Ukweli kuhusu Pyramids

Namba 4 tu ndio kweli mengine yote ni matango pori
 
Yamejengwa na binadamu huku wanyama kama tembo wakitumika kuvuta hiyo mitofauli..

Tembo wa enzi hizo ,sio wale wa mikumi
 
hata mimi sijamuelewa kwa hiyo walianza kupauwa badala ya msingi je hayo mawe ya juu force ya GRAVITATIONAL ilikuwa, usingizini?
 
Watu ww zamani walikuwa na MAUMBO MAKUBWA.warefu na wenye nguvu .sio kama wa sasa..
Unaambiwa adam alikuwa na urefu wa nguzo mbili za umeme uziunganishe pamoja ndo urefu wake
Heee huyo si jini kabisa khaaa.Kwanza hiyo fact umeipatia wapi?
 
Hahahaaa

Walijengaje juu kwa juu bwana mkubwa?

Hayo matofali ni kama mawe. Yanaonekana yalichongwa na kupachikwa moja baada ya lingine.

Sio kitu cha kutengeneza juu kwa juu kama LENTA.


Mbona hoja nyepesi tu mkuu,

Kujenga juu kwa juu ni logic nyepesi sana, walipeleka materials ya ujenzi kama vile cement, moulds, etc za wakati huo either kwa kubebwa na watu mpaka huko juu au kupandishwa kwa kuvutwa na Miti iliyopangwa kama vitendea kazi,

Kujenga juu kwa juu inawezekana kabisa, majengo mangapi hujengwa juu kwa juu?! Floors ngapi za maghorofa na majengo hujengwa juu kwa juu?!
Hata zile fly overs za Mfugale na Ubungo interchange (kijazi), zimejengwa juu kwa juu!

Sasa basi hebu Wewe tupe logic yako itakayo tufanya tuamini kwamba "eti kuna mwanadamu au wanadamu wanaoweza kubeba tofali lenye uzito wa tani 2500?!" Wala wakati huo hakukuwa na mashine inayoweza kubeba tofali lenye uzito huo!! Na sio zile hadithi au hekaya za viumbe visivyojulikana (unidentified flying objects) UFO! Hadithi ambazo hakuna mtu anayeweza kuthibitisha hata mmoja mbali ya kubaki kama ngano au hekaya za abunu wasi!
 
Ndio ni muhimu au we unahc hakuna umuhimu?
Halina umuhimu wowote kwa dunia ya leo. Kama ikitokea linahitajika linaweza tengenezwa dkk 0 2 huko huko kuna haja gani ya kulibeba. Halafu kam hujui sahivi ni zama za steel ambayo imeonekan kuwa nyepesi kuliko block hivo kurahisisha hata maswala ya ujenzi. Na wanazidi kurevolutionize zaidi. Watu wanafanya vitu kwa faida sio kushindana.
 
Lete vithibitisho kuwa hyo nd haijachakachuliwa? Halafu mtu unacriticise bible imeongea neno gani baya ambalo limeiathiri dunia? Kuwaambia watu wasiibe, wasiue, wasizini, wasiseme uongo, wapendane, wamuabudu Mungu mmoja, waheshimu baba na mama, shika sababato, usiabudu sanamu na mengine mazuri mengi uje uipe dosari kisa tu imesema kuwa pyramids walijenga waisrael chini ya utawala wa misri walipokuwa utumwani. Yani kweli binadamu Mungu atachoma aisee yani sidhani kama kutakuwa na msamaha mwepesi hivi. Halafu unakuja na mipaka waliokuchorea hao hao wazungu unataja nchi ambazo zinapakana na Misri hyo hyo. Je unajuaje kama kabla ya mkutano wa berlin ilkuwa nchi moja? Sorry kama nimeongea kwa uchungu sana na Mungu atusaidie sana tuje tuokoke huko mbinguni.
 
Kweli kabisaa Africa ni mama land historia za dunia nyingi zinaanzia Africa na naweza kusema waafrica ndio wana wa Israel halisi hao wengine wanajipendekeza tu
Sasa kwanini roots zenu zinawapeleka kuabudu mizimu ? Hamn maandiko matakatifu kama bible ilivoagiza? Mbona hyo Misri yenyewe ina asili ya kuabudu wafu kama hao mafarao?
 
Kwa mambo aliyofanya binadamu mpaka sahivi pyramid haziwezi kuwa za viumbe wa tofauti. Binadamu ana uwezo sana watu wanaland kwenye mwezi.
 
musa na harun waliyakuta mapiramid yameshajengwa kitambo sana,mapiramid yapo miaka 3000 kabla ya kristo musa na harun wamekuja miaka 480 kabla ya kristo juzi tu,hapo mudi alihadithiwa au alikremu vibaya
Mussa aliyakuta hayo maan yeye kazaliwa miaka mingi sana baada ya wenzao kupigika vya kutosha na hayo madude yalikuwa yashajengwa
 
ulijuaje kama uligusa mawingu?? kuna dalili zozote zinaonesha hivyo?
Maandiko matakatifu kwa mambo yaliyoyavumbua hakuna neno naweza nisiliamini elewa hivo aisee. Mungu hakupenda iwe vile hivo aliliharibu lile tower la babylon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…