Ukweli kuhusu tusua mapenee

eric emanuel

Member
Jan 9, 2017
11
2
Kwa anaejua jinsi promoshen ya tusua mapene inavyo fanya kazi naomben ushaurii

Nikweli hizo ela wanatoa au!?
 
Wahenga walisema hii misemo

1. Vya bure aghali .

2. Ukitaka kula sharti uliwe

Chukua hatua, Tafakari ;););)
 
Back
Top Bottom