mkuu upo sawa kweli hebu rudi kwenye hukumu yako.Yani watu wametunga habari za uongo ili kuficha maovu ya hap walimu.
Adhabu ya kuwafukuza chuo ni ndogo sana,wanatakiwa kufungwa kifungo cha zaidi ya miaka mi3.
Unaweza kumpa kazi ya u house boy huyo mtoto?Naona braza anajiita mtetezi wa wanyonge... Wanyonge wanaokunja ngumi na kumchangia mtoto wa form three... You see, baya ni baya hata likiwa limelipiza baya.
Hakuna neno au tukio lolote linaloweza kuhalalisha unyama aliofanyiwa Yule Kijana japo nae anaonekana ni Nunda Mkorofi. Hata Kama angemtia Dole Mwalimu nini konde bado haikuwa sahihi kushambuliwa ( ile sio kuadhibiwa).
Story ya kusema alivunja TV ni ya Uongo kwa kuwa kwa Mujibu wa Nipashe ya Leo Baba Mzazi wa Yule Kijana anasema Nyumbani kwake bado hajafanikiwa kuweka Umeme sasa hiyo TV alikuwa anatumia Mkaa au Power bank?
Pamoja na Yote hayo adhabu ya kuwafukuza Chuo wale Vjana ni kubwa mno kwao na familia zao na Taifa kwa Jumla, ingeangaliwa namna ya kuwaadhibu hao Walimu wa Field sio kuwakomoa Kama wao walivyomkomoa Yule Mwanafunzi
Utazaa mwanao halafu akutie kidole mbele ya wadogo zake na watoto wa majirani halfu uchekelee na umuache aende zake huku ukimsifu kuwa kweli dogo nunda
Naona unamchanganya na Albert Mnaly ndie alichapa walimu Bakora wakati akiwa Mkuu wa Wilaya ya Bukoba!Kasim majaliwa wazir wetu mkuu naye si alishawahi kuwachapa viboko walim mbele ya wanafunz kisa wanafunz walifel akiwa mkuu wa wilaya
Mkuu umesema alimjibu yule mwalimu vbaya je ni jibu gani hilo alilojibiwa?
Pili,kwenye hilo darasa kulikua na walimu wangapi kwasababu umesema walimu wengine walimchukua uyo mwanafunzi na kumpeleka ofisini.
Tatu,kama kweli uyo mwanafunzi ni mkorofi na ni tabia yake kupiga walimu kwanini mwalimu wa nidhamu au mwalimu mkuu ajamchululia hatua kipindi chote kabla ya hao walimu wa mafunzo kuja?
Taarifa yako ina maswali mengi kuliko majibu ya ulichotaka kutuaminisha
yan makofi tu mnaita unyama.hata kama hakupiga ngumi,yani hata angejaribu kunisukuma tu angekula zaid ya yale,mnaleta ujinga ujinga hapaHakuna neno au tukio lolote linaloweza kuhalalisha unyama aliofanyiwa Yule Kijana japo nae anaonekana ni Nunda Mkorofi. Hata Kama angemtia Dole Mwalimu nini konde bado haikuwa sahihi kushambuliwa ( ile sio kuadhibiwa).
Story ya kusema alivunja TV ni ya Uongo kwa kuwa kwa Mujibu wa Nipashe ya Leo Baba Mzazi wa Yule Kijana anasema Nyumbani kwake bado hajafanikiwa kuweka Umeme sasa hiyo TV alikuwa anatumia Mkaa au Power bank?
Pamoja na Yote hayo adhabu ya kuwafukuza Chuo wale Vjana ni kubwa mno kwao na familia zao na Taifa kwa Jumla, ingeangaliwa namna ya kuwaadhibu hao Walimu wa Field sio kuwakomoa Kama wao walivyomkomoa Yule Mwanafunzi
yan anipige ngumi ,halafu niende kutoa taarifa kwa mkuu wa shule,thubutuuuu namtafuna hapo hapoKaswali kadogo
Je huyo mwalim aliye pigwa ngumi ya mdomo alitoa taarifa kwa mkuu wa shule ?
hongera, naona utamuita arudie tena.......nyie ndio mnatuletea watoto wenye balaa mashuleniKwani ukinuna na kumdunda ndo kitakuwa hakikuingia?
'Akili mate' wako kafumania Mkewe a anapewa 'mseto' akalawiti Mgoni na kusambaza Picha sasa hivi yupo Gerezan kala Mvua za Milele na hicho kidude alichopigania kinaliwa na Wachimba Mitaro watakavyo!
Acha ujinga wewe. Dogo kapiga mwalimu wa kwanza ngumi ya mdomo, kawapiga walimu wawili akawashinda then ndio ikabidi wachangie wote wanne sijui watano! Ni mjinga ndio ataamini hio stori. Walimu wenyewe vijana wametoka field sio watu wazima,vijana na nguvu zao mwanafunzi mmoja anawashinda.ngoja waaje ..niliwaambia yule dogo hajapigwa kaaabisa hawa wadada wa daslama wanaleta unafki tu
kwa kosa gani na kifungu gani cha sheria,wale hawafungwiYani watu wametunga habari za uongo ili kuficha maovu ya hap walimu.
Adhabu ya kuwafukuza chuo ni ndogo sana,wanatakiwa kufungwa kifungo cha zaidi ya miaka mi3.