Ukweli kuhusu Pyramids

Ukweli kuhusu Pyramids

Hakuna ushaidi kama yaliletwa mkuu, "inasemakana" bado ni dhana tu isiyo na ushaidi wowote mkuu!

Na kama waliyajenga?! Nipe ushaidi au mantiki waliyaletaje hapo hayo mawe yenye tani 2500?! Na waliyatoa wapi?!
nkikwambia nipe ushahid kwamba yalijengwa hapo utaweza?
 
nkikwambia nipe ushahid kwamba yalijengwa hapo utaweza?

Hoja hupingwa kwa hoja mkuu!

Nimetoa hoja kuwa haiwezekani kubeba tofali la tani 2500, hivyo bila shaka lilijengwa juu huko huko!

Sasa wewe unayepinga hoja yangu kuwa halikujengwa, "toa hoja" kuwa hayakujengwa bali yalibebwa na kama yalibebwa yalibebwaje matofali ya tani 2500?!

Pinga hoja kwa hoja! Sio kwa swali!
 
Habari wana JF ni muda mtefu sijashiriki nanyi Ila nimerudi na suala linalo sumbua dunia kuhusu pyramids zilizoko Egypt zilijengwa na nani? Mwaka gani? Na kwasababu gani?

BAADHI YA WATU WASEMAVYO:
1. Pyramids zilijengwa na viumbe kutoka anga za juu, ambao waliwahi kuja duniani miaka 5,000 iliyopita na kuishi Mashariki ya Kati.

Mapiramidi hayo yalitumika kama mnara wa kuongozea ndege zao kuona wapi Mashariki ya Kati ilipo, wakati zikishuka kutoka anga za juu.

Viumbe hao maarufu kwa jina la Annunaki walikuja duniani na kugundua kuna madini mengi ya dhahabu na kuanza kuchimba kisha kusafi kwenda kwenye sayari yao iitwayo Nibiru.

Maana ya 'Annunaki' ni walioshuka kutoka juu, na 'Nibiru' ni sayari ipitayo yaani Crossing Planet.

Mapango yote yaliyopo duniani, ikiwemo yale ya Amboni mkoani Tanga waliyachimba wao hao Annunaki.

Baada ya viumbe hao Annunaki kuondoka kurejea kwao Nibiru, ndipo Wafalme wa Misri waliamu kuyatumia kama makaburi ya wao kuhifadhiwa humo.
Ujenzi wa pyramids ulifanyika kwa ufundi na ustadi mkubwa, kiasi kwamba mpaka sasa hakuna mtambo wa kuweza kupandisha au kunyanyua mawe yaliyotumika kujenga.

Mfano, jiwe moja lina uzito wa tani 2,500 sawa na kilo 2,500,000.
Yalijengwa kwa kuoanishwa au kuwa sanjari na yota za orion ambazo zimejipanga huko anga za juu.

View attachment 1726340

2. Ujenzi wa Pyramids ulifanyika kwa ustadi wa kulinganishwa na nyota za Orions, kama hivi.
View attachment 1726341

3. Michoro ya Pyramids sanjari na nyota za Orions. Je, mfalme au mhandisi gani wa dunia angeweza kujenga Pyramids kwa ueledi uliotumika enzi hizo?

View attachment 1726342

4. wengine wanasema hayo ni makaburi ya watawala wa zamani wa Misri yaan mafarao so kwa sasa yamebaki Kama kumbukumbu Na ni moja Kati ya vivutio vvikubwa huko Egypt hasa katika masuala ya dini.

Je,, UKWELI ni UPI juu ya hizi pyramids na ujenzi wake na Kazi yake ...?

Naomba kuwasilisha wakuu
Ngoja wahandisi majengo waje
 
Hayo yamejengwa na binadamu... hakuna cha kushushwa wala kupandishwa...
 
Kwenye storybook wanasema yalijengwa na watumwa enzi hizo na ujira wao ulikuwa pombe na chakula
 
Unapo zungumzia pyramids za miser moja kwa moja unazumzungizia utashi ujuzi maarifa ufundi ustadi, kalama na elimu ya wana wa Israel, wao ndiyo waliojenga hayo ma pyramids naam taifa la Mwenyezi Mungu muumba wa nchi na dunia.......
kuna maandishi yanachekesha aisee,
 
Hoja hupingwa kwa hoja mkuu!

Nimetoa hoja kuwa haiwezekani kubeba tofali la tani 2500, hivyo bila shaka lilijengwa juu huko huko!

Sasa wewe unayepinga hoja yangu kuwa halikujengwa, "toa hoja" kuwa hayakujengwa bali yalibebwa na kama yalibebwa yalibebwaje matofali ya tani 2500?!

Pinga hoja kwa hoja! Sio kwa swali!

hapana, sijaona hoja yako yoyote hapo. Huwezi kujenga tofali juu ya tofali bila kuweka udongo mbichi Kat ya tofali na tofali, Sasa pyramids zimejengwa katka namna inayoweza kusavaivu matetemeko ya ardhi. Unadhan hicho unachosema kingewezekana vipi.
Hapo ndipo inapokuja dhana ya kwamba yamejengwa na viumbe wasio wanadam tena katika usahih ambao dunia haijapa kuona.
 
Upuuzi mtupu, eti viumbe wa ajabu kwa ushaidi upi wa viumbe hivyo?!

Hakuna science yoyote inayothibitisha uwepo wa viumbe kutoka sayari nyingine zaidi ya illusion, yaani bora hata ungeniambia hapo kulikuwa na miamba wakaichonga ili kupata majengo hayo, kama Yale makaburi ya yesu yaliyochongwa mwambani,

Lakini hizi hadithi za alfu lela ulela za kuwepo viumbe waajabu ni upuuzi mtupu usioweza kuthibitishwa hata chembe, ni hadithi tu za kufikirika , kama kina abunu wasi na bulicheka! Hakuna ushaidi wowote wa hadithi hizo zaidi ya story za kutunga za kina annunaki!
 
Tulikuwa tumeenda kukata gogo..

Ila Kama kweli yalikuwa makaburi tu hakuna sababu nyengine Basi walikuwa majinga sana! Utaendaje kujenga kaburi la mtu tu halafu tofari moja tu linauzito wa tani moja..!
Kutakuwa na namna nyengine hao jamaa kina annunaki waje waseme vizuri!
hahaahaaa.., walihofia watafufuka kudadek hahahaa tofali moja kama uzito wa mitsubish hahhaaaaaaaaaaa dadek
 
Hoja hupingwa kwa hoja mkuu!

Nimetoa hoja kuwa haiwezekani kubeba tofali la tani 2500, hivyo bila shaka lilijengwa juu huko huko!

Sasa wewe unayepinga hoja yangu kuwa halikujengwa, "toa hoja" kuwa hayakujengwa bali yalibebwa na kama yalibebwa yalibebwaje matofali ya tani 2500?!

Pinga hoja kwa hoja! Sio kwa swali!
mmenifanya,niende youtube na google kuangalia.., ni tofali la tani 2.5 ambayo ni 2500kg.., ndio maelezo yao yanavyosema, kuhusu hayo majabar yaliyojengea hilo kitu
 
Upuuzi mtupu, eti viumbe wa ajabu kwa ushaidi upi wa viumbe hivyo?!

Hakuna science yoyote inayothibitisha uwepo wa viumbe kutoka sayari nyingine zaidi ya illusion, yaani bora hata ungeniambia hapo kulikuwa na miamba wakaichonga ili kupata majengo hayo, kama Yale makaburi ya yesu yaliyochongwa mwambani,

Lakini hizi hadithi za alfu lela ulela za kuwepo viumbe waajabu ni upuuzi mtupu usioweza kuthibitishwa hata chembe, ni hadithi tu za kufikirika , kama kina abunu wasi na bulicheka! Hakuna ushaidi wowote wa hadithi hizo zaidi ya story za kutunga za kina annunaki!
yah Ni upuuzi kwa kuwa tu fikra zako zimeishia hapo ulipoamua ziishie, umefatilia vzuri kuhusu pyramids hizi?
Unahisi kwanin Ni moja ya maajabu ya dunia?
 
Unapo zungumzia pyramids za miser moja kwa moja unazumzungizia utashi ujuzi maarifa ufundi ustadi, kalama na elimu ya wana wa Israel, wao ndiyo waliojenga hayo ma pyramids naam taifa la Mwenyezi Mungu muumba wa nchi na dunia.......
Africans mmekuwa brainwashed sana na dini zinazohamasisha kutukuza weupe.

any evidence kuprove ulichoandika?
 
Mi nilifikiri unasema ile ya utapeli kama Deck au Qnet
 
Yani wwe unataka kusema wagunduzi wa mitambo ya nuclear washindwe kujenga hayo? Wenzio zamani walikuwa wanakula story na Sir God live live unashangaa hayo mambo. Mnara wa babeli ulijengwa uligusa mawingu tafuta jengo refu zaidi duniani sahv afu angalia linafika wapi?
Subiri hapo'hapo.

mitambo ya nuclear unamaanisha nuclear reactor, nuclear formula au nuclear bomb?

Dini imekulemaza ubongo wako kama uniamini nijibu hilo swali.
 
Pyramid..well.

Kuna nguvu ilitumika kuinua hayo mawe juu na kuyapanga. Ni hisabati za ulimwengu na taaluma za kijadi za siri. Kuna sehemu watu waliangusha ukuta tu kwa kutumia baragumu..(kama kupuliza vuvuzela tu) na ngome/ukuta ulianguka watu wakapita.

Ni hesabu tu, kuna free energy nyingi tu zimetuzunguka kila pande kila mahali. Ni namna ya kuzitumia tu ndio hesabu zilipo. Pyramid pia zilijengwa kwa kutegemea sound and wave energy. Zilipigwa ngoma sana hapo mawe yakawa yananyanyyka tu.

Pyramid kitu muhimu kabisa ni lile jiwe la juu kabisa. Ile top, kama kofia. Ile ndio jiwe kuu. Ndio limeshikilia balance ya pyramid yote. Ndio maana wengine wanasema ilianza kujengwa juu! Ndio jiwe kuu lile. Pembe zote na kuta zote za pyramids balance yake iko juu pale. Ukitoa juu pale pyramids itabomoka. Hesabu yote ya ujenzi iko pale. Ni kama utatu ukitazama picha ya pyramid. Kushoto, kulia na juu. Pale juu ndio pameshikilia kila kitu. Nguvu zote zimeunganishiwa pale.

Sasa ndio maana kuna alama zenye pembe tatu nyingi tu za vyama mbali mbali na cult symbols za namna hiyo. Na hata nyingine ile pyramid imewekewa jicho pale juu. Kwamba ndio watchers of every corner and angle. Kuona vyote na visivyoonekana.

Ndio wajenzi huru hao. Muunganiko wa nguvu zote unazojua kuzichanganya na kuzitiisha kuwa kitu kimoja. Hata wenye imani nyeusi au nyeupe kadri wanavyo practice na kuzama ndani zaidi ndio wanajikuta wanakaribia kwenye ncha hii ya pyramid.....hivyo...niishie hapa...
Mkuu unaweza kuelezea kivipi binadamu ataweza kujenga kuanzia juu tena kwa kuanzia na mjiwe wenye uzito wa almost tani 3?
 
Mkuu unaweza kuelezea kivipi binadamu ataweza kujenga kuanzia juu tena kwa kuanzia na mjiwe wenye uzito wa almost tani 3?
Mkuu, equilibrium ya hiyo pyramid ipo kwenye jiwe hilo la nchani juu. Sasa hesabu za kuliweka pale kama jiwe kuu ndio linatoa dhana kwamba ujenzi ulianzia juu kushuka chini. Kitu ambacho sio kweli na pia mimi sijasema hivyo.

Ila swali kubwa bado linabaki hapa, iweje jiwe lile LA juu ndio lishikilie mihimili ya kona zote za hizo pyramid? Wanalitega vipi hilo jiwe pale..
 
Mimi nadhani haya maPyramids yaljengwa na waisrael kipindi cha Yusufu mpaka wakati wa Musa,kipindi kile walichokaa wakazaana sana kule Misri,nadhani Pharao aliwatumia kufanya hiyo kazi,na ukumbuke hawa walikuwa ni special task force kutoka kwa Mungu mwenyewe...

Aise
 
Back
Top Bottom