Ukweli kuhusu tukio la walimu waliompiga mwanafunzi Mbeya

yan makofi tu mnaita unyama.hata kama hakupiga ngumi,yani hata angejaribu kunisukuma tu angekula zaid ya yale,mnaleta ujinga ujinga hapa

Ndio sababu hakukusukuma Wewe anakujua Wewe sio Mtu wa Mchezo mchezo!
 
hongera, naona utamuita arudie tena.......nyie ndio mnatuletea watoto wenye balaa mashuleni

Balaa umejiletea Mwenyewe kwa kushindwa KUTOKUWA Mwalimu!

Ungekuwa unawaheshimu na kuwasikiliza Walimu wako ipasavyo Leo hii usingekuwa Mwalimu!!
 
NI KWELI WALIMU WAMEMPIGA MWANAFUNZI KINYAMA HUKO MKOANI MBEYA LAKINI KIJUE CHANZO KILICHOSABABISHA KUPIGWA KWAKE

Na Mathias Canal

Majira ya asubuhi hapo jana nilianza kuiona kanda ya sekunde 38, ambayo tangu nilipoiona kabla ya kujua serikali itafanya maamuzi gani kwa Walimu waliofanya unyama huo mimi niliwatazama takribani watu hao watano wakiwa wanaonekana kumshambulia mvulana mmoja ambaye ni Mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya kutwa ya Mbeya ambaye baadaye alianguka chini kwa kupigwa ngumi pamoja na mateke.

Hakika tangu jana nimekuwa nikihangaika kujua chanzo cha Walimu kuwa na hasira za aina hiyo kama Chui Mwenye njaa, Machache haya nimebaini.

KISA CHA KUPIGWA...!

Mwanafunzi huyo kabla ya kuonekana kwenye kanda hiyo alikataa kuchapwa wala kuchuchumaa pamoja na kwamba wenzake wote ambao hawakufanya zoezi darasani.

Aliipohojiwa akamjibu vibaya mwalimu ambapo Mwalimu yule alitaka kumuadhibu kwa kumchapa viboko kama adhamu ya kuimarisha nidhamu yake.

Mwalimu alipojaribu kutaka kumchapa ghafla mwanafunzi huyo alirusha ngumi nzito ambayo ilituama kwenye mdomo wa Mwalimu huyo.

Baada ya kadhia hiyo ambayo haikumaliza hata sekunde moja walimu wengine walioshuhudia tukio hilo waliamua kumchukua mwanafunzi huyo ili kumpelekea ofisini huku Mwalimu aliyepigwa ngumi akiwa ameamua kurudi darasani kutuliza wanafunzi wengine ambao walitaka kufanya vurugu kwa sababu ya kukerwa na Matukio ya ubabe yanayofanywa na Mwanafunzi huyo na Alipoona wanafunzi hao wametulia alianza kurudi ofisini.

Baada ya Mwanafunzi huyo kufikishwa ofisini akaona Walimu wamebaki wawili tu aliwapiga ngumi kiasi kwamba Walimu hawakuwa na namna ya kumkabili.

Mwanafunzi huyo baada ya kuwamudu Walimu wale wawili Akaanza kutoka nje ya ofisi huku akiwa anakimbia yule mwalimu ambaye alipigwa ngumi ya mdomo na akaenda kuwatuliza wanafunzi darasani akamuona mwanafunzi huyo akiwa ametoka anakimbia ndio alipomuwahi kukawa na majibizano ya ngumi na mateke kidogo.

Mwalimu alifanikiwa kumudu majibizano ya kipigo na hatimaye akafanikiwa kumrudisha ofisini kwa walimu wengine hapo ndio kila mmoja akajikuta anahitaji kumaliza hasira zake. Kumbuka Walimu walikuwa na hasira za Kupigwa tena na mwanafunzi wao...! Na kubaki wakiwa wanaugulia maumivu.

TAARIFA NYINGINE MPENYEZO

Mwanafunzi huyu yeye aliridhia kichapo alichopewa na walimu hao baada ya kufanikiwa kummudu akiwa kwenye ofisi ya walimu ndio maana siku 11 toka tukio limetokea hakwenda kuripoti mahala popote, yaaani Hata nyumbani kwao hakwenda kusema kwakuwa anakesi tatu nzito na aliwahi kumjibu hovyo baba yake mbele ya walimu alipokuwa ameenda kutetea asifukuzwe shule.

Achilia mbali hayo Mwanafunzi huyo alishawahi kuvunja TV ya baba yake nyumbani kwao kama wiki mbili zilizopita.

Pamoja na mambo yote hayo Wiki hili amekamatwa na walimu akiwa anavuta bangi shuleni na wenzake. baba yake mzazi hamtaki huyo Mwanafunzi lakini hana namna ya kumkabili.

MTAZAMO YAKINIFU

Serikali umefanya Kazi Mkubwa kwanza kubaini hiyo video imerekodiwa katika shule gani na Walimu hao ni kina nani, hakika ni jambo la kupongezwa sana lakini imesahau kwamba maamuzi yote yaliyofanyika dhidi ya Walimu yameshindwa kuzingatia chanzo Chake Bali imejikita kukabili matokeo, Wahenga walisema Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo lakini wakaenda mbali zaidi kwa kusema Samaki mkunje angali mbichi. Mwanafunzi huyu ni samaki aayetaka kukunjwa akiwa amekauka Kamwe haiwezekani.

Watanzania, Wanafunzi, jamii kwa ujumla itambue kuwa binafsi nimesikitishwa sana na kadhia hiyo iliyofanywa na walimu karibu wa tano kwa mujibu wa Video iliyosambaa mtaani tena imenikera mno mno lakini vyema zaidi kama tutajikita kuhangaika na chanzo cha tatizo ili kumaliza mzizi wake kuliko kukabili matokeo huku tukiacha mambo hayo yaendelee kukutikana mitaani.

Kuteleza si kuanguka lazima tukiri kwa pamoja kwamba hapo tumeteleza kabla hatujaanguka basi vyema tukatazama mahala pa Kushika ili kuhakikisha hatuanguki Tunapotoa maamuzi ni vyema sana tuangalie mambo kwa ujumla wake tusitazame tu wapi kumesisimua Jamii...?

Tutambue kuwa tukio hilo la Mbeya ni la wanafunzi wa Chuo kumchangia na kumpiga mwanafunzi wa shule ya kutwa ya Sekondari Mbeya tukiwaita Walimu maana yake tutajadili pia Chama Cha Walimu Mkoa wa Mbeya (CWT) kinafanya Kazi gani...?

Kuna mwandishi mmoja huwa anasema hawezi kuwa adui kwa kusema Ukweli nami sitarajii hilo.

Naaam, Ni Neno La Wakati Mwema
Mathias Canal (Sauti ya Wanyonge)
0756413465
Igunga-Tabora
Yaani pamoja na ujinga ule wa wale wanafunzia wa ualimu kumbe kuna wajinga zaidi kama wewe mburula dah haya kwangu sina namna ya kukusaidia zuzuzizuzuzuzuzuzzuz
1475956185546.jpg
 
Nakumbuka mdogo wangu wa pili alikuwa ananidharau kitu ambacho nilikuwa nashangaa, siku akanikorofisha nikiwa form IV nikakasirika sana, nikalialia nikanyamaza....aliporudi nikataka kumchapa nae akaanza kujibu mapigo nilitupa fimbo nikaanza ngumi......."Hicho kipigo cha hao walimu ni cha mtoto sana alafu nawashangaa wanaolalama". MM Nakumbuka nilimpiga nusura ya kuua tena nilifunga mlango kwa funguo alafu nikaweka mfukoni huo ufunguo, wiki mbili hakuenda shule alikuwa kalazwa hospitali........nahisi ingekuwa ni sasa alafu nikarekodiwa hakika ningenyongwa kwa kufanya tukio lile........mzazi mmoja akanishukuru kwa kufunza wadogo kuheshimu mkubwa wake....mzazi mwingine akawa ananiwinda anidhuru kwa njia yeyote lakini akanikosa......Huyo dogo hadi leo anaheshima sijawahi ona!, nahisi shetani...kawa malaika!.....nashule amerisiti mara tatu akafaulu ikawa kila nikifika nyumbani anatamani tulale wote nikeshe kumfundisha masomo ya sayansi, sasa amefata njia niliyopita kielimu na amefanikiwa yupo form VI huko iringa na anasema atasoma course ile ile niliyosomea kaka yake.........yote haya yamekuja baada ya KUMPIGA KIPIGO ZAIDI YA MWIZI!!! bila hivyo ingekuwa msiba kwa familia na jamii kwa ujumla.

Walimu pole sana!, nikakumbuka hili la mdogo wangu......, upande mwingine mnakuwaga sahihi aisee. Poleni kwa yawakutayo huko duniani
 
NI KWELI WALIMU WAMEMPIGA MWANAFUNZI KINYAMA HUKO MKOANI MBEYA LAKINI KIJUE CHANZO KILICHOSABABISHA KUPIGWA KWAKE

Na Mathias Canal

Majira ya asubuhi hapo jana nilianza kuiona kanda ya sekunde 38, ambayo tangu nilipoiona kabla ya kujua serikali itafanya maamuzi gani kwa Walimu waliofanya unyama huo mimi niliwatazama takribani watu hao watano wakiwa wanaonekana kumshambulia mvulana mmoja ambaye ni Mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya kutwa ya Mbeya ambaye baadaye alianguka chini kwa kupigwa ngumi pamoja na mateke.

Hakika tangu jana nimekuwa nikihangaika kujua chanzo cha Walimu kuwa na hasira za aina hiyo kama Chui Mwenye njaa, Machache haya nimebaini.

KISA CHA KUPIGWA...!

Mwanafunzi huyo kabla ya kuonekana kwenye kanda hiyo alikataa kuchapwa wala kuchuchumaa pamoja na kwamba wenzake wote ambao hawakufanya zoezi darasani.

Aliipohojiwa akamjibu vibaya mwalimu ambapo Mwalimu yule alitaka kumuadhibu kwa kumchapa viboko kama adhamu ya kuimarisha nidhamu yake.

Mwalimu alipojaribu kutaka kumchapa ghafla mwanafunzi huyo alirusha ngumi nzito ambayo ilituama kwenye mdomo wa Mwalimu huyo.

Baada ya kadhia hiyo ambayo haikumaliza hata sekunde moja walimu wengine walioshuhudia tukio hilo waliamua kumchukua mwanafunzi huyo ili kumpelekea ofisini huku Mwalimu aliyepigwa ngumi akiwa ameamua kurudi darasani kutuliza wanafunzi wengine ambao walitaka kufanya vurugu kwa sababu ya kukerwa na Matukio ya ubabe yanayofanywa na Mwanafunzi huyo na Alipoona wanafunzi hao wametulia alianza kurudi ofisini.

Baada ya Mwanafunzi huyo kufikishwa ofisini akaona Walimu wamebaki wawili tu aliwapiga ngumi kiasi kwamba Walimu hawakuwa na namna ya kumkabili.

Mwanafunzi huyo baada ya kuwamudu Walimu wale wawili Akaanza kutoka nje ya ofisi huku akiwa anakimbia yule mwalimu ambaye alipigwa ngumi ya mdomo na akaenda kuwatuliza wanafunzi darasani akamuona mwanafunzi huyo akiwa ametoka anakimbia ndio alipomuwahi kukawa na majibizano ya ngumi na mateke kidogo.

Mwalimu alifanikiwa kumudu majibizano ya kipigo na hatimaye akafanikiwa kumrudisha ofisini kwa walimu wengine hapo ndio kila mmoja akajikuta anahitaji kumaliza hasira zake. Kumbuka Walimu walikuwa na hasira za Kupigwa tena na mwanafunzi wao...! Na kubaki wakiwa wanaugulia maumivu.

TAARIFA NYINGINE MPENYEZO

Mwanafunzi huyu yeye aliridhia kichapo alichopewa na walimu hao baada ya kufanikiwa kummudu akiwa kwenye ofisi ya walimu ndio maana siku 11 toka tukio limetokea hakwenda kuripoti mahala popote, yaaani Hata nyumbani kwao hakwenda kusema kwakuwa anakesi tatu nzito na aliwahi kumjibu hovyo baba yake mbele ya walimu alipokuwa ameenda kutetea asifukuzwe shule.

Achilia mbali hayo Mwanafunzi huyo alishawahi kuvunja TV ya baba yake nyumbani kwao kama wiki mbili zilizopita.

Pamoja na mambo yote hayo Wiki hili amekamatwa na walimu akiwa anavuta bangi shuleni na wenzake. baba yake mzazi hamtaki huyo Mwanafunzi lakini hana namna ya kumkabili.

MTAZAMO YAKINIFU

Serikali umefanya Kazi Mkubwa kwanza kubaini hiyo video imerekodiwa katika shule gani na Walimu hao ni kina nani, hakika ni jambo la kupongezwa sana lakini imesahau kwamba maamuzi yote yaliyofanyika dhidi ya Walimu yameshindwa kuzingatia chanzo Chake Bali imejikita kukabili matokeo, Wahenga walisema Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo lakini wakaenda mbali zaidi kwa kusema Samaki mkunje angali mbichi. Mwanafunzi huyu ni samaki aayetaka kukunjwa akiwa amekauka Kamwe haiwezekani.

Watanzania, Wanafunzi, jamii kwa ujumla itambue kuwa binafsi nimesikitishwa sana na kadhia hiyo iliyofanywa na walimu karibu wa tano kwa mujibu wa Video iliyosambaa mtaani tena imenikera mno mno lakini vyema zaidi kama tutajikita kuhangaika na chanzo cha tatizo ili kumaliza mzizi wake kuliko kukabili matokeo huku tukiacha mambo hayo yaendelee kukutikana mitaani.

Kuteleza si kuanguka lazima tukiri kwa pamoja kwamba hapo tumeteleza kabla hatujaanguka basi vyema tukatazama mahala pa Kushika ili kuhakikisha hatuanguki Tunapotoa maamuzi ni vyema sana tuangalie mambo kwa ujumla wake tusitazame tu wapi kumesisimua Jamii...?

Tutambue kuwa tukio hilo la Mbeya ni la wanafunzi wa Chuo kumchangia na kumpiga mwanafunzi wa shule ya kutwa ya Sekondari Mbeya tukiwaita Walimu maana yake tutajadili pia Chama Cha Walimu Mkoa wa Mbeya (CWT) kinafanya Kazi gani...?

Kuna mwandishi mmoja huwa anasema hawezi kuwa adui kwa kusema Ukweli nami sitarajii hilo.

Naaam, Ni Neno La Wakati Mwema
Mathias Canal (Sauti ya Wanyonge)
0756413465
Igunga-Tabora
Ww huna tofauti na yule aliye fanya resurch ujerumani ktk vitabu vyake akataka serekali 3 lkn lilipo fika bunge la katiba vitabu vyake mwenyewe kavikataa ilibidi atake mbili ili alinde ugali wake
 
nimesoma stori nimeishia kucheka kwa dharau, yaani jamaa umeamua kuingia studio na kutengeneza tukio lako.

mwalimu wa kwanza aliepigwa ngumi nzito ya mdomo ndio aliemshika dogo alipo waponyoka wale wawili (huu ujasiri aliupata wapi maana alisha pigwa na bado dogo kawashinda wawili kweli angeenda mshika)

dogo alipomgomea mwalimu na kumpiga ngumi waaalimu wengne waliona je? walikuwa nje ama darasani, maana tunaona hao waalimu wakimshika baada ya kitendo nae anaenda warudisha wanafunzi darasani waliokerwa na tukio.

zaidi umenifanya nikudharau mtetezi wa wanyonge kuniambia dogo kutokusema nyumbani aliridhika na adhabu nami nikuulize wanyonge (wajane kudhurumiwa, wanawake kubakwa, na huwa hawatoi taarifa je? huwa wameridhika na hali iyo) kama jibu ni ndio

babake hakutoa malalamiko juu ya tv yake kuvunjwa huoni aridhika na hali iyo, waalimu hawakutoa malalamiko wala kuchukua hatua juu ya uvutaji wake bangi wiki moja nyuma huoni nao waliridhika hoja yako iko wapi hapa

hakuna ukweli ulio sema bali kujaribu kuleta utoto kwenye jambo la maana
 
Toa ujinga wako hapa, huyo mtoto ndo wa kupiga ngumi majibaba mazima yale eti mawili yazidiwe na yule mtoto? Hebu wacha hizo kiongozi! Huyo mtoto hawezi kupiga ngumi ya kumfanya mwalimu asalimu amri!!
Aha ha haaaa! Ninaweza kukuitia Dogo wa miaka 14 aliyecheza Kombat akutoe nishai, kama upo Dar na pia upo tayari niPM tuandae pambano
 
14568093_966570083472130_6648488876791173392_n.jpg
Sheria inasemaje kuhusu adhabu kwa mwanafunzi aliyetenda kosa?
 
Attachments

  • 14568093_966570083472130_6648488876791173392_n.jpg
    14568093_966570083472130_6648488876791173392_n.jpg
    7.6 KB · Views: 45
  • 14568093_966570083472130_6648488876791173392_n.jpg
    14568093_966570083472130_6648488876791173392_n.jpg
    7.6 KB · Views: 50
Hakuna neno au tukio lolote linaloweza kuhalalisha unyama aliofanyiwa Yule Kijana japo nae anaonekana ni Nunda Mkorofi. Hata Kama angemtia Dole Mwalimu nini konde bado haikuwa sahihi kushambuliwa ( ile sio kuadhibiwa).
Story ya kusema alivunja TV ni ya Uongo kwa kuwa kwa Mujibu wa Nipashe ya Leo Baba Mzazi wa Yule Kijana anasema Nyumbani kwake bado hajafanikiwa kuweka Umeme sasa hiyo TV alikuwa anatumia Mkaa au Power bank?

Pamoja na Yote hayo adhabu ya kuwafukuza Chuo wale Vjana ni kubwa mno kwao na familia zao na Taifa kwa Jumla, ingeangaliwa namna ya kuwaadhibu hao Walimu wa Field sio kuwakomoa Kama wao walivyomkomoa Yule Mwanafunzi
Wewe nae utajiita mzazi au mlezi kwa akili hizi ulizoandika unadiriki kusema hawana umeme hiyo TV watatumia powerbank au mkaa serious mtu mwenye utashi unaandika hivi? Hivi solar na betri za magari zina kazi gani?
 
Wewe unadhan Msingi wa Yule Mzee kusema kwake Hana Umeme ilikuwa kuonesha kuwa hawezi kunyoosha Nguo kwa Pasi?

Yaan Mzazi anasema kwny Nipashe kuwa hakuweza kupata habari za kupigwa Mwanae kwa wakati kwa kuwa hata Umeme kwake Hana Mie niwaze kuwa huenda anatumia Solar na Betri kuwashia TV? Kama alikuwa na fursa hiyo suala la Umeme lingekujaje? Acha nibaki na hizi hizi akili zangu chache!
 
dah hamna excuse ya wao kumpiga vile mwanafunzi......hata kama amekutukana ni vema ukafuata taratibu zingne
 
NI KWELI WALIMU WAMEMPIGA MWANAFUNZI KINYAMA HUKO MKOANI MBEYA LAKINI KIJUE CHANZO KILICHOSABABISHA KUPIGWA KWAKE

Na Mathias Canal

Majira ya asubuhi hapo jana nilianza kuiona kanda ya sekunde 38, ambayo tangu nilipoiona kabla ya kujua serikali itafanya maamuzi gani kwa Walimu waliofanya unyama huo mimi niliwatazama takribani watu hao watano wakiwa wanaonekana kumshambulia mvulana mmoja ambaye ni Mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya kutwa ya Mbeya ambaye baadaye alianguka chini kwa kupigwa ngumi pamoja na mateke.

Hakika tangu jana nimekuwa nikihangaika kujua chanzo cha Walimu kuwa na hasira za aina hiyo kama Chui Mwenye njaa, Machache haya nimebaini.

KISA CHA KUPIGWA...!

Mwanafunzi huyo kabla ya kuonekana kwenye kanda hiyo alikataa kuchapwa wala kuchuchumaa pamoja na kwamba wenzake wote ambao hawakufanya zoezi darasani.

Aliipohojiwa akamjibu vibaya mwalimu ambapo Mwalimu yule alitaka kumuadhibu kwa kumchapa viboko kama adhamu ya kuimarisha nidhamu yake.

Mwalimu alipojaribu kutaka kumchapa ghafla mwanafunzi huyo alirusha ngumi nzito ambayo ilituama kwenye mdomo wa Mwalimu huyo.

Baada ya kadhia hiyo ambayo haikumaliza hata sekunde moja walimu wengine walioshuhudia tukio hilo waliamua kumchukua mwanafunzi huyo ili kumpelekea ofisini huku Mwalimu aliyepigwa ngumi akiwa ameamua kurudi darasani kutuliza wanafunzi wengine ambao walitaka kufanya vurugu kwa sababu ya kukerwa na Matukio ya ubabe yanayofanywa na Mwanafunzi huyo na Alipoona wanafunzi hao wametulia alianza kurudi ofisini.

Baada ya Mwanafunzi huyo kufikishwa ofisini akaona Walimu wamebaki wawili tu aliwapiga ngumi kiasi kwamba Walimu hawakuwa na namna ya kumkabili.

Mwanafunzi huyo baada ya kuwamudu Walimu wale wawili Akaanza kutoka nje ya ofisi huku akiwa anakimbia yule mwalimu ambaye alipigwa ngumi ya mdomo na akaenda kuwatuliza wanafunzi darasani akamuona mwanafunzi huyo akiwa ametoka anakimbia ndio alipomuwahi kukawa na majibizano ya ngumi na mateke kidogo.

Mwalimu alifanikiwa kumudu majibizano ya kipigo na hatimaye akafanikiwa kumrudisha ofisini kwa walimu wengine hapo ndio kila mmoja akajikuta anahitaji kumaliza hasira zake. Kumbuka Walimu walikuwa na hasira za Kupigwa tena na mwanafunzi wao...! Na kubaki wakiwa wanaugulia maumivu.

TAARIFA NYINGINE MPENYEZO

Mwanafunzi huyu yeye aliridhia kichapo alichopewa na walimu hao baada ya kufanikiwa kummudu akiwa kwenye ofisi ya walimu ndio maana siku 11 toka tukio limetokea hakwenda kuripoti mahala popote, yaaani Hata nyumbani kwao hakwenda kusema kwakuwa anakesi tatu nzito na aliwahi kumjibu hovyo baba yake mbele ya walimu alipokuwa ameenda kutetea asifukuzwe shule.

Achilia mbali hayo Mwanafunzi huyo alishawahi kuvunja TV ya baba yake nyumbani kwao kama wiki mbili zilizopita.

Pamoja na mambo yote hayo Wiki hili amekamatwa na walimu akiwa anavuta bangi shuleni na wenzake. baba yake mzazi hamtaki huyo Mwanafunzi lakini hana namna ya kumkabili.

MTAZAMO YAKINIFU

Serikali umefanya Kazi Mkubwa kwanza kubaini hiyo video imerekodiwa katika shule gani na Walimu hao ni kina nani, hakika ni jambo la kupongezwa sana lakini imesahau kwamba maamuzi yote yaliyofanyika dhidi ya Walimu yameshindwa kuzingatia chanzo Chake Bali imejikita kukabili matokeo, Wahenga walisema Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo lakini wakaenda mbali zaidi kwa kusema Samaki mkunje angali mbichi. Mwanafunzi huyu ni samaki aayetaka kukunjwa akiwa amekauka Kamwe haiwezekani.

Watanzania, Wanafunzi, jamii kwa ujumla itambue kuwa binafsi nimesikitishwa sana na kadhia hiyo iliyofanywa na walimu karibu wa tano kwa mujibu wa Video iliyosambaa mtaani tena imenikera mno mno lakini vyema zaidi kama tutajikita kuhangaika na chanzo cha tatizo ili kumaliza mzizi wake kuliko kukabili matokeo huku tukiacha mambo hayo yaendelee kukutikana mitaani.

Kuteleza si kuanguka lazima tukiri kwa pamoja kwamba hapo tumeteleza kabla hatujaanguka basi vyema tukatazama mahala pa Kushika ili kuhakikisha hatuanguki Tunapotoa maamuzi ni vyema sana tuangalie mambo kwa ujumla wake tusitazame tu wapi kumesisimua Jamii...?

Tutambue kuwa tukio hilo la Mbeya ni la wanafunzi wa Chuo kumchangia na kumpiga mwanafunzi wa shule ya kutwa ya Sekondari Mbeya tukiwaita Walimu maana yake tutajadili pia Chama Cha Walimu Mkoa wa Mbeya (CWT) kinafanya Kazi gani...?

Kuna mwandishi mmoja huwa anasema hawezi kuwa adui kwa kusema Ukweli nami sitarajii hilo.

Naaam, Ni Neno La Wakati Mwema
Mathias Canal (Sauti ya Wanyonge)
0756413465
Igunga-Tabora
Leo kijana amehojiwa na Milard Ayo kajieleza vizuri na ushahidi ni wanafunzi wenzie waliwakamata waalimu ili wasimpige. Wewe umepata wapi hiyo hadithi au umetunga? Hujui kama kuandika habari isiyokuwa na utafiti wenye data za kutosha ni kosa la uchochezi? Tuache kuchangia kwa utetezi kwa mahaba bila kuwa na data za uhakika.
 
Unaonekana wewe ni member mzoefu humu JF lakini umeamua kufungua hii ID mpya ili kuweka hili bandiko, je unaficha nini Mkuu? Kwanini ujifiche kwa kufungua ID mpya?

swala hili uzito wake utaujua kama wewe pia ni mwalimu. nilijua tuuu kuwa yule mwanafunzi hawezi pigwa tu bila sababu
 
Wewe unadhan Msingi wa Yule Mzee kusema kwake Hana Umeme ilikuwa kuonesha kuwa hawezi kunyoosha Nguo kwa Pasi?

Yaan Mzazi anasema kwny Nipashe kuwa hakuweza kupata habari za kupigwa Mwanae kwa wakati kwa kuwa hata Umeme kwake Hana Mie niwaze kuwa huenda anatumia Solar na Betri kuwashia TV? Kama alikuwa na fursa hiyo suala la Umeme lingekujaje? Acha nibaki na hizi hizi akili zangu chache!
Kweli we baki na akili zako hizohizo usiwaambukize wengine
 
NI KWELI WALIMU WAMEMPIGA MWANAFUNZI KINYAMA HUKO MKOANI MBEYA LAKINI KIJUE CHANZO KILICHOSABABISHA KUPIGWA KWAKE

Na Mathias Canal

Majira ya asubuhi hapo jana nilianza kuiona kanda ya sekunde 38, ambayo tangu nilipoiona kabla ya kujua serikali itafanya maamuzi gani kwa Walimu waliofanya unyama huo mimi niliwatazama takribani watu hao watano wakiwa wanaonekana kumshambulia mvulana mmoja ambaye ni Mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya kutwa ya Mbeya ambaye baadaye alianguka chini kwa kupigwa ngumi pamoja na mateke.

Hakika tangu jana nimekuwa nikihangaika kujua chanzo cha Walimu kuwa na hasira za aina hiyo kama Chui Mwenye njaa, Machache haya nimebaini.

KISA CHA KUPIGWA...!

Mwanafunzi huyo kabla ya kuonekana kwenye kanda hiyo alikataa kuchapwa wala kuchuchumaa pamoja na kwamba wenzake wote ambao hawakufanya zoezi darasani.

Aliipohojiwa akamjibu vibaya mwalimu ambapo Mwalimu yule alitaka kumuadhibu kwa kumchapa viboko kama adhamu ya kuimarisha nidhamu yake.

Mwalimu alipojaribu kutaka kumchapa ghafla mwanafunzi huyo alirusha ngumi nzito ambayo ilituama kwenye mdomo wa Mwalimu huyo.

Baada ya kadhia hiyo ambayo haikumaliza hata sekunde moja walimu wengine walioshuhudia tukio hilo waliamua kumchukua mwanafunzi huyo ili kumpelekea ofisini huku Mwalimu aliyepigwa ngumi akiwa ameamua kurudi darasani kutuliza wanafunzi wengine ambao walitaka kufanya vurugu kwa sababu ya kukerwa na Matukio ya ubabe yanayofanywa na Mwanafunzi huyo na Alipoona wanafunzi hao wametulia alianza kurudi ofisini.

Baada ya Mwanafunzi huyo kufikishwa ofisini akaona Walimu wamebaki wawili tu aliwapiga ngumi kiasi kwamba Walimu hawakuwa na namna ya kumkabili.

Mwanafunzi huyo baada ya kuwamudu Walimu wale wawili Akaanza kutoka nje ya ofisi huku akiwa anakimbia yule mwalimu ambaye alipigwa ngumi ya mdomo na akaenda kuwatuliza wanafunzi darasani akamuona mwanafunzi huyo akiwa ametoka anakimbia ndio alipomuwahi kukawa na majibizano ya ngumi na mateke kidogo.

Mwalimu alifanikiwa kumudu majibizano ya kipigo na hatimaye akafanikiwa kumrudisha ofisini kwa walimu wengine hapo ndio kila mmoja akajikuta anahitaji kumaliza hasira zake. Kumbuka Walimu walikuwa na hasira za Kupigwa tena na mwanafunzi wao...! Na kubaki wakiwa wanaugulia maumivu.

TAARIFA NYINGINE MPENYEZO

Mwanafunzi huyu yeye aliridhia kichapo alichopewa na walimu hao baada ya kufanikiwa kummudu akiwa kwenye ofisi ya walimu ndio maana siku 11 toka tukio limetokea hakwenda kuripoti mahala popote, yaaani Hata nyumbani kwao hakwenda kusema kwakuwa anakesi tatu nzito na aliwahi kumjibu hovyo baba yake mbele ya walimu alipokuwa ameenda kutetea asifukuzwe shule.

Achilia mbali hayo Mwanafunzi huyo alishawahi kuvunja TV ya baba yake nyumbani kwao kama wiki mbili zilizopita.

Pamoja na mambo yote hayo Wiki hili amekamatwa na walimu akiwa anavuta bangi shuleni na wenzake. baba yake mzazi hamtaki huyo Mwanafunzi lakini hana namna ya kumkabili.

MTAZAMO YAKINIFU

Serikali umefanya Kazi Mkubwa kwanza kubaini hiyo video imerekodiwa katika shule gani na Walimu hao ni kina nani, hakika ni jambo la kupongezwa sana lakini imesahau kwamba maamuzi yote yaliyofanyika dhidi ya Walimu yameshindwa kuzingatia chanzo Chake Bali imejikita kukabili matokeo, Wahenga walisema Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo lakini wakaenda mbali zaidi kwa kusema Samaki mkunje angali mbichi. Mwanafunzi huyu ni samaki aayetaka kukunjwa akiwa amekauka Kamwe haiwezekani.

Watanzania, Wanafunzi, jamii kwa ujumla itambue kuwa binafsi nimesikitishwa sana na kadhia hiyo iliyofanywa na walimu karibu wa tano kwa mujibu wa Video iliyosambaa mtaani tena imenikera mno mno lakini vyema zaidi kama tutajikita kuhangaika na chanzo cha tatizo ili kumaliza mzizi wake kuliko kukabili matokeo huku tukiacha mambo hayo yaendelee kukutikana mitaani.

Kuteleza si kuanguka lazima tukiri kwa pamoja kwamba hapo tumeteleza kabla hatujaanguka basi vyema tukatazama mahala pa Kushika ili kuhakikisha hatuanguki Tunapotoa maamuzi ni vyema sana tuangalie mambo kwa ujumla wake tusitazame tu wapi kumesisimua Jamii...?

Tutambue kuwa tukio hilo la Mbeya ni la wanafunzi wa Chuo kumchangia na kumpiga mwanafunzi wa shule ya kutwa ya Sekondari Mbeya tukiwaita Walimu maana yake tutajadili pia Chama Cha Walimu Mkoa wa Mbeya (CWT) kinafanya Kazi gani...?

Kuna mwandishi mmoja huwa anasema hawezi kuwa adui kwa kusema Ukweli nami sitarajii hilo.

Naaam, Ni Neno La Wakati Mwema
Mathias Canal (Sauti ya Wanyonge)
0756413465
Igunga-Tabora

huu utafiti hautofautiani sana na ule wa brother K wa kipindi cha futuhi
 
Kuna hii ilitokea shule ya sekondari Tandika, kuna Mwalimu mmoja alimwita mwanafunzi mtoro ofisini kwake na mwanafunzi akagoma kwenda, kusikia hivyo mwalimu ikabidi atoke mwenyewe ofisini na kumfuata mwanafunzi Darasani, sasa yule mwanafunzi alipomuona mwalimu wake kamfuata akamwambia,"ofisini siendi na kama unataka kunipiga nipige", kilichofuata hapo mwalimu hakujiuliza akaanza kumpa kipigo yule mwanafunzi, kuona kipigo kikali mwanafunzi akaanza kutimua mbio, kumbe yule mwanafunzi anakundi lake la wanafunzi wenzie, hivyo wenzake kuona mwenzao anapigwa huku anakimbia ikabidi waende kumgombelezea huku wakiwa wameshika visu. Mimi nikashangaa nikauliza inakuwaje wanafunzi wanakuja shule na visu? Nikajibiwa hakuna ulinzi wa kuwapekua, nikachoka
 
Back
Top Bottom