Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
Mtu kapiga bangi lake takatifu, likamfanya awe mabii, mtume na mwanamke sayansi wa janga za juu
Leo dunia inazunguka Sua, kesho UDSM, keshokutwa dunia itazunguka Udom.dunia inaizunguka sua?
Nadhani umbile sahihi ni kama ramani ya UNUkimwaga maji juu yatarud tu chin hii n kwasababu ya nguvu ya dunia kuvuta vitu towards itself,can u tell us what exactly happens to create horizon?.Mwisho ningeomba tuheshimu imani za mwezetu hata kama kwako si kitu maana lugha ilotumiwa na mwanzisha mada sio nzuri kwa kwel kama yeye ni mtanzania.
Ni kwasababu hujajishughulisha kuzisikia na pia ingekuwa wanapingana na NASA wangepinga hadharani hivyo basi wanaungana na NASA kukueleza ukweli huo kuwa dunia ni tufeSijasikia taarifa zao, taarifa za namna anga lilivyo zote nazisikia NASA tu
Bibilia ina ujumbe kwako wewe ambae unasoma bila critical thinking ila kwa mtu mwengine bibilia ni kitabu tu cha kawaida hakuna cha ajabu kwenye ujumbe wake. Na theory yako flat earth hata kwenye karne za zamani watu walikua hawaamini hivo. Hata watu wa zamani walifanya majaribio na kujua dunia haiwezi kua flat kabla hata ya nasa kuwepo. wewe leo hii upo kwenye karne ya 21 bado unaamini dunia ni flatWe ndo huelewi, wapi biblia inasema nyoka aliongea? Biblia kitabu ambacho kina ujumbe wa kuaminiwa kuliko kitabu kingine vya aina hiyo.. Kuna nyoka wa aina nyingi...nikikuita wewe nyoka unaelewa hivyo hivyo na akili yako ndogo.
Hiyo ni mtazamo wa UN kuitazama Dunia!Nadhani umbile sahihi ni kama ramani ya UN
Magonjwa ya akili yapo mengi. Mleta uzi, tafadhari sana onana na daktari bingwa upesi.
Ushauri wa bure.
Magonjwa ya akili yapo mengi. Mleta uzi, tafadhari sana onana na daktari bingwa upesi.
Ushauri wa bure.
Leo dunia inazunguka Sua, kesho UDSM, keshokutwa dunia itazunguka Udom.
Bongo tambarare haina milima
Bangi mbaya
Halafu hao wameenda huko space na wameona dunia ikizungua labda atuambie na yeye alifanya utafiti gani maana tafiti inapingwa kwa tafitiYani shirika la anga aa Urusi, la china japan, ulaya wote wakudanganye wewe tu.
Hata North Korea, India wote hawa wana satelites zinaelea kwenye space
Mimi ugomvi wangu mkubwa ni hawa NASA..Eti kwamba Mwaka 1969 walipeleka mwanadamu mwezini?????Tumedanganywa sana na wataalamu wa NASA kuhusu "shape" ya Dunia kuwa dunia ni kama tufe na pia kuwa dunia inajizungusha ili kupata usiku na mchana na pia dunia inazunguka jua ili kupata majira. Hawa jamaa ni waongo sana na uongo huo una malengo pia.
Ukweli ni kuwa:
#1. Dunia ipo flat
#2. Dunia imetulia tuli, haizunguki
#3. Dunia haizunguki jua, ila jua ndo linatembea kuzunguka jua
#4. Dunia ni kubwa kuliko jua au nyota
#5. Picha za shepu ya dunia tunazoziona leo kuwa ni duara ni just visual effects sio live images, wanatudanganya.
#6. Habari ya gravitational force towards earth is just a mythology, usiniulize kuhusu space, hapa sio pake.
Kwa nini nasema hivi:
#1. Naturally maji yapo level. Hayawezi kukaa katika mduara, usiniambie yananing'inia kwa attraction force towards the center of the earth.
#2. Hakuna mto unaopeleka maji mlimani yote huelekea bondeni. Usiniambie kuwa pia ni sababu za uvutano, hiyo ni myth.
#3. Hakuna rubani wa ndege amewahi kuthibitisha kuwa kuna ku bend ili kufuata mzunguko wa dunia.
#4. Usiniambie kuwa horizons ndo husabisha kuonekana " eti" dunia ni kama tufe.
#5. Observatories duniani ni nyingi sana, kwa nini mambo yote ya anga ni NASA pekee ndo wasemaji wakuu, waongo.
Sababu za Uongo:
#1. Kuingiza mawazo kuwa hakuna Mungu
#2. Ukiisha amini hakuna Mungu, basi biblia ni ya Uongo
#3. Kama biblia ni ya uongo basi Yesu harudi, kwa sababu biblia inasema Yesu anaporudi kila jicho litamuona. Kama dunia ni tufe walio upande wa pili hawawezi kumuona at the same time. Hivyo biblia ni kitabu cha zamani sio cha kuamini.
#4. Kwa vile biblia ni ya uongo na hakuna Mungu ( kwa kuwa ni bible tu ndo inatambua uwepo wa Mungu na uumbaji) wakaja na theory za Big Bang ambazo zinasema ulimwengu haukuumbwa na binadamu ametokea si kwa kuumbwa.
#5. The largest obsevatory duniani inaitwa Lucifer ambayo inamilikiwa na Vatican na ndio hao hao wanamiliki mradi wa CERN ambao umeanzisha theory ya BigBang, hivyo basi hawa wana lengo la kutuharibu akili kwa kutuaminisha hatukuumbwa, hivyo hatuna matumaini, Mungu hayupo na mwisho wa dunia haupo, yesu harudi wala hakuna kitu kama hicho.
Nawasilisha, leteni ubishi wenye mawazo, msilete lugha chafu.
Sawa kabisa..Kwa upande wangu napinga HAKUNA BINADAMU ALIYEWAHI KANYAGA MWEZI. USA walidanganya ilikuwa ni project ya kutishana enzi ya vita Baridi,mbona leo Teknolojia nzuri hawaendemo???Yani shirika la anga aa Urusi, la china japan, ulaya wote wakudanganye wewe tu.
Hata North Korea, India wote hawa wana satelites zinaelea kwenye space