANA KUMBE NI KIBARAKA ULIYETUMA NA HAO FREEMASON?

Ety anasema kwenye hyo line yake ya mwisho ety "Be illuminati upate mwanga"

USHINDWE KWA JINA LA YESU

mkuu huu ndio ule wakati wa kumtafuta mungu kwa hali na mali, kwani huu mpango upo njia na upo kiroho zaidi ya kimwili na wanaoujua ukweli huo ni kikundi za watu wachache wasabato nachoshauri tusome biblia na kusali sana Mungu atupe nuru ya kweli
 
asee nimekufatilia vizur sana mtu ww uliyeweka hii thread na hayo mambo nimeskia kwa wengi ila ww umekuja kwa kuzunguka sana...ninafikiri sanaa haya ni mawazo ya waashi huru so upo katika kutangaza. maoni yangu kwa member wengine vitabu vya dini vinaonya kuwa huu ni wakati wa mwisho kwa hiyo shika sana kile ulichonacho...naamini imani uliyonayo ili usipotoshwe na mafundisho ya uwongo.....mimi ntabaki na macho yangu mawili hayo manne yatafuteni tu jamani mtanisimulia mnayo yaona

kaka nakubaliana nawe na nimeanini tuko ukingoni. Mungu atuokoe
 
Tunafahamu ila baadhi yetu hatutaki na Kabla operation hiyo haijaanza rasmi. Yesu atachukua walio wa kwake!
Mtakaobaki all the best!
Swali la kizushi je ninyi na NWO mnaamini kuhusu life after death?

mkuu unaonekana una uelewa ila kabla hii Nwo haijaanza rasmi malaika wa Mungu watapita duniani kote kuwatia ishara ktk paji la uso watu wa Mungu na nafas itakayobaki ni kwa wale kondoo ambao hawajawah kuwa ktk zizi la kristo ila waliyashika na kuyatii aliyoyafundika. Kitabu cha ufunuo, mathayo 24 na Daniel vina maelezo zaidi
 
"Nature is written in that great book which ever is before our eyes - I mean the universe - but we cannot understand it if we do not first learn the language and grasp the symbols in which it is written. The book is written in mathematical language, and the symbols are triangles, circles and other geometrical figures, without whose help it is impossible to comprehend a single word of it; without which one wanders in vain through a dark labyrinth."
Galileo

If you want to debate the existence of God with scientists, you do not go armed with a "holy" book. You have to bring your knowledge of the science of the soul. Your science has to be better than theirs. You have to show them where they are in error.

The first motto of the Illuminati (under Grand Master Pythagoras) was: "Number rules the universe." Mathematics is the basis of organization, hence of life, hence of mind. A universe that did not operate according to mathematics would be incomprehensible, irrational, and nothing but random chaos from which no life and no consciousness could ever emerge.

So, the ultimate question, as Pythagoras realized, was: where does mathematics come from? How and why does the cosmos understand mathematics? Moreover, if the cosmos is based on mathematical rules and humanity can understand mathematics then it follows that humanity can unlock the secrets of the cosmos and read the Mind of God. Science is how humanity uses mathematics to comprehend the universe. But science historically made one catastrophic mistake: it let empirical data be its sole guide rather than empirical data and mathematical logic.
 
Hiki kitakuwa ni kakikundi ka wahuni wanataka kuiharibu dunia! ila bdo sana hawajaweza kunishawish kirahis hvyo!
 
ila utaulizwa ulifanya kazi gani kuokoa walio gizani

Huyo mtoa mada anachojaribu kuaminisha wenzake ni kufuru tupu...anatumia mawazo ya kibinadamu zaidi with cooked satanic references of Illuminate & allies, hiyo ndo imani yake huyu majenzi huru, ndo fungu jema kwake....
 
Fungua akili yako. Tunavuka sasa kuelekea ndunia mpya yenye furaha. Mbinguni ni hapa hapa duniani. Kunawatu wameiharibu lazima tuzime Old World Order (OWO)

kama unasema hiv kwa kukusudia na unajua unachokifanya na matokeo yake nn jehanam ni sehemu nzur kwa roho yako ila kama ni ujinga na ukosefu wa elimu ya mungu kaa chini soma biblia maana yaliyosemwa "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" ndivyo itakavyokuwa kwako maana umepumbazwa na uchafu wa dunia.
 
Huyo mtoa mada anachojaribu kuaminisha wenzake ni kufuru tupu...anatumia mawazo ya kibinadamu zaidi with cooked satanic references of Illuminate & allies, hiyo ndo imani yake huyu majenzi huru, ndo fungu jema kwake....

huu ni wakat wa kushika ulichonacho kwa makin kisije chukuliwa maana anayoyasema siku 1 yatakuwa rasm na yatatiliwa mkazo na utawala utakaokuwepo
 
huu ni wakat wa kushika ulichonacho kwa makin kisije chukuliwa maana anayoyasema siku 1 yatakuwa rasm na yatatiliwa mkazo na utawala utakaokuwepo

Na hapo ndo Shetani atakaporuhusiwa kutawala rasimi... Ngoja nikasali aiseee
 
"Nature is written in that great book which ever is before our eyes - I mean the universe - but we cannot understand it if we do not first learn the language and grasp the symbols in which it is written. The book is written in mathematical language, and the symbols are triangles, circles and other geometrical figures, without whose help it is impossible to comprehend a single word of it; without which one wanders in vain through a dark labyrinth."
Galileo

If you want to debate the existence of God with scientists, you do not go armed with a "holy" book. You have to bring your knowledge of the science of the soul. Your science has to be better than theirs. You have to show them where they are in error.

The first motto of the Illuminati (under Grand Master Pythagoras) was: "Number rules the universe." Mathematics is the basis of organization, hence of life, hence of mind. A universe that did not operate according to mathematics would be incomprehensible, irrational, and nothing but random chaos from which no life and no consciousness could ever emerge.

So, the ultimate question, as Pythagoras realized, was: where does mathematics come from? How and why does the cosmos understand mathematics? Moreover, if the cosmos is based on mathematical rules and humanity can understand mathematics then it follows that humanity can unlock the secrets of the cosmos and read the Mind of God. Science is how humanity uses mathematics to comprehend the universe. But science historically made one catastrophic mistake: it let empirical data be its sole guide rather than empirical data and mathematical logic.

We rukaruka tu na kujifanya huyaoni maswali yangu,usipoyajibu maswali yangu mjala mzima na kuchangia kwako hapo hakuna maana,kwa sababu nilicho ki-quote kutoka kwako kinaonesha maelezo yako yanapingana na unaonekana hujui unachokiongea.

Ushauri:Kabla ya kuleta uzi hapa hakikisha unafanya utafiti na una uelewa wa kutosha kuhusu mada husika,vinginevyo utalifanya hili liwe jukwaa la burudani pekee na si kuelimishana mambo yenye faida.
 
"Escape velocity": the speed needed to break free from a gravitational field.

"Escape velocity": the metaphorical speed needed to break free from the "oppression field" of the Old World Order.
 
We rukaruka tu na kujifanya huyaoni maswali yangu,usipoyajibu maswali yangu mjala mzima na kuchangia kwako hapo hakuna maana,kwa sababu nilicho ki-quote kutoka kwako kinaonesha maelezo yako yanapingana na unaonekana hujui unachokiongea.

Ushauri:Kabla ya kuleta uzi hapa hakikisha unafanya utafiti na una uelewa wa kutosha kuhusu mada husika,vinginevyo utalifanya hili liwe jukwaa la burudani pekee na si kuelimishana mambo yenye faida.
Maswali yako yapi? Ambayo sijayajibu? Kitu gani unadhani sijui wewe unajua? Hebu naomba uniulize swali ambalo sijakujibu. Au huenda unataka nikujibu unavojua wewe!!?
 
Back
Top Bottom