Ukweli kuhusu shape ya Dunia

Ukweli kuhusu shape ya Dunia

Sijasikia taarifa zao, taarifa za namna anga lilivyo zote nazisikia NASA tu
Basi hufuatilii taarifa. Nadhani ulipaswa kujua kwani Warusi, Wajapan, Wachina, Waisrael na Wakorea mashirika yao ya anga za juu yanasemaje! Tena jana nimeona Wachina nao wamerusha chombo kwenda Mars.
 
Ttizo hujafatilia vyombo vingine vya utafiti wa anga, na pia wewe umejikita kwenye vyombo vya habari kama BBC, CNN, SKY so lazima upate story za NASA tu
Hafuatilii RT, au CCTV9 au CNC
 
Mkuu kitaaluma wewe ni nani naomba unijuze kwanza hapo ndipo nitoe hoja zangu..
 
Tumedanganywa sana na wataalamu wa NASA kuhusu "shape" ya Dunia kuwa dunia ni kama tufe na pia kuwa dunia inajizungusha ili kupata usiku na mchana na pia dunia inazunguka jua ili kupata majira. Hawa jamaa ni waongo sana na uongo huo una malengo pia.
Ukweli ni kuwa:
#1. Dunia ipo flat
#2. Dunia imetulia tuli, haizunguki
#3. Dunia haizunguki jua, ila jua ndo linatembea kuzunguka jua
#4. Dunia ni kubwa kuliko jua au nyota
#5. Picha za shepu ya dunia tunazoziona leo kuwa ni duara ni just visual effects sio live images, wanatudanganya.
#6. Habari ya gravitational force towards earth is just a mythology, usiniulize kuhusu space, hapa sio pake.

Kwa nini nasema hivi:
#1. Naturally maji yapo level. Hayawezi kukaa katika mduara, usiniambie yananing'inia kwa attraction force towards the center of the earth.

#2. Hakuna mto unaopeleka maji mlimani yote huelekea bondeni. Usiniambie kuwa pia ni sababu za uvutano, hiyo ni myth.

#3. Hakuna rubani wa ndege amewahi kuthibitisha kuwa kuna ku bend ili kufuata mzunguko wa dunia.

#4. Usiniambie kuwa horizons ndo husabisha kuonekana " eti" dunia ni kama tufe.

#5. Observatories duniani ni nyingi sana, kwa nini mambo yote ya anga ni NASA pekee ndo wasemaji wakuu, waongo.

Sababu za Uongo:

#1. Kuingiza mawazo kuwa hakuna Mungu
#2. Ukiisha amini hakuna Mungu, basi biblia ni ya Uongo
#3. Kama biblia ni ya uongo basi Yesu harudi, kwa sababu biblia inasema Yesu anaporudi kila jicho litamuona. Kama dunia ni tufe walio upande wa pili hawawezi kumuona at the same time. Hivyo biblia ni kitabu cha zamani sio cha kuamini.

#4. Kwa vile biblia ni ya uongo na hakuna Mungu ( kwa kuwa ni bible tu ndo inatambua uwepo wa Mungu na uumbaji) wakaja na theory za Big Bang ambazo zinasema ulimwengu haukuumbwa na binadamu ametokea si kwa kuumbwa.

#5. The largest obsevatory duniani inaitwa Lucifer ambayo inamilikiwa na Vatican na ndio hao hao wanamiliki mradi wa CERN ambao umeanzisha theory ya BigBang, hivyo basi hawa wana lengo la kutuharibu akili kwa kutuaminisha hatukuumbwa, hivyo hatuna matumaini, Mungu hayupo na mwisho wa dunia haupo, yesu harudi wala hakuna kitu kama hicho.

Nawasilisha, leteni ubishi wenye mawazo, msilete lugha chafu.
Nadhan umesahau kitu kimoja sana na muhim.
Biblia inatuambia wakati ule Bwana atakaporud kuna watu watakuwa shamban wawili mmoja atatatwaliwa mmoja ataachwa, kuna watu wawili watakuwa kitanda kimoja mmoja atatwaliwa mmoja ataachwa yaan akimaanisha kuna wengine wakati huo kwao itakuwa ni usiku na wengine kwao itakuwa mchana.
 
Bibilia kuna uongo mwingi tu ambao wakristo mnauamini lakini mnashindwa kuamini dunia ni duara? Unaamini nyoka anaweza kuongea lakini huamini dunia inaizunguka jua?
Usiifananishe biblia na vitabu vya hadithi biblia ni level nyingine fuatilia wasomi wote maarufu waliofanikiwa walikuwa wanatumia biblia na wamethibitisha kuwa biblia sio kitabu cha mchezo mchezo
 
Nahisi mleta mada ni mvuta bangi au ana ugonjwa wa akili.
Dunia ni mviringo Kama mpira na siyo flat wala duara.
Mleta mada wewe ni chizi kabisa unayestahili kulazwa milembe, Haiwezekani mtu hujui lolote kuhusu space science unaleta mada ya kibishi humu.
NASA ni taasisi inayokubalika dunia nzima na ipo chini ya serikali ya marekani, na inatumia mabilioni ya dola Kwa uchunguzi wa mambo ya space science kila mwaka, na mtoa mada hujatumia hata sh elfu 10 tu kufanya uchunguzi wako wa kibange bange.
Cha kuku saidia ni kwamba, NASA hawako Kama kiranga ,hawapingi uwepo Wa Mungu.
Dunia ni kubwa mno kiasi kwamba vitu Kama maghorofa na magari pamoja na viumbe Kama binadamu ukiwemo na wewe poyoyo uliyetukuka ,haviwezi kuhisi movement yeyote maana ni sawa na bacteria ndani ya gari la tani 40 ,bacteria au hata sisimizi hawawezi kuhisi kuwa linazunguka.
Kutoka duniani hadi kwenda mwezini ni umbali wa maili 380,000 na kutoka duniani kwenda kwenye jua ni umbali wa maili 93,000,000.
Na kutoka duniani kwenda kwenye sayari zingine Kama ya Mars na nk ni umbali wa mamilioni ya maili.
Kama hujasoma hata kidogo tafadhali Sana staki ubishane bila kujenga hoja ya utafiti.
Sisi intellectuals kauli mbiu yetu ni "don't argue with a fool, for upon multitude you will be seen a fool and not him ".
Watu wote, hasa wazungu wangekuwa na akili za hovyo Kama za kwako haya magari unayoyapanda na ndege na meli yasingekuwepo maana Kwa akili yako ungeona Haiwezekani.
Watu wametumia raslimali nyingi Sana kufanya utafiti, halafu wewe unavuta bange chooni na kuleta mada humu huku ukichimba watu mkwara eti wasikuhoji wala kukubishia ina maana ulichoandika wewe ni kweli, wakati ni upuzi mtupu.
Muda si mrefu utaleta topic kupinga ndege kuruka angani, utasema wazungu ni waongo Hizo ndege huwa ni ungo, "I'm reading your mind afar off, bange mbaya Sana.
 
La kukuongezea mtoa mada, Ujio wa Yesu duniani hautakuwa Kama ujio wa Obama.
Dunia nzima itamwona Yesu akija, yeye ana nguvu za ki Mungu, "mighty power ".
Ni Kama ambavyo Mungu anaweza kumfikia kila mwanadamu ulimwengu wote Kwa sekunde moja tu.
Haya ni mambo ya kiroho, Kama mambo ya kimwili tu ya sayansi yamekushinda kuyajua sasa hayo mengine ujue unataka kufa.
Uelewa wako ni mdogo Sana, halafu unajifanya much know.
 
Tumedanganywa sana na wataalamu wa NASA kuhusu "shape" ya Dunia kuwa dunia ni kama tufe na pia kuwa dunia inajizungusha ili kupata usiku na mchana na pia dunia inazunguka jua ili kupata majira. Hawa jamaa ni waongo sana na uongo huo una malengo pia.
Ukweli ni kuwa:
#1. Dunia ipo flat
#2. Dunia imetulia tuli, haizunguki
#3. Dunia haizunguki jua, ila jua ndo linatembea kuzunguka jua
#4. Dunia ni kubwa kuliko jua au nyota
#5. Picha za shepu ya dunia tunazoziona leo kuwa ni duara ni just visual effects sio live images, wanatudanganya.
#6. Habari ya gravitational force towards earth is just a mythology, usiniulize kuhusu space, hapa sio pake.

Kwa nini nasema hivi:
#1. Naturally maji yapo level. Hayawezi kukaa katika mduara, usiniambie yananing'inia kwa attraction force towards the center of the earth.

#2. Hakuna mto unaopeleka maji mlimani yote huelekea bondeni. Usiniambie kuwa pia ni sababu za uvutano, hiyo ni myth.

#3. Hakuna rubani wa ndege amewahi kuthibitisha kuwa kuna ku bend ili kufuata mzunguko wa dunia.

#4. Usiniambie kuwa horizons ndo husabisha kuonekana " eti" dunia ni kama tufe.

#5. Observatories duniani ni nyingi sana, kwa nini mambo yote ya anga ni NASA pekee ndo wasemaji wakuu, waongo.

Sababu za Uongo:

#1. Kuingiza mawazo kuwa hakuna Mungu
#2. Ukiisha amini hakuna Mungu, basi biblia ni ya Uongo
#3. Kama biblia ni ya uongo basi Yesu harudi, kwa sababu biblia inasema Yesu anaporudi kila jicho litamuona. Kama dunia ni tufe walio upande wa pili hawawezi kumuona at the same time. Hivyo biblia ni kitabu cha zamani sio cha kuamini.

#4. Kwa vile biblia ni ya uongo na hakuna Mungu ( kwa kuwa ni bible tu ndo inatambua uwepo wa Mungu na uumbaji) wakaja na theory za Big Bang ambazo zinasema ulimwengu haukuumbwa na binadamu ametokea si kwa kuumbwa.

#5. The largest obsevatory duniani inaitwa Lucifer ambayo inamilikiwa na Vatican na ndio hao hao wanamiliki mradi wa CERN ambao umeanzisha theory ya BigBang, hivyo basi hawa wana lengo la kutuharibu akili kwa kutuaminisha hatukuumbwa, hivyo hatuna matumaini, Mungu hayupo na mwisho wa dunia haupo, yesu harudi wala hakuna kitu kama hicho.

Nawasilisha, leteni ubishi wenye mawazo, msilete lugha chafu.
Wewe ndiye yule mmoja kati ya watanzania wanne
 
"Dunia Haizunguki jua,ila jua hulizunguka jua"

umeleta hoja yenye neno kama, kama nyingiii.hii inaonesha huna uwakika na ulichokileta,nadhani ni ngumu kukusaidia kwasababu hutaki.
Uwakika - uhakika, acha kuandika kihaya kwa kuchanganya na kiswahili
 
Wewe hiyo umeipata wapi au ni mtizamo wake?
 
Tumedanganywa sana na wataalamu wa NASA kuhusu "shape" ya Dunia kuwa dunia ni kama tufe na pia kuwa dunia inajizungusha ili kupata usiku na mchana na pia dunia inazunguka jua ili kupata majira. Hawa jamaa ni waongo sana na uongo huo una malengo pia.
Ukweli ni kuwa:
#1. Dunia ipo flat
#2. Dunia imetulia tuli, haizunguki
#3. Dunia haizunguki jua, ila jua ndo linatembea kuzunguka jua
#4. Dunia ni kubwa kuliko jua au nyota
#5. Picha za shepu ya dunia tunazoziona leo kuwa ni duara ni just visual effects sio live images, wanatudanganya.
#6. Habari ya gravitational force towards earth is just a mythology, usiniulize kuhusu space, hapa sio pake.

Kwa nini nasema hivi:
#1. Naturally maji yapo level. Hayawezi kukaa katika mduara, usiniambie yananing'inia kwa attraction force towards the center of the earth.

#2. Hakuna mto unaopeleka maji mlimani yote huelekea bondeni. Usiniambie kuwa pia ni sababu za uvutano, hiyo ni myth.

#3. Hakuna rubani wa ndege amewahi kuthibitisha kuwa kuna ku bend ili kufuata mzunguko wa dunia.

#4. Usiniambie kuwa horizons ndo husabisha kuonekana " eti" dunia ni kama tufe.

#5. Observatories duniani ni nyingi sana, kwa nini mambo yote ya anga ni NASA pekee ndo wasemaji wakuu, waongo.

Sababu za Uongo:

#1. Kuingiza mawazo kuwa hakuna Mungu
#2. Ukiisha amini hakuna Mungu, basi biblia ni ya Uongo
#3. Kama biblia ni ya uongo basi Yesu harudi, kwa sababu biblia inasema Yesu anaporudi kila jicho litamuona. Kama dunia ni tufe walio upande wa pili hawawezi kumuona at the same time. Hivyo biblia ni kitabu cha zamani sio cha kuamini.

#4. Kwa vile biblia ni ya uongo na hakuna Mungu ( kwa kuwa ni bible tu ndo inatambua uwepo wa Mungu na uumbaji) wakaja na theory za Big Bang ambazo zinasema ulimwengu haukuumbwa na binadamu ametokea si kwa kuumbwa.

#5. The largest obsevatory duniani inaitwa Lucifer ambayo inamilikiwa na Vatican na ndio hao hao wanamiliki mradi wa CERN ambao umeanzisha theory ya BigBang, hivyo basi hawa wana lengo la kutuharibu akili kwa kutuaminisha hatukuumbwa, hivyo hatuna matumaini, Mungu hayupo na mwisho wa dunia haupo, yesu harudi wala hakuna kitu kama hicho.

Nawasilisha, leteni ubishi wenye mawazo, msilete lugha chafu.
Naunga mkono hoja yako mkuu
 
Bibilia kuna uongo mwingi tu ambao wakristo mnauamini lakini mnashindwa kuamini dunia ni duara? Unaamini nyoka anaweza kuongea lakini huamini dunia inaizunguka jua?
!!! Mama mbavu zangu huku!! ...!
 
Back
Top Bottom