Ukweli kuhusu shape ya Dunia

Ukweli kuhusu shape ya Dunia

Bibilia kuna uongo mwingi tu ambao wakristo mnauamini lakini mnashindwa kuamini dunia ni duara? Unaamini nyoka anaweza kuongea lakini huamini dunia inaizunguka jua?

Hahahahaaa! Nimeupend sana mchango wako. Watu wanaishi kwa dogma za Mungu kaumba kila kitu na huruhusiwi kuhoji chochote wewe ni kuamini tu. Jamaa nadhani ni msabato maana anaonesha pia chuki kwa papa na NASA wakati hata uwezo wa kutambua tu basics za life na universe hana. Yaan kweli kila binadamu na fikra zake.
 
Hoja ya upande wa kiimani uko sahihi, lakini upande wa kisayansi nadhani hauko sahihi. Sayansi kutokutambua uwepo wa Mungu imejidhihirisha maeneo mengi tu kwa kuwa wanasayansi wanaamini kwa empirical evidence tu na si vinginevyo, sasa mambo ya kiMungu ni Spiritual na huwezi kuyaprove kwa kutumia normal senses isipokuwa kwa Imani!
 
Hivi huyu jamaa ameshaweka picha kuonyesha dunia ilivyo kama meza?!!
 
Hapa ni itikadi za dini na chuki za kupandikizwa dhidi ya Taifa jingine, bila kujari faida ya mafanikio yao hata kama wanayatimia, Masikini wa FIKRA.
 
We ni ajabu sana.. Kwajinsi ulivyoandika ni kwamba unaamini Mungu yupo.. na kwa Msingi huo pia unaamini Biblia ni Neno lake.. Sasa ktk biblia imeandikwa kabla hata ya hao NASA kwamba.. dunia ni duara na imening'inia tena inazunguka... ukitaka reference sema!
 
hawa wazungu walionaje huku ndani??ina maana walio chini hawapati kizunguzungu?maji ya bahari hayamwagiki?majengo marefu hayadondoki?
images
Hilo swali la kwanza jibu lake ni rahisi sana! Wanawezaje kumuona mtoto kwa ultra sound washindwe hilo? Au unahitaji kuvunja sumaku ndani ili uione nguvu yake ya uvutano(usumaku wenyewe)
 
Bibilia kuna uongo mwingi tu ambao wakristo mnauamini lakini mnashindwa kuamini dunia ni duara? Unaamini nyoka anaweza kuongea lakini huamini dunia inaizunguka jua?

Hahahahaaa! Nimeupend sana mchango wako. Watu wanaishi kwa dogma za Mungu kaumba kila kitu na huruhusiwi kuhoji chochote wewe ni kuamini tu. Jamaa nadhani ni msabato maana anaonesha pia chuki kwa papa na NASA wakati hata uwezo wa kutambua tu basics za life na universe hana. Yaan kweli kila binadamu na fikra zake.
Wewe ni mpumbavu unayeamini hakuna Mungu!
Dogma za biblia ni sahihi japo kuna some parts kuna mikono ya kibinadamu imeingia.
Unapingana na reality, kwamba napingana na Pope!
Kwani uongo wangu ni nini?
Je Vatican haimiliki CERN?
Je Vatican haimiliki L.U.C.I.F.E.R?
Kwa taarifa yako hata NASA inakuwa controlled na Vatican, unabisha? Kama ilivyo Federal Reserve Bank inavyoongozwa na Vatican..Unajua?
Observatories nyingi duniani zipo chini ya Vatican.
Na kwa taarifa yako Vatican ndo wanacontrol dunia, hata calendar tunayoitumia ni ya Vatican..au hujui pia gregorian calendar.
Kwa sababu unafikiri ndani ya box, hujui kinachoendelea nje.
 
umesoma kwa taarifa zao NASA na umejibu maswali yote ukiwaamini leo upo chini ya mti unatoa hoja ya kuwakataa wataalamu leta hoja za kutatua kero za matatizo ya watanzania hao jamaa wapo mbali sana sana.,
 
Wewe ni ******** unayeamini hakuna Mungu!
Dogma za biblia ni sahihi japo kuna some parts kuna mikono ya kibinadamu imeingia.
Unapingana na reality, kwamba napingana na Pope!
Kwani uongo wangu ni nini?
Je Vatican haimiliki CERN?
Je Vatican haimiliki L.U.C.I.F.E.R?
Kwa taarifa yako hata NASA inakuwa controlled na Vatican, unabisha? Kama ilivyo Federal Reserve Bank inavyoongozwa na Vatican..Unajua?
Observatories nyingi duniani zipo chini ya Vatican.
Na kwa taarifa yako Vatican ndo wanacontrol dunia, hata calendar tunayoitumia ni ya Vatican..au hujui pia gregorian calendar.
Kwa sababu unafikiri ndani ya box, hujui kinachoendelea nje.
Kwanini wewe peke yako ndo uyajue yote haya wengine tusiyajue?? Nampa pole mwalimu wako wa Maarifa Ya jamii na Geography maana wangekuona saiv wangekupiga km yule mwanafunzi wa Mbeya.
Science huwez changanya na mambo ya ki Mungu. Km ulisoma bios kuna theory ngap za beginning of life?? Ukizisoma unaona zina tija na zina kinzana na imani. Ndo maana kuna msemo wa ya kaisari mwachie kaisari na ya Mungu mwachie Mungu.
Km unaweza kuongea na ndugu yako aliye mbali ata km nje ya nchi , also unaangalia different tv channels through satelites zilizopo angani (which is science) huna ahaja ya kujiulza maswali yasiyo na kichw wala miguu.
 
Hilo swali la kwanza jibu lake ni rahisi sana! Wanawezaje kumuona mtoto kwa ultra sound washindwe hilo? Au unahitaji kuvunja sumaku ndani ili uione nguvu yake ya uvutano(usumaku wenyewe)
images
 
Tumedanganywa sana na wataalamu wa NASA kuhusu "shape" ya Dunia kuwa dunia ni kama tufe na pia kuwa dunia inajizungusha ili kupata usiku na mchana na pia dunia inazunguka jua ili kupata majira. Hawa jamaa ni waongo sana na uongo huo una malengo pia.
Ukweli ni kuwa:
#1. Dunia ipo flat
#2. Dunia imetulia tuli, haizunguki
#3. Dunia haizunguki jua, ila jua ndo linatembea kuzunguka jua
#4. Dunia ni kubwa kuliko jua au nyota
#5. Picha za shepu ya dunia tunazoziona leo kuwa ni duara ni just visual effects sio live images, wanatudanganya.
#6. Habari ya gravitational force towards earth is just a mythology, usiniulize kuhusu space, hapa sio pake.

Kwa nini nasema hivi:
#1. Naturally maji yapo level. Hayawezi kukaa katika mduara, usiniambie yananing'inia kwa attraction force towards the center of the earth.

#2. Hakuna mto unaopeleka maji mlimani yote huelekea bondeni. Usiniambie kuwa pia ni sababu za uvutano, hiyo ni myth.

#3. Hakuna rubani wa ndege amewahi kuthibitisha kuwa kuna ku bend ili kufuata mzunguko wa dunia.

#4. Usiniambie kuwa horizons ndo husabisha kuonekana " eti" dunia ni kama tufe.

#5. Observatories duniani ni nyingi sana, kwa nini mambo yote ya anga ni NASA pekee ndo wasemaji wakuu, waongo.

Sababu za Uongo:

#1. Kuingiza mawazo kuwa hakuna Mungu
#2. Ukiisha amini hakuna Mungu, basi biblia ni ya Uongo
#3. Kama biblia ni ya uongo basi Yesu harudi, kwa sababu biblia inasema Yesu anaporudi kila jicho litamuona. Kama dunia ni tufe walio upande wa pili hawawezi kumuona at the same time. Hivyo biblia ni kitabu cha zamani sio cha kuamini.

#4. Kwa vile biblia ni ya uongo na hakuna Mungu ( kwa kuwa ni bible tu ndo inatambua uwepo wa Mungu na uumbaji) wakaja na theory za Big Bang ambazo zinasema ulimwengu haukuumbwa na binadamu ametokea si kwa kuumbwa.

#5. The largest obsevatory duniani inaitwa Lucifer ambayo inamilikiwa na Vatican na ndio hao hao wanamiliki mradi wa CERN ambao umeanzisha theory ya BigBang, hivyo basi hawa wana lengo la kutuharibu akili kwa kutuaminisha hatukuumbwa, hivyo hatuna matumaini, Mungu hayupo na mwisho wa dunia haupo, yesu harudi wala hakuna kitu kama hicho.

Nawasilisha, leteni ubishi wenye mawazo, msilete lugha chafu.
sina elimu sana juu ya hayo mambo.....ila hoja zako nimezielewa....
 
Dunia ni flat halafu ipo stationary. Jua linaizunguka dunia. Linaizungukaje sasa hapo? Kama wanariadha wanavyozunguka uwanja? Huu usiku na mchana unapatikanaje sasa?
 
Hii hapa picha ya kweli kutoka space, ambaye haoni kua hiyo ni part ya round aende akapimwe macho au ubongo.
Kama bado huamini unaendelea na theory zako ambazo huwezi prove, fanya kitu kirahisi tu, chukua camera, funga kwenye baloon kubwa, nenda kanunue helium, jaza kwenye baloon alafu funga hiyo camera, acha ipande hadi angani, itabidi ufanye calculation ujue itaenda kuangukia wapi baloon likishavuka atmosphere likapasuka, nenda chukua camera angalia mwenyewe picha ya dunia utakayoipata kama sio part flani ya sphere. Kama bado huamini hadi picha uliyochukua wewe mwenyewe basi kajinyonge, sayansi haitorudishwa nyuma na opinion na vila.za ambao wanabisha hadi kwenye ukweli. NI karne ya 21 hatuwezi kuendelea kubishana kama dunia ni flat au la wakati tushavuka solar sytem tuna picha hadi za pluto.

earthfromspace_2560x10241.jpg


Watu mnajifanya wataalamu wa biblia kumbe ovyo tu, hata biblia inasema dunia ni duara, hehehe! shaky potepote.
 
Halafu hao wameenda huko space na wameona dunia ikizungua labda atuambie na yeye alifanya utafiti gani maana tafiti inapingwa kwa tafiti
LAKINI WA TWAWEZA UNAPINGWA HATA BILA TAFITI COZ NI UMBEA WANAOFANYA

pia challenge mtu siyo kutukana while lacking strong arguments to bale the theader
 
Back
Top Bottom