nyamwingi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 945
- 873
Sasa yeye anakaa wapi?Kama unajua kusoma vizuri, amesema kwenye hiyo nyumba ujenzi bado unaendelea... sasa kinachokushangaza nini nyumba kutokuwa na umeme wakati ujenzi unaendelea?!
Sasa yeye anakaa wapi?Kama unajua kusoma vizuri, amesema kwenye hiyo nyumba ujenzi bado unaendelea... sasa kinachokushangaza nini nyumba kutokuwa na umeme wakati ujenzi unaendelea?!
Yeye nani?!Sasa yeye anakaa wapi?
Asante baba,, tena vilikuwa vibao vya kitoto sana vile! Ila kama wewe ni mwalimu nenda tenda ukasome sheria inayokuruhusu kutumia vibao badala ya fimbo kama ipo tuwekee hapa na utakuwa umeshinda! Kama haipo walimu hao ni wauaji! Mwalimu tarajali Msigwa alikuwa anatumia ngumi wala siyo kofi ni stahili yake kutumbuliwa!!najua unataka kuonyesha kua wale walimu wamekosea,umshinda kwa hilo lkn kubali kua adhabu alioipata huyo dogo hata km walimu walikua watano c kubwa. na unaelewa wanafunzi wabishi ndio siku zote hupigwa hivohivo sehemu zote tz,totauti ni wingi wa walimu tu. kwani wkt wa kuadhibiwa alikua peke ake?!! mbona wanafunzi wenzie waliokua na adhbu km yake hawajafanyiwa vile?!! usitetee walimu lkn usitetee watoto watukutu km huyo. adhabu alioipata ni ndogo na tuache zogo na kupretand.
vibao havifiki hata 6 na wala hakuna ngumi angalia tena video.